Tozo
Tozo ni ushuru au kodi ambayo wananchi wanatozwa na serikali. Pia hii ni aina moja wapo ya chanzo cha mapato kwa serikali za sasa hasa zile za ulimwengu wa tatu ambayo pia huchangia maendeleo ya miradi mbalimbali ya serikali kama kujenga hospitali, barabara, shule, mishara na marupurupu...
Wanabodi,
Tumeshuhudia nguvu iliyotumiwa na serikali katika kuhakikisha kwamba kuna tozo kwenye miamala ya kielektroniki inayofanywa na wananchi. Hii inaweza ikawa njia ya serikali kutanua wigo wa kodi ya kuwa wezesha kufanya shughuli zingine za ziada ambazo zinaweza zikawa na manufaa kwa...
Mawazo yenu wakuu, yaani nataka tu kuweka security kwenye Jina la biashara yangu hapo baadae ntakapo ianza rasmi.
Lakin nmeona moja ya vitu vinavyohitajika ili kusajili jina la biashara ni TIN namba. Sasa nahofia naweza kuingia kwenye sakata la kodi ya mapato mapema wakat biashara bado...
TRA mnatupa namba za simu eti kwa maelezo zaidi.
Mimi mpangaji na mpokeaji simu hatuwezi kutatua tatizo kupitia simu, kodi ua ZUIO inahitaji maelezo ya kina kutoka uongozi na si marisepshenisti.
Tunataka kodi ya ZUIO ilipwe na mwenye nyumba na si mpangaji.
Hakika ukusanyaji wa mapato utaongezeka kwa maendeleo ya nchi yetu. Hongereni TRA kwa kuliona hili, hongera mama yetu Samia Suluhu Hassan.
TRA iangalie maeneo mengine na kupanua zaidi wigo wa kodi. Kodi ndio maendeleo ya nchi.
Kazi iendelee.
Mzalendo nambari moja nchii hii mwenye uchungu kuliko watanzania wote. Mchumi grade A, anayepambana kwa hali na mali kuwatoa watanzania kwenye umaskini, anayelia machozi ya damu akiwaona maskini field marshall Mwigulu aliteua mabalozi watatu wa kodi kuelimisha watanzania.
Hamisa Mobetto, Mbwana...
Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake.
Hivyo natoa wito kwa kila mwananchi mzalendo kuunga mkono juhudi hizi za kujikomboa kama taifa dhidi ya mgogoro wa kiuchumi...
Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi kupitia Ukurasa wake wa Instagram, imeeleza kuwa;
Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesisitiza wapangaji kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili kulipia kodi ya pango.
Akiwa katika mafuzo ya wafanyabiashara juu ya...
Habari!
Sasa ni wakati muafaka wa kuachana na misaada kutoka nje, maana nao huko kwao hali ya uchumi imekaza.
Misaada inashusha heshima, mtu anayekusaidia hata akiongea upuuzi lazima ucheke ili umridhishe.
Options ni 2 tu kwasasa.
1. Kutumia rasilimali zetu kama gas, makaa ya mawe, dhahabu, na...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima ametoa onyo kwa baadhi ya wafanyabiashara wakubwa wanaowatumia Wamachinga wadogo kuuza bidhaa zao ili kukwepa kodi.
Waziri amebainisha kuwa katika baadhi ya maeneo rafiki yaliyotengwa kwa ajili ya wamachinga...
Tatizo hii nchi wameshindwa kukunya kodi vizuri za TRA sababu kuu biashara karibu kubwa zote zinamikono ya viongozi wa hii nchi. Ukiomba risit utapigwa maneno kuwa machne mbovu na mizgo wanayonunua unakuta inapita bandarini bila ushuru.
Matokeo yake wanaona ngoja watumie mbinu yakuwaumiza watu...
Je, umewahi kujiuliza kwa nini Rais Samia aliamua kuwasamehe wafanyabiashara kodi za miaka ya nyuma, ambazo ni kodi halali kabisa wanazodaiwa na mamlaka ya kodi? Kumbuka mwezi June Rais Samia aliwaagiza TRA wasiwasumbue wafanyabiashara kwa kuwadai kodi za miaka ya nyuma isipokuwa za mwaka jana...
Yaani sisi tuliokuwa na uchungu na Nchi yetu na rasimali za Tanzania tulionekana ni wapiga kelele tu. Hatukuwa wakurupukaji tu bali tuna uchungu na nchi yetu tunapoona Kodi zetu zikitumiwa vjbaya na viongozi.
Hilo la kuhakikisha kila mtanzania, kinana, mzee, mke na mume wanalipa kodi sasa...
Mwaka 2014 serikali ilitengeneza sheria ya kodi excise duty ambayo mabenki yanatakiwa kulipa 10% ya charges wanazokusanya kwa wateja wake katika kutoa huduma ikiwemo uwekaji na utoaji fedha na sheria hiyo iliweka angalizo kuwa hii 10% ilipwe na benki na sio mteja kwa lengo la kuzuia kubadilika...
Hizi kodi zinauma.
Lakini imebidi nifanye kautafiti kidogo kuchunguza kama Mwigulu kalewa madaraka au la!
Tozo katika Mabenki ipo nchi nyingine nyingi tu duniani, ni kodi hii kwa ujumla inaitwa Bank Transaction Tax.
Kodi hii haichagui mnene au mfupi, tajiri au masikini, mwenye kipato na asiye...
Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba na serikali kwa ujumla msiwaonee huruma Watanzania.
Wengi wamezoea kuishi kwa madili na wizi.
Serikali inapoteza kiasi kikubwa cha fedha kwakuwa watu wanaikwepa. Kuna rafiki yangu ana biashara kwa siku faida ni 200,000 lakini kwa mwaka alikuwa...
Hakika hii Tanzania sasa imekuwa balaa. Serikali imekosa ubunifu kabisa wa vyanzo vya mapato. Haiwezekani kitu kimoja kilipiwe kodi au tozo mbili.
Hivi karibuni Serikali imekuja na tozo ambayo mweka fedha benki anakatwa kila anapotoa fedha ktk akaunti yake na benki nayo wakati huo huo inakata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.