kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Protase Rugambwa: Askofu Mwandamizi Anayeripoti Kituo chake cha Kazi Jimboni Tabora 25 Juni 2023

    Jumapili ijayo Juni 25, 2023, jimbo la Tabora linampokea askofu mkuu Protase Rugambwa akitokea Roma alikokuwa kwenye jopo linalomsaidia Papa kuongoza kanisa duniani. Jopo hili linaitwa "Roman Curia" lina idara zinaitwa "dicastery" na moja ni ya "Uenezaji Injili Duniani". Akiwa bado padri...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Iunge Mkono Juhudi za Wananchi Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Tanganyika

    MBUNGE MARTHA MARIKI - SERIKALI IUNGE MKONO JUHUDI ZA WANANCHI UJENZI WA KITUO CHA POLISI KATIKA WILAYA YA TANGANYIKA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza mpango wa Serikali kuhusu ujenzi wa kituo cha Polisi katika...
  3. Mapuli Misalaba

    JamiiForums Tanzania SoC03 Rushwa bado tishio kituo cha Polisi Mjini Shinyanga, wananchi masikini wanakosa haki zao

    Kituo cha Polisi kilichopo Wilaya ya Shinyanga hasa Polisi dawati la jinsia kwa kushirikiana na maafisa ustawi wa jamii wameendelea kuchukua rushwa na kuwanyima wananchi maskini haki zao hasa kwenye makosa ya ulawiti, ubakaji na makosa mengine ya jinai. Katika sheria kifungu cha 17 kinasema...
  4. Zitto

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kagera ni Mkoa masikini zaidi nchini Tanzania; tutaugeuza kituo cha biashara EAC

    - 51% ya wakazi wake wanatumia chini ya TZS 1,644 kwa siku ( mstari wa umasikini Tanzania ni TZS 49,320 kwa Mwezi ). - Pato la Wastani la Mtu wa Kagera ni TZS 1.2M kwa Mwaka. Mtu wa Ruvuma na Iringa ana Pato la Wastani mara 3 zaidi ya mtu wa Kagera. - Mwaka 1994 Kagera ilishika nafasi ya 12...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) chalaani kilichofanywa na TANAPA na TAWA kuhusu uvunjifu wa Haki za Binadamu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani matukio ya uvunjifu wa Haki za binadamu yanayodaiwa kufanywa na Askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama Pori (TAWA) baada ya kuwepo vitendo vya kupigwa na kuuwawa. Akizungumza na waandishi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia kukamilisha kituo cha biashara Afrika Mashariki

    Baada ya kukwama kwa mradi huu kwa miaka kumi, serikali ya Rais Samia Suluhu inajenga mradi huo ambao utakua na maduka 2060 na kuzalisha ajira za moja kwa moja zaidi 15000 na zisizo za moja kwa moja 50000. Eneo la mradi huo ni zaidi ya viwanja 10 vya mpira wa miguu. Mradi huo utakapokamilika...
  7. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Kuna tishio la kituo cha yatima Ilemela mbioni kufungwa kutokana na Sherali Husein kukishtaki mahakamani kituo akidai alipwe fidia ya milioni mia moja

    KUNA TISHIO LA KITUO CHA YATIMA ILEMELA MBIONI KUFUNGWA KUTOKANA NA SHERALI HUSEIN KUKISHTAKI MAHAKANI KITUO AKIDAI ALIPWE FIDIA YA MILIONI MIA MOJA Hofu imetanda jijini Mwanza miongoni Mwa waislamu kutokana na Sherali na Ndugu yake BIM kuapa na kutamba Kwamba WAtakifunga kituo cha YATIMA...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru wazindua kituo cha redio Chalinze FM 97.5

    Wiki hii Mwenge wa Uhuru ulifika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani kumulika na kukagua miradi ya maendeleo ambapo ilizindia Kituo cha Redio cha Chalinze FM 97.5 chini ya kauli mbiu yake ya 'Sauti ya Jamii'. Chalinze FM iko katika Jengo la Makao Makuu ya Halmashauri ya Chalinze na...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Hivi Askofu Gwajima haoni hali ya mazingira ya kituo cha Kawe hasa kipindi hiki cha mvua?

    Salaam Ndugu zangu, Kijana wenu mfukunyuzi mtembezi sipendi kuacha kutia neno kila napoona jambo halijakaa sawa. Leo nikiwa kwenye harakati zangu nimepita maeneo ya kituo cha Kawe na kuona mambo ya ajabu kabisa katika kituo kikuu cha Mabasi cha eneo hilo. Wakuu nafahamu kuwa mazingira ya vituo...
  10. lufungulo k

    JamiiForums Tanzania Pongezi kituo cha afya GAIRO

    Napenda kutoa pongezi za dhati kwa Serikali na kituo cha afya GAIRO, nimekwenda kupata HUDUMA majira ya saa 14:00. Nimepokelewa vzr, toka mapokezi mpaka kwa daktari. Baada ya maelezo kwanza nimepimwa pressure. Kisha nikaelekezwa niende MAABARA. nimechukuliwa vipimo. Jamani hili kipindi cha...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uvinza, Kigoma: Barabara ya kwenda Kituo cha Afya Kalya hali ni mbaya, Serikali iangalie jinsi ya kusaidia Wananchi

    Ujumbe huu kutoka kwa Daktari anayefanya kazi shughuli zake Mkoani Kigoma. UJUMBE HUU HAPA: Mi naitwa Dkt. Amos Matajiri nafanya kazi Kituo cha Afya Buhingu kilichopo Mkoani Kigoma, hayo ndio mazingira yanavyokuwa kipindi cha mvua. Nilifanikiwa kurekodi hiyo video nikiwa naenda Kituo cha Afya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania RC Kunenge apokea kilio cha wanaotumia mabasi ya mwendo kasi kituo cha Kibaha bus terminal

    Mkuu Mkoa wa Pwani Mhe. Alhaj Aboubakar Kunenge, akizungumza na abiria kwenye Kituo Kikuu cha Mbasi Kibaha Mei 2, 2023. WANANCHI wanaotumia usafiri wa mabasi ya Mwendo Kasi (DART) kwenye Kiituo Kikuu cha mabasi Kibaha Mkoani Pwani, (Kibaha Bus Terminal) wametoa malalamiko yao kwa Mkuu Mkoa wa...
  13. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Hadi kufikia sasa, hakuna kituo cha runinga ama redio kilichocheza wimbo wa "Nipeni maua yangu"

    Sawa, hauna video, lakini hata kwenye redio haukuchezwa pia (a) Ni kwamba wamiliki wa redio zetu pamoja na watangazaji wao hawana uhakika na uhuru wa vyombo vya habari walionao? (b) Au ndo kusema kuwa barua kutoka BASATA zilisambazwa sehemu husika kimya kimya pasi na taarifa kwa umma? Wacha...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Shukrani Wakristo kwa upendo, kituo cha redio kinamilikwa na Muislamu ila mmekichangamkia

    Kituo cha Wasafi media kinamilikiwa na Muislamu, na kila Jumapili huwa kinapeperusha kipindi cha Kikristo. Leo hapa naona pamenoga kweli kweli Wakristo wamejumuika na kumsifu Yesu kwa upendo, hapa nawaza dini zingine unakuta hata mgahawa ukimilikiwa na mtu asiye wa dini hiyo hawawezi hata...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Sudan: Kituo kinachofuga Simba chapungukiwa chakula kutokana na vita, wafanyakazi waanza kukimbia

    Kituo hicho cha Sudan Animal Rescue Centre (SARC) kinachofuga Simba 25 pia kina wanyama wengine wakiwemo gazelles, ngamia, nyani na fisi, kipo karibu na Jiji la #Khartoum ambapo kuna vita ya kugombea madaraka inaendelea. Simba mmoja anakula kilogramu 5 hadi 10 za nyama kwa siku jambo ambalo...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mradi unaojengwa Mpaka wa Tanzania na Burundi utakuwa na kituo kimoja ‘One border stop Project’

    Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Kabingo-Kibondo-Kasulu-Manyovu wenye urefu wa Kilometa 260.6 unaoanzia Mpakani mwa Tanzania na Burundi upo katika hatua mbalimbali za ujenzi. Akielezea maendeleo ya mradi huo akianzia na eneo la Mpakani, Mhandisi Ngoko Mirumbe ambaye ni Kaimu Meneja wa TANROADS...
  17. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Changamoto wanazopitia abiria wanaotumia Kituo Kikubwa cha Daladala Kilombero msimu huu wa mvua

    Kituo kikubwa cha daladala kilichopo Kilombero karibu kabisa na Soko la Kilombero jijini hapa kimegeuka kuwa kero kubwa hasa kipindi hiki cha mvua kutokana na kukosekana kwa sehemu ya kujikinga mvua kwa abiria wanaotumia kituo hicho. Muundo wa kituo hiki umejengwa kama uwanja wa mpira na sio...
  18. nguvumali

    JamiiForums Tanzania Vibaka kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma

    Naandika thread hii kwa huzuni Sana. Leo Alfajiri nimeamka katika Mji wa Dodoma. Nilipofika kituo Kikuu cha Mabasi kabla sijaingia getini nimeshuhudia kundi la Vijana wakivamia abiria wanaotembea kwa miguu au abiria wanaoshuka Kwenye daladala na kuingia kituoni kwa miguu. Mamlaka za usimamizi...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Janeth Mahawanga ametembelea Kituo cha Watoto Yatima cha New Faraja Orphanage Center

    MHE. JANETH MAHAWANGA ATOA ELIMU KUPINGA UKATILI WA WATOTO NEW FARAJA ORPHANAGE CENTER Mbunge Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dar Es Salaam na Mwanzilishi wa Taasisi ya Tisha Mama Foundation, Mhe. Janeth Elias Mahawanga na Taasisi ya Ejaz Bhalloo Foundation pamoja na Jeshi la Polisi kutembelea...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mexico: Watu 40 wafariki kwa moto katika kituo cha Wahamiaji

    Watu waandamana nje ya kituo cha wahamiaji cha Mexico baada ya moto kuzuka katika kituo hicho, Machi 28, 2023 Takriban watu 40 wamefariki na wengine 29 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka katika kituo cha wahamiaji cha Mexico kwenye mpaka na Marekani. Kituo hicho katika Mji wa Mexico wa Ciudad...
Back
Top Bottom