chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,037
- 3,080
Mimi nilikia najichukulia poa lakini kuna siku wanawake wawili walinipigania.
Walipigana haswa hadi balozi alikuja kuamua na kila moja alipigana na mwenzake kwasababu wote walikua wananipenda sana hawakutaka kunipoteza, kilichosaidia balozi alikuja kuwaamua na tangu hapo nilijitafakari upya na kuona kuna watu walipigana kwaajili yangu.
Je, ni kitu gani kilikufanya ujitafakari upya ?