kitu gani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Miaka zaidi ya 35 imekufanya uache jambo gani ambalo zamani lilikuwa sehemu ya maisha yako ?

    Marafiki - Nipo kwenye stage ambayo nimeshakuwa mtu mzima kujua kwamba marafiki wanakuja na kuondoka, na Urafiki unajengwa mkiwa katika hali sawa mkishapishana hata mlazimishe urafiki hauwezi kudumu, Nina washkaji wengi kwasababu nimezungukwa na watu ambao niwapende au nisiwapende wana umuhimu...
  2. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kitu gani ulihusishwa nacho au unahusichwa nacho lakini hukuhusika

    Inawezakutokea jambo liwe zuri ama baya watu wengi wakaamini wewe ndo muhusika lakini ukweli wewe unafahamu haujahusika kabisaa. Mfano ninapoishi kazini kwangu nipo na rafiku yangu mmoja wa kike kwa sasa tuna miaka zaidi ya miwili tupo wote kirafiki tu ila watu wengi sanafikiriaga nagembea nae...
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania Foot School TV: Chaneli Bora ya Soka Iliyotufunza Ufundi

    Kwa wale wahenga ambao tulikutananna harakati za Mchina kuingia kwenye soko laa kuuza visimbusi vyake basi tutakuwa tunakumbuka namna ambavyo Kampuni ya StarTimes ilivyoingia nchini. Mwaka 2009 mpaka 2010 wakati watoto Wa Madiba wapo busy kuandaa michuano ya Kombe la Dunia. Basi StarTimes naye...
  4. Red black

    JamiiForums Tanzania Hii picha inaongea mengi sana halafu just imagine kuna watu hawajui njaa ni kitu gani

  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania ya mwaka 1990. Ni kitu gani hakistahili kuwa kwenye picha hii

    Wataalamu wa Photograph reading and interpretation Hii nii Tanzania ya 1990 ni kitu gani ambacho hakistahili kuwepo hapa kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia?
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tunapenda kulaumu madogo wa Jenzii ila tunasahau wanafanya wanayo fanya kupitia uvumbuzi wa vitu na mambo tulioleta sisi millenials

    Ooh mabinti wa jenzii wanaliwa jicho sana, ila ni nani alio wafundisha tangu wakiwa shuleni, si ndio nyie milenials wenyewe Ooh vibinti vya jenzii vinajiuza sana mitandaoni, kwani ni nani ni inventor wa social media na kuruhusu policies za utupu si ni vijana wa millenials kurudi nyuma? Ooh...
  7. nadiegirlie

    JamiiForums Tanzania Kama kusingekuwa na madhara kitu gani ungependa kufanya?

    Kuna kile kitu unatamani kukifanya ila unaogopa matokeo baada ya kitendo,ni kitu gani hicho?
  8. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa hujui kuna aina ngapi za BIKRA wacha nikufahamishe… Najua unafahamu kuwa BIKRA ni kitu gani

    Kama ulikua hujui kuna aina ngapi za BIKRA wacha nikufahamishe;- Najua unafahamu kuwa BIKRA ni kitu gani, Ila hujui kama BIKRA zipo za aina mbalimbali, Sasa leo wacha nikufahamishe ya kuwa, Kwa ujumla BIKRA zipo za aina tano za BIKRA, Je unataka kujua zinaitwaje na zina onekana...
  9. Msanii

    JamiiForums Tanzania Hawajui hata hayo maridhiano ni kitu gani

    Serikali iliyojiweka madarakani baada ya vyombo vya ulinzi na usalama kuratibu wizi wa kura, kuua raia na kumuapisha ndani ya kambi ya jeshi.... wamekuja na drama kabambe iitwayo TUNATAKA MARIDHIANO Yaani, wao wamechezea katiba na mifumo yote ya haki, wameibaka demokrasia mchana kweupe na kuipa...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania KERO TCRA mpo kwa ajili kitu gani maana huduma za mawasiliano ni makanjanja kiutendaji

    Sio vizuri kutaja kampuni ila hizi kampuni za mitandao zipo chini ya usimamizi wa TCRA. Technology kila siku inabadilika na maitaji yanazidi kuwa tofauti. Kampuni nyingi za mawasiliano udanganya kuwa huduma hizo wameshaweka ila ukichunguza kama wanabadilisha jina ila kifaa ni kile kile. Leo...
  11. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Ukiwa unashiriki tendo na mpenzi au mke wako ni kitu gani unaweza ukafanya wakati huohuo?

    Mimi nikiwa namshughulikia wife wangu wakati huo huo ninaweza nikawa ninaimba wimbo wa hip-hop au reggae. Kwa mfano, nikiwa namgonga wife kwa slow motion basi lazima niimbe ule wimbo wa Peter Tosh 'legalize it'. Siku nikiwa nangonoka na wife kimya kimya basi yeye huniuliza naumwa nini maana si...
  12. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unaona kinahangaisha watu ila wewe hutumii nguvu nyingi?

    Ciao..! waswahili wanakwambia maisha hayako na hayatokaa yawe fair. kuna vitu sisi kama binadamu tunakua na matamanio navyo lakini no matter how hard you try unabakia tu kusema one day yes au unakata tamaa kabisa kwamba kitu fulani mimi hapana. Mfano huko mashuleni tumesoma na watu wao...
  13. haszu

    JamiiForums Tanzania Kipi kinachokufanya utembee kifua mbele?

    Mimi naringia muonekano wangu, nikifika sehemu lazima watu waanze kunitazama kwa jicho la matamanio na butwaa. basi kama ni huduma napata haraka, Nadhan hata interview walipata butwaa mambo yakawa mepesi kabisa. sasa unakuna mtu hana chochote cha kuringia kisha anatembea akivimba, bure kabisa
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ukiacha pesa, ni kitu gani kingine kikubwa ulichowahi kupoteza ukapunguza kubeti?

    Wawekezaji wenzangu mko poa? Ilikuwa usiku wa fainali ya UEFA mwaka 2026, nilipoweka dau la mshahara wangu wote wa mwezi nikiwa na uhakika wa kushinda mamilioni. Baada ya filimbi ya mwisho na timu yangu kufungwa, nilibaki nimepoza macho nikiiangalia simu, huku nikijua sina hata senti ya...
  15. Red black

    JamiiForums Tanzania Tuambie wallet yako ina kitu gani hapo?

    😁
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Fun fact: Watanzania wengi hawajui 'Dam' ni kitu gani

    Watanzania wengi wanadhani kiswahili cha neno Dam ni bwawa. Wakisikia Mtera Dam basi wanajua kuwa kiswahili chake ni bwawa la Mtera. Ukweli ni kuwa dam ni ule ukuta unaojengwa kuzuia maji. Baadhi ya tafsiri za kiswahili zinaita ukuta huo Lambo. Huo ukuta hapo juu ndiyo unaitwa dam. Sehemu...
  17. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani umejaribu kuacha umeshindwa kabisa

    Wakuu kutekwa sasa basi kila mtu ajilinde anavyojua tutakwishaaaaa..... Hivi ni vitu nimejaribu kuacha na nimeshindwa kabisa 1. Kutosalimia salimia watu 2. Kutongoza mwanamke akizingua mara moja tu sihangaiki naye tena. 3. Kutamani na kuwala wake za watu 4. Kupenda sn muziki nipo tayari...
  18. Joseph midimu

    JamiiForums Tanzania AJIRA

    Hivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.? Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M + kwa 10 miezi = 9.6M kwa mwaka😀
  19. A

    JamiiForums Tanzania Hii ni kitu gani wakuu?

    Habari wana jamvi, Takribani wiki mbili zilizopita nilikuwa nasumbuliwa na muwasho sehemu za siri; dhakari, maliwato na sehemu katikati ya mapaja na mbupu. Sikuota vipele isipokuwa tu sehemu ya kichwa cha dhakari ndio nilikuwa na vipele viwili tu ambavyo haviwashi wala kutoa uchafu. Nikajaribu...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Gen Z, Kitu gani mnawashangaa Millennials?

    Kumekuwa na hali ya kila kizazi kukishangaa kizazi kingine, mfano Millennials wengi wanawashangaa namna Gen Z wanavyochukulia mambo, wanaona kama wanayachukulia kwa wepesi hata kama yanaonekana mazito na namna hawakubali kupelekeshwa ili akusikilize inabidi umpe sababu yenye mashiko haijilishi...
Back
Top Bottom