Huu Wimbo ni moja ya nyimbo zenye kitu. Na hizi nyingine zenye kujaa Roho ndani yake

Guru Master

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
226
594
Sikumbuki jina la choir. Ila wanaimba

"Mimi ni kitu gani Bwana uniokoe
Ninapojitazama mimi sistahili
Ninazo dhambi tele
Shetani kanisonga
Yesu uniokoe
Unishike mkono bwana

Ni moja ya choir za zamani sana. Kama sikoei ni kutokea Kilimanjaro au Arusha. Pia natafuta na choir ya Moravian Makongolosi Chunya, Natafuta Choir moja iliimba " Dunia itakunjwa".

Kuna Moravian Ukonga na wimbo wao Ni Kushangaa tu... Hizi nyimbo hazipatikani kwa sasa.
 
Back
Top Bottom