kitu gani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilifanya uache kuhangaika na urembo na vipodozi?

    Zamani nilikua nahangaika sana na vipodozi, mie kutwa napambana na urembo yaani nikisikia hiki ninacho kile natafuta ili tu nisipitwe na fasheni ya urembo mjini. Siku moja nikaambiwa mafuta fulani yanafanya ngozi iwe na mnga'ao wa kuvutia sana nikayatafuta nikayatumia kilichonikuta yale mafuta...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya ujitafakari

    Mimi nilikia najichukulia poa lakini kuna siku wanawake wawili walinipigania. Walipigana haswa hadi balozi alikuja kuamua na kila moja alipigana na mwenzake kwasababu wote walikua wananipenda sana hawakutaka kunipoteza, kilichosaidia balozi alikuja kuwaamua na tangu hapo nilijitafakari upya na...
  3. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Kitu gani ulishawahi kukisikia hukuamini kabisa lakini baadae ukajua ni kweli?

    Kwema wakuu, Mada hapo juu yahusika share kitu gani umewahi kusikia ukabisha sana ukidhani kuwa ni chai, lakini baadae ukajagundua ni kweli. Na vipi ulipogundua ni kweli, uliamini au uliendelea kubisha!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tuzingatie kitu gani tunapokwenda kununua simu ili tupate simu bora?

    Huu wakati ambao asilimia kubwa ya vitu tunategemea simu aidha kama njia ya mawasiliano, wengine simu ndio ofisi yaani wanatumia kuingizia kipato au wengine kama vifaa vya kujiburudisha kwa kuchezea magemu inahitaji ujuzi na akili kubwa kuweza kufanya machaguo ya wakati wa kuingia sokoni. Sasa...
  5. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinamsisimua mwanamke

    Niliwauliza wanawake 40+ swali moja la ajabu sana… “Ni kitu gani mwanaume hufanya ambacho kinawasisimua zaidi ?” Nilidhani wangesema: Misuli ya tumbo. Pesa. Au ubabe wa mwanaume. Lakini majibu yao lilinishangaza. Karibu wote walisema kitu kimoja… Sio kile mwanaume anachofanya. Ni kile...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mchawi wa kwanza wa matatizo ya gari lako ni wewe mwenyewe, ni kitu gani huwa unakitatua mwenyewe au kumpa fundi maelekezo asilete ujuaji

    Kwenye oili ya usukani huwa nipo strict sana kuiweka mwenyewe, na nikipeleka kwa fundi huwa nampa maelekezo asiweke oili ya gearbox kama walivyozoea. Air filter – hii huwa naibadilisha mwenyewe au nikiwa kwa fundi namsisitiza aweke original, si zile za bei rahisi zinazoziba haraka. Engine oil...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kitu gani ulikiona kwenye Usaili ukajua kabisa hapa kazi hakuna?

    Kwenye soko la kutafuta ajira Vijana tunakumbana na mambo mengi sana, kuna wakati unatuma maombi ya kazi unaitwa kwenda kufanya Usaili ila unakutana na mazingira ambayo mwenyewe unajua kabisa hapa Hupai kazi au Nafasi ina wenyewe Mfano, kuna Sehemu niliwahi kuitwa kwenye usaili, nafasi za kazi...
  8. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unapenda kuhusu Tanzania 🇹🇿

    Actually nchi yetu Tanzania ina changamoto nyingi sana na huenda zikachukua miongo mingi kuzitatua. Tumekuwa tukilalamikia changamoto nyingi za nchi hii huku wengi wakitamani zitatuliwe, na hii inaonesha kwamba watu wengi wanaipenda nchi yao, haijalishi tunatofautiana mitazamo kiasi gani lakini...
  9. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kikitokea mwaka 2026 kitakufurahisha sana?

    Mimi nitafurahi sana timu yangu pendwa Arsenal ikichukua ubingwa wa ligi kuu ya England (EPL). Naamini hili litatokea na wale wanaosema Arsenal ni tembo juu ya mti wanakwenda kuaibika Wewe kitu gani kikitokea mwaka huu kitakufanya upate raha mithili ya mtu aliyeufikia mshindo mkuu? Mzee wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani mzazi/ndugu yako aliwahi kufanyiwa kisa umasikini hujalisahau hadi ukubwani ?

  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kizazi cha sasa ni kitu gani cha kumwambia mtoto wako ukisikia kala kipigo cha kionezi ?

    Hapo zamani sheria ilikuwa moja tu, ukipigwa rudishia, usipomweza mfanyie hata ambush. Siku hizi utawashauri kitu gani hawa kina junior ?
  12. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hutamani mtoto wako apitie kwenye maisha ?

    Ni kitu gani hutamani mtoto wako apitie kwenye maisha ?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tunaojali Utulivu wa nafsi, uliwahi kuacha kitu gani kiende uwe na peace of mind ?

    NIliwahi kuwa na shida ya ajira nikaenda kiwandani nikafurahia kuambiwa ajira zipo bila rushwa lakini nilipoanza kazi siku ya kwanza tulipelekwa godown, ule mziki wa kubeba viroba si wa kitoto, mimi na rafiki yangu tuliacha viatu na hela, pesa tulikuwa tunaihitaji ila sio kwa mazingira yale...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ulijifanya mjuaji kwenye kitu gani ukaishia kugharamika zaidi kutatua tatizo la gari?

    Hapo zamani kidogo nilienda kuchaji betri ya gari, kesho yake narudi nalo sikutaka msaada wa fundi, nikaingia youtube nicheki wazungu wanafanyeje ku connect, Mambo ya DIY Do it yourself, kujifanyia mwenyewe nikiwa najipa moyo hakatwi mtu hapa, siwezi kutoa pesa kirahisi wakati nina bando na...
  15. Poker

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani uliaminishwa kabla ya kuanzisha biashara, ila ulipoingia uliona mafanikio au mauzauza

    Katika maisha yetu huwa tunakutana na shauri mbali mbali, inaweza kuwa pindi tunajitafuta au nyakati tumejipata. Mimi nliaminishwa nikianzisha biashara ya chips, inalipa sana na watu lazima wale. Aisee nlifunguliaga goli huko kigamboni mitaa ya midizini nkaishia kula chips mwenyewe na zingine...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha, ni kitu gani cha thamani umefanikiwa kununua mwaka huu?

    Twende kazi, mwaka huu umenunua kitu gani cha thamani zaidi?
  17. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bashe alikosea kitu gani?

    Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
  18. mfungwa

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa kumbuka Ukweli ni kitu gani

    Utamwelezaje MTU kwa maneno mazuri ambapo askari anampiga 'mwanamke' anayekimbia risasi. Je, huyo ni Askari aliyepitia mafunzo? Ukumbuke familia zao zipo.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Je! Ardhi Inapokunywa Damu ya Kutosha ni Kitu Gani kinachotokea?* 💫💫💫💫💫

    Kwanza kabisa ndugu mpendwa ni vyema ukatambua kuwa, damu imebeba uhai wa mtu. Maana Biblia inasema " Linda sana moyo wako maana humo ndimo zitokamo chemchemi za uzima". Lakini Biblia inaendelea kusema, "kuleni wanyama lakini msile damu zao, maana damu zimebeba uhai wao". Kisa cha Henoko na...
  20. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani tunapawa kufanya kama Vyombo vyetu vya maamuzi havitendi Haki Kwa Wananchi?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka Kwa Wananchi ya kwamba,Vyombo vyetu vilivyopewa dhamana ya kuwatetea wananchi Kwa Mujibu wa Katiba Sheria havifanyi hivyo,badala yake vinaendelea kulinda maslahi ya wanasiasa walioko Madarakani huku wananchi...
Back
Top Bottom