kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Walimu tunawatendea haki Wanafunzi?

    Habari wadau wa elimu ,naomba kuuliza: hivi Ni kwanini walimu tunatakiwa ku identify mwanafunzi Kama delicate entity ,na wakati unaandaliwa kuja kwenye ulimwengu ambao Ni hursh sana?. Kwasababu ukifuatilia hapa kila mtu ,Awe mfanyakazi serikalini au private ,au amejiajiri au raia wakawaida...
  2. Tulibhalega

    JamiiForums Tanzania Simba sc itarudisha makombe iliyoyapoteza

    Wasalaam wana jf Kwanza nianze kwa kuwapongeza wanafainali wote wa ngao ya jamii 2023 kwa kufanikiwa kucheza fainali. Pili niwapongezea tena simba sc kwa kufanikiwa kushinda ngao ya jamii mwaka 2023 tena mbele ya mtani. Tatu nijielekeze kwenye nada; Nimeangalia mechi tatu za simba kwa makini...
  3. Mi Cielo

    JamiiForums Tanzania Wanawake tunaojilipia wenyewe kila kitu tupeni maua yetu

    Tupeni tu maua yetu kwakweli, halafu muache kukariri kwamba mwanamke yoyote ni lazima kuna mwanaume nyuma anamsaidia tu, kuna wengi tu wanajihudumia wenyewe kwa kila kitu wapeni maua yao aisee.
  4. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Tanzania ndio wachumia tumbo na Wazalendo ndiyo vilaza hawaelewi kitu

    Hii ndio Tanzania yetu ukishapata kitengo, uongozi au nafasi ni muda sahihi wa kupokea rushwa, kufanya biashara magendo, ubadhirifu na uhujumu uchumi Viongozi na Watumishi hawana uchungu na hii nchi. Wazalendo ndio maskini wa kutupwa na wengi ni wajinga hawana uelewa wa kuhoji zaidi ya kujiita...
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Watanganyika Tujifunze Kitu Hapa

  6. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kuharibu au kuibiwa na kitu ulichoazima? ulifanya maamuzi yapi na hali ikawaje kwa uliyemuazima?

    Nakumbuka 2002 niliazimwa cassete ya Nellyvile albam ya Nelly nikaenda kuirekodi nipate nakala, redio ikazunguka spidi ikala mkanda, kiukweli mshkaji alinimaidi sana maana ilikuwa ni casette original ametumiwa na ndugu yake kutoka Marekani. Nilijisikia vibaya sana kupoteza hii connection, kuna...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini kitu kilichohai hakiozi?

    Ni swali tu, na jibu najua lipo, naomba majibu
  8. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Ukimuomba pesa rafiki yako anakusaidia kwa haraka, lakini kila akikuomba kwako huna kitu.

    Na mwingine anasaidia sana rafiki zake na jamaa zake wanapopata anguko la uchumi, lakini likija upande wake hawamsaidii, akikwama anakwama kwelikweli. Katika uislamu tumefundishwa kwamba mkopeshaji ''mwenye kukopesha'' anathawabu nyingi kulikoni mwenye kutoa sadaka. Yaani wewe kama 'Umemkopesha...
  9. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uthubutu na kuiweka hofu kando, kila kitu kinawezekana

    Haujambo mwafrika, haujambo mtanzania? Katika jukwaa la stori za mabadiliko, ninayo furaha kubwa kuwasalimu kwa jina la mtanzania na muwe na amani hata milele Amina. Niko na wazo langu, ambalo kupitia jukwaa hili, huenda likaleta mabadiliko kwenye jamii yetu ijapo hata kidogo tu. Nina uliza...
  10. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa waache kuwakashfu viongozi wa dini kwenye mikutano yao

    Namsikia Lema akiwakoromea viongozi wa dini kwa maneno ya dhihaka na dharau kwa kuwa tu hawajahudhuria mkutano wa siasa, kana kwamba na wao ni wanasiasa au wanalazimika kufanya hivyo. Wana hiyari ya kuja au kutokuja, wasipokuja hawana kosa na wakija pia hawana kosa, iweje wasipokuja uwaone...
  11. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Jere Van Dyk: Nilichukuliwa na Taliban mara nilipokubali kukatwa kichwa kitu cha ajabu kilitokea

    Jere Van Dyk alikamatwa na kushikiliwa na kundi la Taliban kwa siku 45 katika eneo lisilo la mtu kati ya Afghanistan na Pakistan, ambapo alikabiliwa na hukumu ya kunyongwa. Kadiri matukio ya kutisha yanavyoendelea, watu kunyakuliwa na kundi la Taliban na kuuawa kwa kukatwa kichwa lazima iwe...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc hatujamaliza, Saa 7 tunasambaratisha kila kitu

    Wakati kibegi kikiendelea kurindima na nyuzi kali, fahamu kwamba hatujamalizaa. Leo saa 7 mchana tunamtangaza mkali wao na kusambaratisha kila kitu.
  13. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kitanizuia kuwa Kama Elon Musk

    Habari Wana jf Mimi ni mtanzania niliye na shauku kubwa ya kuwa mtu mwenye ushawishi mkubwa duniani hasa wa kifedha , Elon Musk ndiye role model wangu. Nikifatilia story za Elon Musk ili nijijenge zaidi 👉Kwenye Kati ya speech yake Elon alisisitiza watu wafute social media, basi nami...
  14. blogger

    JamiiForums Tanzania Hiki ni kitu gani jamani?

    Ni nini!?
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Mkataba wa Bandari unafanana kila kitu na mkataba wa ujenzi wa Mlimani City

    Ukienda pale Dar es Salaam kuna sehemu inaitwa Mlimani City, na wengine wakienda Dar es Salaam na kama hawajafika Mlimani City wanahisi hawajafika Dar es Salaam. Wakati tunaijenga Mlimani City tuliambiwa tunakiuza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kumbe tulichukua eneo dogo na kumpa mwekezaji...
  16. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Leo tuwape Mods na Kiongozi Melo maua yao. Mod gani anakukosha? Alifanya kitu gani ukafurahia uwepo wako JF?

    Wakuu kwema? Mada inajieleza kabisa hapo. Leo ni tuwape Mods wa JF pamoja na Muanzilishi wa JF, kioo cha wengi Bwana Maxence Melo maua yao. Sema jinsi Mods na Melo wanavyosaida siku yako iwe nzuri kila unapoingia JF. Ulifanyiwa kitu gani kikakupendeza mpaka ukatamani uwatoe hata ka ofa ka...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hili la bandari nalo likipita kwa ushwari uliolengwa na mamlaka, je ni kitu gani au jambo gani tena la kutuingiza barabarani kama nguvu ya umma?

    Kama kuna jambo ambalo limeamsha hisia na vuguvugu za kizalendo kwa kipindi kirefu kilichopita, na kupata sapoti ya wanazuoni wanaoheshimika ndani na nje ya nchi ni hili la bandari. Pamoja na kuwa wazi kabisa kwamba kuna kila dalili ya kuja kulilia huko mbele ya safari kuwa viongozi wetu...
  18. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nafanya meditation napaswa kuwaza kitu gani?

    Wakuu habari za majukumu, Huwa ninafanya mazoezi, na kila baada ya mazoezi nakaa kitako, nafumba macho nikivuta hisia. Wakati huu napaswa kufikiria jambo gani? Update. Nashukuru nimepata link. Meditation: Maana, njia na faida zake
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania MB DOG: Diamond Platnumz amenidhulumu wimbo wa Mapenzi Kitu Gani

    "Google wimbo huu wa Mapenzi Kitu gani au ingia YouTube halafu ataona. Nenda kwenye more Information utaona jina la Msanii aliyeimba wimbo huu imeandikwa jina la #DiamondPlatnumz. Ubunifu kama huo lakini nikitaka kuutumia napigwa stop. Unapotaka kuutumia kwa ajili ya maisha ya familia ili nipate...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Giggy ana kitu, atafika mbali

    Giggy akipiga bonge la Own Goal (OG). Ana kitu
Back
Top Bottom