kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Ogopa mwanamke anayedai pesa ya matunzo

    Wadau hasahasa wanaume, kuna utamaduni ambao kimsingi binafsi naona umechangia kwa kiasi kikubwa sana matatizo ya mahusiano. Kuna kitu wanawake wanaita 'pesa ya matunzo' au 'huduma' na majina mengine mengi. Wanaume wengi wameingia kwenye huu mtego hasa wakiwa na kahela hata kadogo anaona ni...
  2. YE67NBE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

    Wakuu za sahizi, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nipo hapa nacheka kaa fala kwa kweli. Hii ni baada ya kuona baadhi ya wanaume wanadatishwa kwa avatar za wanawake humu ndani bila kuangalia uhalisia. Asee nyie watu mnaenda kupigwa huko na vitu vizito watu mpaka mnaotana aseee 😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Huwezi kuwa serious, kabisa...
  3. Mjinga sana mimi

    JamiiForums Tanzania Naweza kufanya kitu gani /kutoa huduma gani kibiashara kupitia hivi vitu nilivyo navyo bila kuwa na mtaji?

    Hellow members,Naweza kufanya kitu gani au kutoa huduma gani kibiashara kwa kutumia vitu hivi nilivyo navyo bila mtaji? Vitu vyenyewe ni: 1.Smartphone 2.Simu ndogo.
  4. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Msimu huu wamekosa kila kitu, ni robo tu..

    Kama utani vile, ndugu zetu hawana chao huu msimu. Bundi kasimama juu ya bati lao, hamna waliloambulia msimu huu. Tusiwasimange tuwape pole, na wao wasibeze mafanikio ya waliowashinda bali wajifunze na sio vibaya wakituuliza tumewezaje. Hatuna hiyana mbinu zetu tutawapeni, msijitie kibri...
  5. mangosongoo

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, Mungu akikupa uhai mpaka unafikisha miaka 35 hakikisha uwe na familia. Fedha si kitu

    Ndugu zanguni, maisha yanakwenda kwa kasi sana, na hatujui ya mbele yetu ni nini, yanaweza yakawa mazuri au mabaya japo katika kanuni ya maisha hatutakiwi kujitabiria mabaya. Katika mazuri kunakufanikiwa kimaisha, kiuchumi, kifamilia, elimu na afya njema lakini katika mabaya nayakusikitisha kwa...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua Kumhusu Le Mutuz Super Brand!, Je Wajue Alijitabiria Kifo Chake Kabla?. Aliandika Kila Kitu. Could He Be The Top Most JF Celeb Wetu?

    Wanabodi, JF bado tuko kwenye maombolezo ya kumlilia member mwenzetu William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz Super Brand ambaye kesho Jumatano saa 9:00 Adhuhuri ndipo atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele, kwenye makaburi ya familia ya Malecela pale Mvumi Mission, Dodoma. Kuna mengi...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi anaetumia nguvu na muda mwingi kujifunza kitu kile kile kwa msaada mkubwa ili aelewe, akifaulu ni Genius?

    Maana nashangaa nashindwa kuelewa watu wanawaitaje hawa watu magenius na utawalinganisha vipi na wale ambao wanaweza kujifunza haraka bila kurudia rudia na wana msaada mdogo wa material na walimu. Unakuta mwanafunzi topic 1 tu anaiwekea nguvu kubwa mnooo! Yaani anairudia rudia sana ili iwe kama...
  8. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Wenye picha za huko Rondo tunaomba mzitupie hapa tujifunze kitu

    Haya wale mliopo huko Rondo Chipota tunaomba mturushie picha za huko kijijini Rondo ili Watanzania wanyonge tuweze kujifunza kitu. Natanguliza shukrani zangu
  9. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ukiumwa ndiyo unaelewa vizuri umuhimu wa afya kuliko kitu kingine

    Hapa kichwa kinagonga, koo linakereketa, mwili unauchovu mzito ambao sijui umetokea wapi, no malaria no UTI. Hapa sitamani kitu chochote zaidi ya kupata ahueni. Afya inastahili uwekezaji mkubwa sana.
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Sijawahi Kuona Hii Kitu kwa Mfiwa, Anayejua Ina Maana Gani?

    Mkuu pole kwa misiba hii iliyofutana. Kuna hili la mfiwa kuzungushiwa utepe mwekundu akiwa kakaa mwenyewe, ni nini maana yake katika jamii iliyostaarabika?
  11. KingsStore

    JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie Bidhaa za kielectronic simu, PC, Tablet, Fridge, Sabufa na Tv kwa uaminifu mkubwa

    Bidhaa zote za kielectronic Simu, Pc, Tablet, Sabufa, Tv na Fridge vinapatikana kwa bei rahisi sana, simu zetu zipo used from Dubai na Full boxed mpya kabisa tunauza Iphone, Samsung, Google pixel, Sony, Oppo na Infinix warranty ni uhakika Tv pia zipo Hisense, Samsung ukubwa tofauti tofauti...
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naona jamii yetu ya siku hizi wanaona single parenting kama kitu cha kawaida

    Sijui kwa upande wenu ila kila nikitizama siku hizi single parenting imekuwa kama trend yaani kitu fulani ambacho vijana hawakiogopi. Nikitizama zaidi nawaona hawa wana saikolojia/motivation speakers ambao kidogo wamebase kwenye biashara hili jambo wamelichukua kibiashara zaidi. Mfano siku...
  13. badison

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani Hamna kitu zimebaki sifa tuu in short US military is overrated

    Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk. Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda...
  14. Saidama

    JamiiForums Tanzania Umewai kushuhudia/kuona kitu gani cha ajabu kwenye maisha yako ambacho hutosahau?

    Funguka
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwa na ukungu katika kutunza kumbukumbu limenianza taratibu, nifanye mambo yapi ili kulitatua ama kulipunguza?

    Nimekuwa na tatizo la kusahau sahau yani kitu kidogo tu kukitunza akilini nikifanye baada ya mda flani ama nikifatilie imekuwa ni ishu, Bado mimi ni kijana nina miaka 32 kwakweli naanza kuogopa hali itakuwaje nikifikia huko 50 - 60+ Kwa sasa situmii kilevi ila hapo nyuma tangu 2013 hadi 2022...
  16. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Iko wapi amani ya maisha yangu?

    Hope ni wazima Wana JF, Maisha ni fumbo, nilijua kuwa na unafuu wa maisha moyo wangu utakuwa na amani na furahi, lakini imekuwa sio hivyo. Nina kazi nzuri, ambayo inanipa mshahara wa kuweza kumudu gharama za maisha lakini sifurahii chochote kwa sasa. Chazo sio familia nina mke na mtoto mmoja...
  17. President of China

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo yangu juu ya asili ya uwepo wa kila kitu

    Wapendwa wana JF nimekuwa nikitafakari sana kuhusu mambo yalivyo. Nimesoma vitabu vya dini nikasoma sayansi, nimefanya meditation na kufanya mambo ya kila namna. Lengo lilikuwa kupata kujua uhalisia wa Existance. Kila nikienda ndani zaidi mambo ndiyo yanazidi kuwa makubwa zaidi. Asili yangu...
  18. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Pele aingia katika kamusi kama kitu au mtu asiye mfano kwa ubora wake.

    Neno Pele limeingizwa katika kamusi ya Michaelis ya kireno. Neno hilo limetafsiriwa kama ifuatavyo: "Kitu au mtu ambaye siyo wa kawaida, kitu au mtu ambaye kwa mujibu wa ubora, thamani au ubora wake hawezi kuwa sawa na kitu chochote au mtu yeyote, kama Pele, jina la utani la Edson Arantes do...
  19. jastertz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa za kutafuta mwenza mwenyewe hazidumu kuliko zile walizokuwa wanatafutiwa?

    Habari wa JF, Leo nilikua mahali napiga story mbili tatu na pisi moja hivi mitaa ya stend. Tuliongea mengi then tukazama kwenye story za mapenzi, nikamuuliza, kwanini wapenzi wa kutafutana na kupendana hawadumu kwenye ndoa, tofauti na zamani ile unaambiwa huyu ni mke/mme wako? Mnaona ambao...
  20. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Kero gani umewahi kukutana nazo kwenye nyumba za kupanga?

    Binafsi kero za mwenye nyumba zilisababisha kujenga nyumba yangu na kuhamia faster ilikuwa 2015. Unalipa kodi mara umeme umekatwa wakati kwake upo, mara kuchota maji mwisho saa 4 asubuhi, hutakiwi kutumia pasi ya umeme wala water heater yani ilimradi uishi kwa mateso. Ukiongea unaambiwa...
Back
Top Bottom