Kilichokukosha hapo ni huo urembo bandia wa kununua? Uzuri halisi wa mwanamke huonekana asubuhi akiamka na kabla hajagusa uso wake wala kichwa chakeWapi ntapata kadi jamani wananzengo
Hahaha huyu utashangaa ,kawa viti maalum bungeniKijana kuwa CCM ni dalili mbaya uzeeni.
Jiunge nao, utawala sana huko ktk vikao vya chama na jumuiaAlafu wapo kimya wanakula wenyewe tu.
Na uzuri wa mwanamke ni kuitunza na kuiheshimu ndoa na familia yake.Kilichokukosha hapo ni huo urembo bandia wa kununua? Uzuri halisi wa mwanamke huonekana asubuhi akiamka na kabla hajagusa uso wake wala kichwa chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Na uzuri wa mwanamke ni kuitunza na kuiheshimu ndoa na familia yake.
Yaani hii nchi ngumu sanaHahaha huyu utashangaa ,kawa viti maalum bungeni
Viti maalumu hahahahaYaani hii nchi ngumu sana
Wenzako wanaamini watakuwa katibu mkuu UWTKijana kuwa CCM ni dalili mbaya uzeeni.
Umenikumbusha DC NzegaJiunge nao, utawala sana huko ktk vikao vya chama na jumuia
Alichakaza vipochi manyoya sana?Umenikumbusha DC Nzega
nyama za wakubwa hizo kijana, pita polepole. CCM ni zaidi ya uijuavyo.Wapi ntapata kadi jamani wananzengo