kodi

  1. Kwa msisi yetu

    JamiiForums Tanzania Hili la kodi kwa wapangaji TRA wameupiga mwingi

    Hakika ukusanyaji wa mapato utaongezeka kwa maendeleo ya nchi yetu. Hongereni TRA kwa kuliona hili, hongera mama yetu Samia Suluhu Hassan. TRA iangalie maeneo mengine na kupanua zaidi wigo wa kodi. Kodi ndio maendeleo ya nchi. Kazi iendelee.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa tozo na kodi lawama kwa Mobetto, Samatta, Edo Kumwembe

    Mzalendo nambari moja nchii hii mwenye uchungu kuliko watanzania wote. Mchumi grade A, anayepambana kwa hali na mali kuwatoa watanzania kwenye umaskini, anayelia machozi ya damu akiwaona maskini field marshall Mwigulu aliteua mabalozi watatu wa kodi kuelimisha watanzania. Hamisa Mobetto, Mbwana...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Mtu anayepinga tozo na kodi kwa maendeleo ya Taifa akamatwe

    Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake. Hivyo natoa wito kwa kila mwananchi mzalendo kuunga mkono juhudi hizi za kujikomboa kama taifa dhidi ya mgogoro wa kiuchumi...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Pango: TRA yatoa ufafanuzi kuhusiana na kodi ya pango

  5. N

    JamiiForums Tanzania Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

    Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi kupitia Ukurasa wake wa Instagram, imeeleza kuwa; Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesisitiza wapangaji kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili kulipia kodi ya pango. Akiwa katika mafuzo ya wafanyabiashara juu ya...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tuko tayari kulipa tozo na kodi aina zote lakini Serikali iwe tayari kusema imeshindwa kutumia rasilimali za nchi hii tulizojaaliwa na Mungu

    Habari! Sasa ni wakati muafaka wa kuachana na misaada kutoka nje, maana nao huko kwao hali ya uchumi imekaza. Misaada inashusha heshima, mtu anayekusaidia hata akiongea upuuzi lazima ucheke ili umridhishe. Options ni 2 tu kwasasa. 1. Kutumia rasilimali zetu kama gas, makaa ya mawe, dhahabu, na...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima atoa onyo kwa Wafanyabiashara wakubwa wanawatumia Wamachinga ili kukwepa kodi

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima ametoa onyo kwa baadhi ya wafanyabiashara wakubwa wanaowatumia Wamachinga wadogo kuuza bidhaa zao ili kukwepa kodi. Waziri amebainisha kuwa katika baadhi ya maeneo rafiki yaliyotengwa kwa ajili ya wamachinga...
  8. kelvin patrick

    JamiiForums Tanzania Tozo ni kwa sababu TRA wameshindwa kukusanya kodi vizuri

    Tatizo hii nchi wameshindwa kukunya kodi vizuri za TRA sababu kuu biashara karibu kubwa zote zinamikono ya viongozi wa hii nchi. Ukiomba risit utapigwa maneno kuwa machne mbovu na mizgo wanayonunua unakuta inapita bandarini bila ushuru. Matokeo yake wanaona ngoja watumie mbinu yakuwaumiza watu...
  9. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Video: Changamoto za makadirio ya kodi na Tozo na upigaji tra

  10. T

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujiuliza nia ya Rais Samia kusamehe wafanyabiashara kodi za nyuma?

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini Rais Samia aliamua kuwasamehe wafanyabiashara kodi za miaka ya nyuma, ambazo ni kodi halali kabisa wanazodaiwa na mamlaka ya kodi? Kumbuka mwezi June Rais Samia aliwaagiza TRA wasiwasumbue wafanyabiashara kwa kuwadai kodi za miaka ya nyuma isipokuwa za mwaka jana...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mtanzania asiyelipa Kodi anakuwa hana uchungu na nchi yake. Asante sana system kwa kuweka hili sawa

    Yaani sisi tuliokuwa na uchungu na Nchi yetu na rasimali za Tanzania tulionekana ni wapiga kelele tu. Hatukuwa wakurupukaji tu bali tuna uchungu na nchi yetu tunapoona Kodi zetu zikitumiwa vjbaya na viongozi. Hilo la kuhakikisha kila mtanzania, kinana, mzee, mke na mume wanalipa kodi sasa...
  12. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Tozo/kodi kwenye miamala ya Benki kuweka na kutoa inalipwa pia na mabenki

    Mwaka 2014 serikali ilitengeneza sheria ya kodi excise duty ambayo mabenki yanatakiwa kulipa 10% ya charges wanazokusanya kwa wateja wake katika kutoa huduma ikiwemo uwekaji na utoaji fedha na sheria hiyo iliweka angalizo kuwa hii 10% ilipwe na benki na sio mteja kwa lengo la kuzuia kubadilika...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tozo katika mabenki-Bank transaction Tax, kodi hii ipo Nchi nyingine duniani!

    Hizi kodi zinauma. Lakini imebidi nifanye kautafiti kidogo kuchunguza kama Mwigulu kalewa madaraka au la! Tozo katika Mabenki ipo nchi nyingine nyingi tu duniani, ni kodi hii kwa ujumla inaitwa Bank Transaction Tax. Kodi hii haichagui mnene au mfupi, tajiri au masikini, mwenye kipato na asiye...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe kodi ya kichwa haraka, Watanzania wanapenda ujanjaujanja

    Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba na serikali kwa ujumla msiwaonee huruma Watanzania. Wengi wamezoea kuishi kwa madili na wizi. Serikali inapoteza kiasi kikubwa cha fedha kwakuwa watu wanaikwepa. Kuna rafiki yangu ana biashara kwa siku faida ni 200,000 lakini kwa mwaka alikuwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Serikali rahishisheni kodi

    Huyu kasema ukweli mtupu
  16. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Matumizi makubwa ya serikali ndio chanzo cha hizi kodi na tozo za uonevu

    Hakika hii Tanzania sasa imekuwa balaa. Serikali imekosa ubunifu kabisa wa vyanzo vya mapato. Haiwezekani kitu kimoja kilipiwe kodi au tozo mbili. Hivi karibuni Serikali imekuja na tozo ambayo mweka fedha benki anakatwa kila anapotoa fedha ktk akaunti yake na benki nayo wakati huo huo inakata...
  17. Championship

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Dkt. Mpango na Majaliwa hawalipi kodi wala tozo yoyote hapa nchini

    Rais, Makamu na Waziri Mkuu (among others) hawalipi kodi yoyote kwenye mishahara yao, akaunti zao benki hazina makato na hata laini zao za simu hazina tozo yoyote. Bado natafuta tafsiri sahihi ya uhujumu uchumi. Nitaendelea kusoma Ili nielewe.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kodi na Tozo nyingi kwa Nchi kama Tanzania ni kipimo tosha kuwa viongozi waliopo hawatufai

    Habari JF , Hivi unamkamuaje wananchi kwa Tozo na kodi lukuki katika Nchi ambayo ina Eneo kubwa la kilimo na Uwekezaji, Madini ya kila aina, Gesi, Vivutio vya Utalii vingi na vitu vingi ambavyo serikali ingetumia kuingizia Mapato? Ni kwamba viongozi tulionao uwezo wao umeishia kwenye Tozo? Kwa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Misamaha ya kodi na punguzo la tozo katika miamala

    Serikali katika Mwaka mpya wa Fedha 2022/23 imeanza kutekeleza punguzo la tozo katika miamala ya simu katika kutuma na kupokea fedha kwa 43%. (Tozo ya juu kabisa itapungua Kwa kutambua ukuaji wa sekta ya Sanaa na kujiajiri kwa vijana, serikali inatekeleza suala la punguzo la kodi(with holding...
  20. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kwanini kodi ikatwe mara mbili kwa kipato hicho hicho kimoja?

    Sio kwamba hatutaki kutozwa kodi. Swali la msingi la kujiuliza ni kwanini makato yawe zaidi ya mara moja kwa kipato kimoja? Mshahara unakatwa kodi (PAYE), bank husika wanakata service charge. Wakati wa kutoa unakatwa salio la kutolea. Na bado serikali ikate tena tozo. Huu ni uonevu...
Back
Top Bottom