Alipoulizwa kwa nini serikali yake inapunguza kodi wakati huu wa kindumbwendumbwe cha uchumi kote duniani, Liz Truss, Waziri Mkuu wa Uingereza alisema: ' We want people to keep more of the money they earn, so they can have more control over their lives and invest'
Tunataka watu wasalie na kiasi...
Nertherland: Manispaa ya Amsterdam imepanga kujitolea msaada wa baiskeli 2000 kwa nchi ya Ukraine katika mpango mkakati wa kusaidia utoaji bora wa huduma za afya.
Mpango huu una lengo la kuongeza ufanisi miongoni mwa madaktari mbalimbali nchini Ukraine.
==========
Dutch Stichting Zeilen Van...
Mwanamuziki Shakira (45) kufikishwa katika Mahakama ya Uhispania kwa tuhuma za kukwepa kodi ya Paundi Milioni 12.9 (Tsh. 32,314,500,000)
Mahakama imemuamuru mwimbaji huyo kutoka Colombia kujibu mashtaka 6 ya uhalifu wa kodi, ila tarehe ya kesi bado haijapangwa
Shakira amekuwa akikana tuhumu...
Waziri Mkuu wa Uingereza, Margaret Thatcher aliwahi kusema, serikali haina duka wala biashara au shamba. Serikali inaendeshwa kwa kodi zinazotozwa kwa wananchi wake.
Wananchi hawakupenda sana kauli hiyo, lakini akawaambia hivyo ndiyo ilivyo kwenye free market economy.
Hivyo ndivyo ilivyo...
Mtanisamehe!
Kwakuwa sisi watanzania ni watu tusioweza kuungana kupinga jambo linaloumiza wachache, naomba makali yo tozo yaendelee na zaidi kodi ya kichwa ianze kukusanywa kwa vitendo.
Wapinzani waliteswa na kunyanyswa sana lakini kuna wenzetu walikuwa wanabeza Kwakuwa hayawahusu na...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo tarehe 25/09/2022 mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Uboreshaji wa Mitaala inayoongozwa na Profesa Makenya Maboko jijini Dodoma, imependekeza kuingizwa kwa elimu ya kodi katika mitaala ya elimu nchini Tanzania kuanzia kwenye Shule za Msingi hadi Sekondari...
Donald Trump na watoto wake watatu wamefunguliwa kesi ya ulaghai baada ya uchunguzi juu ya kampuni moja ya familia hiyo. Inadaiwa kuwa walisema uongo "kwa mabilioni" kuhusu thamani ya mali isiyohamishika ili kupata mikopo na kulipa kodi kidogo.
Waendesha mashtaka wanasema Shirika la Trump...
Wakuu Kwema?
Mwezi uliopita niliona tangazo kutoka Waziri wa Ardhi, Mheshimiwa Angelina Mabula kua kama unadaiwa kodi ya Ardhi yenye malimbikizo ya riba juu yake basi ukilipa hiyo kodi utakua umesamehewa ile riba.
Mimi nina Kiwanja mkoa wa Kilimanjaro, na Kiwanja hiki kilitathminiwa kama cha...
Habari wana Jamiiforums.
Mimi nimeajiriwa kwenye Taasisi/Shirika la serikali ila najiuliza kwanini nalipa kodi kubwa hivi?
Kila mwezi nakatwa Tsh501,992/= kwenye mshahara eti ni PAYE. Hivi kweli kodi ilipunguzwa kwa Watumishi au zilikuwa siasa tu?
Wakuu salamu.
Naomba niende kwenye point moja kwa moja.
Kama mnavyojua miaka inasogea na watoto wanakua na wakubwa wanazeeka. Na maisha yanasonga mbele na TOZO zinayoyoma. Pamoja na 10% inayopendekezwa na serikali ya CCM, kwenye nyumba za kupanga.
Sasa Mungu katubariki vijumba viwili vitatu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekoleza moto kuhusu kilio cha tozo za miamala ya kielektroniki huku kikitaka Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba kuachia ngazi au atumbuliwe.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kutokana na suala hilo kuzidi kulalamikiwa na...
Viongozi wetu hawana nia ya kulipa kodi kama inavyostahili. Ili kukwepa kulipa stahiki yao kamili ya kodi, sehemu kubwa zaidi ya mapato yao wameiita "posho."
Kwenye orodha ya wakwepa kodi hao yumu Mwigulu na timu nzima ya vigogo wote. Almaarufu walamba asali.
Kwa wenzetu kunaponoga:
Enyi...
Utangulizi.
Nimekuwa maarufu sana katika karne hii ya ishirini na moja(21). Kila mahali napokelewa kwa shangwe na walio wengi, sio vijana tu bali watu wa kila umri wananikubali na Kunipenda. Mamlaka za utawala nazo zimenipokea kwa mikono miwili na kunipatia mazingira rafiki ya kuishi...
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI WA KUPANGA KIWANGO CHA KODI
Ndugu msomaji, karibu tujifunze kwa pamoja mambo ambayo ni muhimu kutazamwa wakati wa kupanga kodi kwa maana huwa zinaathiri maisha yetu ya kila siku. Ni dhahiri kuwa jambo la kodi linazungumzwa kwa namna nyingi, kugusa hisia...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba ameiagiza Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kuweka mabango hasa katika maeneo ya mipakani mwa nchi jirani kuelezea bidhaa ambazo zinapaswa kutozwa ushuru na zisizotakiwa kutozwa.
Mwigulu ametoa agizo hilo leo Septemba 11, 2022 katika mji wa Sirari...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mfanyabishara maarufu wa Zanzibar, Toufiq Salum Turky, bado hajalipa Sh. milioni 308.5 za kodi kutokana na kuingiza gari la kifahari aina ya Benzi, Januari, mwaka huu.
Naibu Kamishina wa TRA Zanzibar, Juma Bakary Hassan, aliwaambia waandishi wa habari...
Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amezungumzia suala la Tozo wakati akihojiwa katika kipindi cha Jahazi cha Clouds FM.
Profesa Mussa Assad amesema anaamini suala la Tozo lina hasara kubwa kuliko faida kwa Serikali.
Amesema “Kuna namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.