kitu gani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ABILITY_INK

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuamini kama huyu ni Mtanzania mpaka afanye kitu gani.?

    Huwezi kuamini kama huyu ni Mtanzania mpaka afanye kitu gani.?
  2. R

    JamiiForums Tanzania kitu gani kimeshusha brand ya vyuo na kozi za kilimo, watu wengi huenda kama mbadala baada ya kukosa nafasi kwengine.

    Hapo zamani nakumbuka watu wengi waliepnda kwenda vyuo vya kilimo au kusomea kozi za kilimo Hali ya sasa imebadilika, ile ari tuliyozoea kuiona imeshuka Sikuhizi ni herimtu aende chuo cha wanyama pori kuliko kilimo, mifano ya kozi Science in Wood Technologies Agricultural Engineering...
  3. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya Tanzania kuna kitu gani kinaendelea? Mmepewa nini mpaka mnajitoa akili?

    Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema. Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu, •Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania...
  4. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Harufu ya kitu gani unaipenda zaidi?

    Kwema wakuu, natumaini siku imekuwa poa kwenu. Alright, tiririka ni harufu (scent/smell) ya kitu gani unaipenda zaidi? Copy to: secretarybird | Binti Sayuni03 To yeye | Joanah | dosho12 Lax | Chica Gee | Mshangazi dot com | Poor Brain | mshamba_hachekwi | Tajiri Sina BAYA | and 100 others
  5. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani Cha Ajabu uliwahi kukiona na hata ulivyowambia watu hawakukuamini?

    Ni kitu gani Cha Ajabu uliwahi kukiona na hata ulivyowambia watu hawakukuamini?
  6. Kindred Spirit

    JamiiForums Tanzania Mamia wajeruhiwa kutokana na mlipukoa Iran

    Mamia ya watu wamejeruhiwa kufuatia mlipuko mkubwa na moto katika bandari ya Bandar Abbas, zaidi ya kilomita 1,000 kusini mwa Tehran, Iran, kwa mujibu wa maafisa na vyombo vya habari vya serikali. Vyombo vya habari vya serikali viliripoti kuwa mlipuko mkubwa ulitokea katika Bandari ya Shahid...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ukipata leo siku yako itamalizika poa?

    Leo ukipewa chakula chako pendwa au mtu akikukumbuka na Tsh. 100, 000, siku yako itakuwa safi eeh? Mimi nikipata Kitimoto choma ya mbavu na Mocktail moja safi nitaanza weekend mwepesi kabisa. Wewe je? Nini kikitokea leo, siku yako itakamilika kwa furaha?
  8. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania just for fun: Ni kitu gani ulifanya ukiwa shule ukikikumbuka hadi leo unacheka peke ako?

    Sio Kila mtu ana kumbukumbu nzuri za utoto wake. Wengine tumepitia life gum Sana utotoni. lakini hata hivyo hatukosi Jambo la kutufurahisha Kila tukumbukapo maisha ya utoto tukiwa shule. Jambo linalonifurahisha nikiwa Mdogo ni pale nilipo mpiga mwalim Kofi kiganjani pake nilipohisi kanichapa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mrembo kuzaa na mwanaume masikini ni mapenzi ya kweli, bahati, hajui kukataa, ushirikina au ni kitu gani ?

    Mabinti warembo / Visu / Pisi Kali huwa wana demand kubwa, atafatwa na wanaume wa aina nyingi, yeye ni kuchagua tu Inapotokea mwanamke mrembo kampenda hadi kumzalia mwanaume masikini huwa ni kipi . Mapenzi ya kweli Ni cha wote Ushirikina / Ndumba Bahati ama kuna cha ziada
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kitu Gani ulihisi unakijua lakini badae ukagundua kumbe ulikuwa hujui chochote

    Ni hivii zamani nilikua najua jenereta /Generator ni kifaa kinachofua umeme au tuseme ni kifaa kinachobadili nishati ya mwendo kuwa nishati ya umeme. NIliamini hakuna jenereta inayoweza kufanya kazi ya kuzalisha umeme bila kupewa nishati ya mafuta ( petrol au diseli). Nilikuwa najua...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa mwerevu kuondoka kabla hujaumia ? Ni kitu gani kilikusukuma uache lifestyle, tabia au watu wa karibu wabaya / Toxic kabla ya majuto ?

    Hakuna shimo gumu kutoka kama tabia zilizokolea, Lifestyle uliyoizoea na Mahusiano yaliyoshamiri, Tatizo linakuja vitu hivyo vikiwa vibaya vinaweza kuathiri maisha yako negatively, unakuja kustuka baadae unajutia, Ila kuna matukio kadhaa huwa yanatugusa, Akili inasema "SASA BASI" na kuamua...
  12. Mtunza siri zako

    JamiiForums Tanzania Kitu gani ulikiona kwa mwanaume au mwanamke ukajua huyu siyo wako wa maisha (sio future mume / mke)

    Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu. Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi yake nikajua huyu hana heshima kuanzia nyumbani kwao, hanifai. Alinipigha alivyotoka mpirani amelewa...
  13. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kipya umejaribu na mwanamke au mwanaume wako hivi karibuni?

    Kigiza hicho, haya nimeachana na siasa nimerudi kwenye mada zetu pendwa. Wiki hii nimemchangamsha shemeji yenu na style mpya . Mikao inaitwa “nilie juu ya meza” na “naokota hela uvunguni” Mkao wa Nilie juu ya meza: tulimaliza kula nikamwambie abaki mezani anisubiri nitoe vyombo. Nilivyomaliza...
  14. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Kitu unahisi unakifanya tofauti na wengi wanavyokifanya?

    Niaje wakuu, bonjour comment cava! Kama title inavyosomeka, share chochote unachoona unakifanya kwa utofauti kinakusaidia kwenye mahusiano yako,kazi/ajira yako, biashara yako, ama elimu yako. Au hata kama hakikusaidii lakini unakifanya kwa upekee. Cc: Binti Sayuni03 | Vincenzo Jr | Mwachiluwi...
Back
Top Bottom