kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uchawi kitu kibaya sana, wachawi wakishikilia maisha yako hutoboi ng'o

    Kazi unafanya lakini hutoboi Kusoma umesoma lakini huajiriwi Kuajiriwa umeajiriwa lakini hali yako ni kama jobless. Biashara unafanya miaka nenda rudi lakini hustawi. Wachawi watu wabaya sana.
  2. JamiiForums Tanzania Hizi takwimu zinaonyesha kuwa Dar ndiyo kila kitu nchi hii

    Kwa tunaotangazaga biashara mitandaoni tutakuwa tumeshuhudia hili. Zaidi ya asilimia themanini ya wateja wa mitandaoni wanatoka Dar. Hii inaonyesha ni jinsi gani Dar ilivyoiacha mmbali mikoa mingine yote. Hizi hapa ni takwimu za matangazo ya biashara instagram.
  3. JamiiForums Tanzania Pamoja na huo utu uzima wako, ni kitu gani bado unakiogopa

    Ni kitu gani unakiogopa tangu utotoni umeshindwa kuacha kukiogopa Najua kuna wengine mpaka wanafaika 30 bado wanaogopa sindano (manesi wana siri nyingi), siwezi kuwacheka maana tunatofautiana tu vitu vya kuogopa. Binafsi huyu mdudu wa kuitwa nyigu akiingia chumba nilichomo huwa nakosa amani...
  4. JamiiForums Tanzania Madogo mnatudharua Mabroo zenu kisa tumeshindwa karibu Kila kitu

    Mpo Pouwa. Haya bhana! Yote Kheri. Mungu ndio anajua. Dharau mlizonionyeshea hakika kama kungekuwa na uchawi ningewaloga wote Mbuzi nyie, watoto niliowaona mkizaliwa, tukawakuza wenyewe, leo ninyi ndio wakuturushia mavi usoni? Kweli! kweli? Kisa mmeshaanza kuzivua Sketi za Wadada sio? Au nini...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025: Kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri

    Wadau, siku zinakwenda mbio. Hazigandi. Uchaguzi Mkuu unakatibia sana. Hapana shaka kwamba chama-tawala CCM kitaendelea kumsimamisha Rais Samia, lakini kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri. Serikali ya Samia inanuka Rushwa toka mtaani hadi Ikulu.
  6. JamiiForums Tanzania Kila nikiona kitu cha hatari natamani kujitupia nife

    Hii hali maranyingi hunitokea nikiwa navuka bara bara nikaona gari linakuja kwa kasi kuna sauti inanijia nijitupe humo linipitie. Kuna wakati inanibidi nirudi nyuma kabisa ili kuishinda hii sauti inayo niamuru kufanya hivo. Au shimo refu au nikiwa juu daraja au kitu chochote bacho ni hatari...
  7. JamiiForums Tanzania Kitu pekee UVCCM hawakisemi

    Wapi ntapata kadi jamani wananzengo
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kitu gani huwakosesha kujiamini watu maarufu?

    Huwa inanishangaza haswa katika siasa, wagombea warefu wanavyopewa sifa na kuonekana bora zaidi kuliko wafupi. Kana kwamba kwa namna fulani wao ni wa kiume zaidi, na wenye nguvu kwa sababu tu ya hizo inchi chache za ziada za urefu. Chukua kwa mfano mgombea urais wa Marekani Ron DeSantis, pichani...
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni ushauri kuna kitu sijaelewa

    Huwa inamaanisha nini ukiona mpenzi wako kapost picha yako watsapp status halafu caption kaandika UNCLE?
  10. JamiiForums Tanzania Mossad walikuwa wapi nchi inashambuliwa kwa style ile ile kwa mara ya pili? Unguli wao ni propaganda tu?

    Mwaka 1973 Israeli ilishambuliwa na Misri na Syria kwa kushtukizwa wakati wa majira ya sikukuu ya Yom Kippur. Misri walivuka mfereji wa Suez na kuingia Israel(Sinai). Wasyria nao wakaingia huko Golan. Hali ilikuwa tete sana kwa Israel hadi jeshi likaamua kuwa liwaache Wasyria wafanye...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kitu kikubwa hapa

    Pichani:Muanzilishi wa KFC(Kentury Fried Chicken) HISTORIA YAKE.. Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake... Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule. Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ajira 4. Akiwa na miaka 18 aliamua kuoa. Akiwa na miaka 19, alifanikiwa kuwa Baba. Akiwa na miaka 20...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ikague ubora wa Ujenzi wa Reli ya SGR Lot 3. Tunaandaliwa kupigwa na kitu kizito siku za usoni!

    Nimelazimika kuandika hiki ninachokiandika kwa kuwa nimeona ukimya wangu unaweza kuja "kuli-cost" Taifa baadaye na mimi nikaonekana kama sikukitendea vema kizazi changu. Naweza kusema nimesoma andiko hili nikashawishika nami kuandike kile ambacho kipo kichwani kwangu na ndio ukweli halisi...
  13. JamiiForums Tanzania Huu Wimbo ni moja ya nyimbo zenye kitu. Na hizi nyingine zenye kujaa Roho ndani yake

    Sikumbuki jina la choir. Ila wanaimba "Mimi ni kitu gani Bwana uniokoe Ninapojitazama mimi sistahili Ninazo dhambi tele Shetani kanisonga Yesu uniokoe Unishike mkono bwana Ni moja ya choir za zamani sana. Kama sikoei ni kutokea Kilimanjaro au Arusha. Pia natafuta na choir ya Moravian...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi huwaga unafanyaje; Pesa ya kodi inakaribia na hauna kitu daaah!

    Kuna mazingira kama haya, umekopa pesa kwa mtu uizungushe ikaferi, matarajio ulipe Kodi, mama mwenye nyumba ulishamuahidi MWEZI WA 10 tarehe 18 unampatia pesa yake leo tarehe 2. Aiseeee na ingebidi MWEZI uliopota umalize deni. Maokoto zero kula kwenyewe kumekuwa kwa tabu saaana, kulala njaa...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada Simu inajufuta kila kitu after every 2 hours

    Wakuu nimepata changamoto katika Google pixel 6 yangu kama ifuatavyo; simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hio error. Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama nilivyoelekezwa kwenye picha hapo chini lakini nimeshindwa. Hii simu ni simu yangu wakuu na neitumia miezi...
  16. JamiiForums Tanzania Nimeona kitu pale JKNI. Je, inawezekana hilo?

    Pale kwenye njia ya reli kuelekea Gongo la mboto na kuendelea wamejenga tuta kuelekea upande wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa JKNI. Ujenzi unaendelea sijajua wataishia wapi au ndio wanaelekea uwanjani moja kwa moja? Nimeuliza hivyo kwani natamani nione uwanja wa ndege wetu unaunganishwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa katika hii Mitanadao... Ni kama wote tunalazimiswa tuwe 5G..

    Sijui kama hili naliona mimi peke angu.. Ila kuna upumbavu mkubwa unaendelea.. Uzi.
  18. JamiiForums Tanzania Kila kitu kipo shaghalabaghara. Nchi imefikia pabaya. Ziara za Waziri Mkuu Majaliwa zinatoa picha kamili

    Kukatika umeme imekuwa janga la kitaifa. Na hapa ndipo amefeli kabisa. Kudhibiti nidhamu ya watumishi na ubadhirifu ndio amekwama kabisa. Kila anapopita Kassimu ni zaidi ya madudu na hii ni Sampuli tu ya uozo. Nchi imefikia pabaya sana tofauti na alipokuwepo mtangulizi wake
  19. JamiiForums Tanzania Wewe unatumia njia gani kupata ujasiri wa kuzungumza mbele ya watu wanaokuzidi kila kitu?

    Habari wana JF, Baadhi yetu tumewahi kupata bahati ya kukaa na wakubwa au kutoa speech mbele ya watu wenye vyeo vikubwa kutuzidi, au kwenye interview nk. Confidence na utulivu ni jambo muhimu sana wakati huo. Binafsi huwa nawadharau watu wote wanaonitazama ili kupata confidence. Wewe...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

    Habari za asubuhi ndugu zanguni, Nimefanya kazi ya ualimu katika shule x mkoani Dodoma kwa miaka 3 sasa nikifundisha masomo ya A level kwenye shule moja ya private. Lakini naona kama hii kazi inakuwa ngumu sana kwangu kuendelea nayo sababu na experience vitu vifuatavyo vinavyoniumiza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…