Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,388
- 39,908
Serikali iliyojiweka madarakani baada ya vyombo vya ulinzi na usalama kuratibu wizi wa kura, kuua raia na kumuapisha ndani ya kambi ya jeshi.... wamekuja na drama kabambe iitwayo TUNATAKA MARIDHIANO
Yaani, wao wamechezea katiba na mifumo yote ya haki, wameibaka demokrasia mchana kweupe na kuipa ujauzito wa wizi wa kura.. wameua na nawanaendelea kùua raia. Wanawafungulia wananchi wahojaji kesi za kubumba......
Hawajiulizi aina ya maridhiano kati ya kijamii au kisiasa yanayohitajika.
Free Lisu unconditional,
Vunja Bunge,
Jiuzulu
Weka interim government isimamie mchakato wa katiba ya wananchi.
Hapo maridhiano yatakuja yenyewe.
Nje ya hapo ni kujidanganya