Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,722
- 21,114
Nipende kuipongeza serekali yetu tukufu kwa kubuni kodi ya upangishaji hasa hasa ikiwalenga wenye majengo ya kimakazi au ya kibiashara hakika hapa kulikuwa na fedha nyingi mno zilizokuwa zinapotea na kulikosesha taifa letu mapato stahili na halali.
Ispokuwa ombi langu ni kwamba ingelipaswa kutangulia sensa ya nyumba hizi zikajulikana waziwazi, zikaingizwa kwenye database ya serekali yetu, ikafahamika nyumba fulani inavyumba vitano vya upangishaji na kila chumba hupangishwa kwa 50,000/- hivyo kwa mwezi nyumba hii huingiza 300,000/- hivyo kwa mwaka nyumba hii inaingiZa 3,600,000/-.
Hivyo serekali kuwa na fixed amount ambayo nyumba fulani iliyopo mtaa fulani, nambari fulani, kwa mwaka huu itapaswa kulipa kiasi kadhaa. Unless mwenye nyumba awe amekwenda kuripoti mabadiliko ya kimatumizi ya jengo husika.
Lengo la uzi huu ni kupongeza na kushauri jinsi gani serekali yetu tukufu ianze zoezi hili kwa kutanguliza uwepo wa DATABASE ya majengo yote ya kiupangaji na kibiashara.
Tumechelewa, tuanze sasa kwa manufaa ya taifa letu.
TAREHE 23 AUG NI SIKU YA SENSA KWA TAIFA LETU TUJITOKEZE KUHESABIWA.
========
Dar es Salaam. Tanzania Revenue Authority’s (TRA) plan to give tenants a mandate to withhold 10 percent of house rent in both private and commercial houses as a way of expanding the scope of tax payment has been greeted with mixed reaction among concerned groups.
According to TRA, the law required the house owners to be the ones to submit the house rent tax, something that has not been implemented properly and thus as one of the ways to facilitate collection of Sh23.65 trillion as tax by the end of the financial year 2022/23, it had to review the law and come up with a new strategy.
Speaking to journalists yesterday on TRA’s strategies to achieve the collection target as part of the government’s budget of Sh41.48 trillion, the authority’s Taxpayer Services and Education director, Mr Richard Kayombo, among other plans, explained the change that will see tenants submit tax instead of landlords.
“Any tenant, whether in a private house or a business house, is responsible for withholding 10 percent of rent and submitting it to TRA as government tax, unless there is another agreement where the landlords and landladies themselves will come to pay at TRA,” explained Mr Kayombo.