Mjadala mkali Baraza la Seneti Marekani: Je, ni nani ana uwezo wa kupata mimba? Hiyo ndiyo kazi wanayolipia walipa kodi wa Marekani

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,664
18,037
Hivi karibuni kulikuwa na mjadala mkali sana kwenye baraza la seneti. Kwenye baraza walitaka kuainisha ni watu gani hasa wana uwezo wa kupata mimba ili wanapopanga bajeti ihusianayo na masuala ya uja-uzito wajue hili suala linawahusu watu wangapi?

Republican wakasema wale tu ambao walizaliwa kibayologia kama wanawake ndio wenye uwezo wa kubeba mimba. Democratic wakasema hapana, yeyote anaweza kubeba mimba vinginevyo tutakuwa hatuwatendei haki LGBT. Mjadala ulikuwa mkali na ikabidi uamuliwe kwa kura!! Kwa kuwa kwa sasa kwenye baraza hilo kuna Democratic 50 na Republican 50, kura zilipopigwa wakatoka suluhu 50 kwa 50.

Kwa mujibu wa kanuni zinazoendesha baraza hilo, ikitokea matokeo ni suluhu, basi makamu wa rais huwa anapiga kura ya maamuzi. Kwa kuwa makamu wa rais Kamala Harris ni wa Democratic basi akapiga kura ya mwisho akiegemea upande wa democratic na matokeo ya mwisho yakawa 51 kwa 50. Kwa hiyo huko marekani inajulikana rasmi kuwa mtu yeyote anaweza kubeba mimba.

=======

US senators battle over who can get pregnant​

All Democrats voted in unison against an amendment defining pregnancy as occurring only in biological women.

“Federal funding should reflect reality: Only women can get pregnant,” said Senator Marco Rubio (R-Florida), who introduced the amendment. “Unfortunately, it looks like my Democrat colleagues don’t trust ‘the science’ after all.”

Since only biological females can become pregnant I offered an amendment to limit our federal pregnancy programs to biological females All 50 Senate democrats voted against it.

Seneta wa Republican analalamika kuwa Democratic hawaiamini hata sayansi!! Mnaotaka kuhamia marekani endeleeni!
 
Kwa msaada wa wabeba mimba wa marekani... huko yeyote ana weza mbebesha mwingine mimba. Kichekesho hiki

Retired rafiki zako hawa, miafrika ni mijinga sana.
 
Back
Top Bottom