kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    Business Insider: Tanzania Inaelekea kuwa kivutio na kitovu cha Uwekezaji Duniani

    Jarida maarufu la masuala ya biashara Afrika na Duniani limeitaja Tanzania kuwa Moja ya Nchi zinazoelekea kuwa kimbilio la wawekezaji Duniani. Hongera sana Rais Samia na Tanzania, haya ndio mambo tunapenda kuyasikia.. ======= Idadi ya miradi iliyosajiliwa nchini Tanzania iliongezeka kwa...
  2. The Assassin

    Clouds TV imeanza kuwa kituo cha kutetea wauza madawa ya kulevya

    Clouds TV jana iliita muuza madawa ya kulevya anaeitwa Jack Cliff kuja kujitetea jinsi alivyokamatwa na madawa ya kulevya. Taarifa za uhakika zinaonyesha kua mamlaka nchini China/Macau zilimkamata Jack akiwa na madawa ya kuelvya aina ya Heroine kilo 1.1 mwilini mwake na kupelekea kufungwa...
  3. O

    EDO KUMWEMBE: Kituo gani kinafuata kwa Fei Toto?

    ALIPOOMBA au tuseme walipoomba marejeo kuhusu kesi yake ya kujaribu kuvunja mkataba, upande wa Feisal Salum ‘Fei Toto’ umepigwa chini tena. Inaonekana kwamba uamuzi wa awali wa kamati iliyokaa kujadili kesi yake umebakia vile vile kwamba Fei ni mchezaji wa Yanga. Nini kinafuata kwa Fei Toto? Ni...
  4. Debby the FEMINIST

    Lindi: Wajawazito wajifungulia kwa tochi umeme ukikatika kituo cha afya rutamba

    Wakati dunia ikiadhimisha siku ya wanawake Duniani, wanawake wa kata ya Rutamba halmashauri ya manispaa ya Lindi wamelia na changamoto ya uchakavu wa miundombinu katika kituo cha afya cha Rutamba. Wamelalamikia hayo baada ya wafanyakazi wanawake kutoka Mashujaa FM kufika kituoni hapo...
  5. MoseKing

    Je, Kituo chako Cha Ajira Kiko Wilaya gani Tanzania, unadhani ni sehemu yenye 'Future' kwako au unatamani kuhamia Mkoa tofauti- Utaje

    Binafsi, Niko Kilimanjaro kikazi lakini hata ikitokea napata uhamisho usiku wa manane nasepa. Kilimanjaro nadhani ni Mkoa wa wastaafu na siyo sehemu ya utafutaji. Na maisha ya huku ni tofauti sana. NI mkoa mdogo sana. Ni mkoa wenye idadi ndogo sana ya watu, mostly wazee. Ni mkoa wenye Ardhi...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Rose Cprian Tweve ajitolea kutunza kituo cha watoto Yerusalemu, Wilaya ya Mufindi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe. Rose Cprian Tweve amekuwa chachu ya maendeleo kwa wananchi wenzake kwa kujitolea kutoa matunzo na mahitaji yote muhimu kwenye kituo cha watoto cha Yerusalemu. "Mimi kama Mwenyekiti wake Rose wa UWT Wilaya ya...
  7. B

    Dkt. Samizi afanya ziara Jimboni, achangia zaidi ya Milioni 3 Ujenzi wa nyumba ya Mganga wa Kituo cha afya

    DKT. SAMIZI AFANYA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA ZAIDI YA MILIONI 3 UJENZI WA NYUMBA YA MGANGA WA KITUO CHA AFYA. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amefanya ziara ya kusikiliza kero za wananchi kata ya Usagara Jimboni ambapo pamoja na mambo mengine ameweza...
  8. Hemedy Jr Junior

    Omond akiwa kituo cha polisi

  9. benzemah

    Askari anayenyanyasa wananchi kuhamishwa kituo cha kazi, kunajenga picha gani?

    Jumatatu 20 Februari 2023, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa kuwa limewafukuza kazi Askari wake sita mkoani Arusha (ambao hawajatajwa majina yao) katika kipindi cha miezi sita, kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu yasiyoendana na maadili ya Jeshi hilo. Siku moja baadae, Jumanne 21...
  10. Msanii

    Ushauri kwa Serikali kuhusu utaratibu wa kutumia kadi ya kieletroniki Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli

    Tangu jana tarehe 20 Februari 2023 serikali imeweka utartibu mpya kwenye kituo cha mabasi cha Kimataifa cha Magufuli Bus Terminal pale Mbezi; ambao kimantiki ni utaratibu mujarabu unaoleta tija kwa jamii. Utaratibu wa kutumia kadi ya kieletronic ya N-Card kwa wananchi wanaoingia ndani. Mantiki...
  11. BARD AI

    Leo ni siku ya Redio Duniani, Kituo gani cha Redio unasikiliza zaidi?

    Siku ya #Redio Duniani ilianzishwa na Kikao cha Umoja wa Mataifa mwaka 2012 kwa kuhusisha Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Redio uliorushwa moja kwa moja kutoka Geneva mwaka 1974. Siku hii huadhimishwa kila mwaka kwa lengo la kutambua mchango muhimu unaotokana na Redio katika maisha na jamii...
  12. N

    Uzi Maalum wa Uhamisho wa watumishi kubadilishana kituo cha kazi

    Mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anahitajika, mimi nipo Dodoma Mpwapwa DC. Kituo ni kizuri, mazingira mazuri, maji yapo, usafiri upo 24hrs. Wa kubadilishana nae awe mikoa ifuatayo; 1. Iringa 2. Mbeya 3. Morogoro
  13. R

    Watanzania walio wengi hawatumii nukta wala kituo

    Watanzania wengi wa elimu katika ngazi tofauti tofauti si watumiaji wa nukta au kituo katika uandishi. Habari inaandikwa paragraph nzima mistari kumi no mkato no nukta. Je, changamoto ni wazazi wetu, waalimu au ni utamu wa Kiswahili?
  14. BARD AI

    Iringa: Wananchi wahofia kufanyiwa Upasuaji kwenye Kituo cha Afya kisicho na Jenereta

    Mganga Mfawidhi wa Kituo hicho, Dkt. Selestini Vulua amesema kituo hicho ni kati ya Vituo 6 vilivyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ambapo kinahudumia Kata 7 na Vijiji zaidi ya 30 kwa Huduma ya Upasuaji. Dkt. Vulua amesema "Kuna wakati unafungua Tumbo la Mama halafu Umeme wa TANESCO...
  15. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yakabidhi kituo cha mawasiliano Ocean Road

    Benki ya CRDB imekabidhi kituo cha mawasiliano katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ikiwa ni matokeo ya fedha zilizokusanywa katika mbio za CRDB Bank Marathon 2021. Kituo hicho cha kisasa na cha kwanza kwa hospitali hapa nchini kimekabidhiwa kwa uongozi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road...
  16. R

    Baada ya Shekhe Mkuu wa Dar es Salaam kutenguliwa kituo kinachofuata ni Dkt. Malasusa

    Natabiri kuzalishwa kwa migogoro ya kidini itakayowaandama na kuwavunjia heshima viongozi wote WA Dini walioacha Dini awamu ya tano na kusimama kidete na watesi wa waumini wao. Kuna kamati iliitwa kamati ya Amani ya Dar , ilikuwa na Sura ya kidini lakini mwoneoano wa kisiasa. NI kamati ambayo...
  17. P

    Muonekano wa kituo kipya cha daladala cha Kinyerezi

    #mamayukokazini #mamaanafanikisha #kaziiendelee
  18. F

    DC Shaka Hamdu Shaka hawezi mikimiki ya Wakulima na Wafugaji wa Kilosa, abadilishiwe kituo

    Wilaya ya Kilosa ni kiini cha migogoro ya Wakulima na Wafugaji. Ma DC wengi na hata wakuu wa mikoa na viongozi wa Polisi mkoa na wilaya watakiri hili. Uteuzi wa Shaka kwenda pale tena akiwa DC kwa mara ya kwanza utazamwe upya. Hii wilaya yahitaji DC mzoefu au mwenye uwezo mkubwa wa kutatua...
  19. Mwizukulu mgikuru

    Takukuru chunguzeni kituo cha kulelea watoto yatima Kashai mjini Bukoba

    Kuna mambo yanatendeka pale hayako sawa, kuna mama mmoja yuko pale anakula misaada ya watoto yatima.
  20. Determinantor

    Biashara gani nifanye karibu na Kituo kipya cha Polisi?

    Shalom, December 2022 nilienda likizo nyumbani, nimefika nimekuta wamejenga kituo kipya na kikubwa Cha Polisi. SI mbali na makazi yetu ya asili, nikawaza namna ambavyo naweza kuanzisha biashara Ili kutoa huduma huku nikijiongezea kipato. Nimekuja mbele yenu mnisaidie mawazo, kutokana na...
Back
Top Bottom