Kitu (Persian: كيتو, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.
Wakuu kwema?
Mada inajieleza kabisa hapo. Leo ni tuwape Mods wa JF pamoja na Muanzilishi wa JF, kioo cha wengi Bwana Maxence Melo maua yao. Sema jinsi Mods na Melo wanavyosaida siku yako iwe nzuri kila unapoingia JF. Ulifanyiwa kitu gani kikakupendeza mpaka ukatamani uwatoe hata ka ofa ka...
Kama kuna jambo ambalo limeamsha hisia na vuguvugu za kizalendo kwa kipindi kirefu kilichopita, na kupata sapoti ya wanazuoni wanaoheshimika ndani na nje ya nchi ni hili la bandari.
Pamoja na kuwa wazi kabisa kwamba kuna kila dalili ya kuja kulilia huko mbele ya safari kuwa viongozi wetu...
Wakuu habari za majukumu,
Huwa ninafanya mazoezi, na kila baada ya mazoezi nakaa kitako, nafumba macho nikivuta hisia. Wakati huu napaswa kufikiria jambo gani?
Update.
Nashukuru nimepata link. Meditation: Maana, njia na faida zake
"Google wimbo huu wa Mapenzi Kitu gani au ingia YouTube halafu ataona. Nenda kwenye more Information utaona jina la Msanii aliyeimba wimbo huu imeandikwa jina la #DiamondPlatnumz. Ubunifu kama huo lakini nikitaka kuutumia napigwa stop. Unapotaka kuutumia kwa ajili ya maisha ya familia ili nipate...
Member type: Constituent Member
Constituent : Sing in the West
Political Party : CCM
Phone : +255786570111
P.O Box :
Email address: e.kingu@bunge.go.tz
Date of Birth : 1979-08-05
The history of education:
School Name/Location
Course/Degree/Award
From
To
Level
The University of Macedonia...
Waislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu.
Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu then kwanini wakristu na waislamu HUTUBU DHAMBI ZAO kwa Mungu pindi watendapo dhambi?
Kwa sababu...
Nimeingalia movie ya EONII lakini haijanifurahisha kabisaaa. Advertisement waliyofanya AZAM ni kubwa sana lakini movie sifuri. Teknolojia iliyotumika ni kubwa kuliko movie yenyewe.
Characters waliocheza movie wamemezeshwa maneno ya kuongea hata mzuka haupo. Angalau Azam wangetafuta professional...
Nimemuona huyo jamaa mkenya uko Simba app akiongea kavaa Uzi mpya juu ya nembo ya mo xtrer Kuna nembo ya VB inapaushwa kwenye video editing ili isisomeke.
Kweli VB alifanya kosa kubwa kutoweka nembo za mo kwenye Uzi wa Simba wa kimataifa hata msahau Muhamedi Kamwe.
Nimekuwa nikisoma mashambulizi mbalimbali mitandaoni dhidi ya chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo wanaokiponda hasa CHADEMA na kujikuta wakati mwingine niwaze kitakachoitoa CCM madarakani. Ukisoma maandishi ya wapinzani unaweza ukatishika na kudhani mwisho wa CCM ndo...
Wanasema kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa.
Nipo kwenye ndoa nae mwaka wa sita huu lakini sasa ni mtihani mtupu. Mke wangu ana kiburi cha asili, gubu na wivu wa kijinga sana na kwenye ndoa tuna watoto watatu.
Hakuna anachokosa natimiza wajibu wangu kama mume, sijikwezi lakini ukweli mke...
Naibu Waziri wa Habari na Teknolojia ya Mawasiliano, Kundo Mathew amewataka wadau wa habari kutosheka na maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229 akisema ni hatua kubwa imepigwa.
Ameyasema hayo leo Julai 6, 2023 alipokuwa akifunga mradi wa ‘Boresha Habari’ wa taasisi ya Internews...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema Serikali itazichukuliwa hatua taasisi zote za kidini ikiwemo taasisi inayoendeshwa na Diana Bundala maarufu ‘Zumaridi’ ambazo zinajiendesha kinyume na tamaduni za Kitanzania.
Akizunguma katika kikao kati yake na viongozi wa mashirikisho na...
Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Muuguzi wa hospitali ya KCMC Moshi Khudheifa Changa (26)
Akitoa taarifaa hiyo kwa vyombo vya habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro ACP Simoni Maigwa amesema kuwa walio kamatwa ni...
Zanzibar wakitaka kufanya chochote wanakuta kwenye (bunge la Zanzibar) baraza la wawakilishi pale Chukwani wanatunga na kupitisha sheria taratibu kanuni kwa ajili ya Zanzibar peke yao na kuweka kwenye katiba yao kando kinachoitwa katiba ya muungano.
Na ukiingia Zanzibar katiba inayotumika ni...
Kaizer Chief wanajua sana.
Wakati wa anafanyiwa usaili alijigamba kuwa anaweza kuleta maajabu kilabuni, akaambiwa njo uanze kazi akaanza mara nije na Mayele na benchi langi lote,janaa wakamstukia kuwa hamna kocha hapa.
Amin amin nawaambia bila Mayele na njemba fukani pale Yanga Nabi...
Ukienda kupata matibabu Zahanati/Kituo cha Afya/Hospitali ya Wilaya/ Hospitali ya Rufaa au Mkoa/ Hospitali ya Kanda na Hospitali ya Taifa Muhimbili kitu gani kina kukera ili Wizara ichukue hatua kurekebisha tatizo hilo kwa kusaidia unaweza taja hata sehemu husika ili utatuzi ufanyike.
Umesoma kwa wakati, umeoa/umeolewa kwa wakati, umepata watoto kwa wakati, umekuwa na kipato kwa wakati, umesomesha kwa wakati na kila kitu kimekaa sawa kwa wakati. Maana yake hata kufa utakufa kwa wakati/mapema baada ya kukamilisha mambo yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.