Wakuu
====
Ni kweli kuwa Rais wa Burkina Faso anataka kuidhinisha kiswahili kuwa lugha ya taifa badala ya Kifaransa? Msaada Kwa mwenye ukweli wa taarifa hizi??
Kama unatafuta kitabu Cha Robert Kiyosaki kwa lugha ya kiswahili Cha Rich Dad, Poor Dad kipo Bei 10,000 Tsh natuma WhatsApp au kwa email, Karibu nicheki 0756704145
Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh (kurasa 1 -> 100) na Bei 10,000 Tsh (kurasa 1 - 490), na Bei 15,000 Tsh (1 - 800) na ku ndelea kwa kitabu kimoja , nicheki +255 0756704145
Kitabu cha Henoko (biblia hakipo) cha kiswahili nauza 5000 Tsh. Tuma pesa M-PESA kwenda namba 0756704145 nicheki WhatsApp nikutumie kitabu au kama una email natuma
Kitabu Cha Enoko ambacho hakipo kwenye biblia za sasa kwa lugha ya kiswahili nauza 5000 tsh, natuma WhatsApp ni PDF muundo, nicheki WhatsApp 0756704145, napatikana Dar es salaam, Mbezi
Natafsiri vitabu nakala laini (softcopy) kutoka lugha Kiingereza kwenda kiswahili kwa gharama 5000 tsh kitabu kimoja. Nitumie kitabu whatsapp kwenda namba - 0756704145,, nikimaliza kazi nakutumia kitabu chako whatsapp, nipo mkoa wa dar es salaam, mbezi
Natafsiri vitabu nakala laini (softcopy) kutoka lugha Kiingereza kwenda kiswahili kwa gharama 5000 tsh kitabu kimoja. Nitumie kitabu whatsapp kwenda namba - 0756704145,, nikimaliza kazi nakutumia kitabu chako whatsapp, nipo mkoa wa dar es salaam, mbezi
Azam TV inawatangazaji mahiri sana wa mpira ila kinachosikitisha ni namna wanavyoamua holela kubadili maneno au matumizi ya maneno bila kujua athari zake.
Mfano walianza kuita mpira eti mali, na hii imekua kama lugha rasmi kwao.. kuanzia dakika ya kwanza hadi ya mwisho unaweza usisikie wametaja...
Anavyoongea kiswahili chake utadhani si msomi?
Neno kura yeye hutamka kula. Angalia spech yake ya jana.
https://youtu.be/ApwVq9JJww4?si=bE11Rfya8oU5QgJx
Leo katika pitapita yangu wadau nnimekutana na moja ya website makini sana ambayo inahusika na maswala ya movie na series zilizotafasiliwa Nahitaji mnisaidie kunipatia majina mengine ya website maana nimekutana na site moja hapa inaitwa SWAFLIX Hii website ipo na movie na series zote za madj...
Nijuavyo mimi Kiswahili ni mchanganyiko wa lugha nyingi mfano kisukuma, kichaga, kihaya (kibantu) kiingereza, kijerumani, kiarabu n.k huu mchanganyiko ukaunda lugha moja ambayo ni kiswahili.
Huu mchanganyiko ulitokana na muingiliano wa watu wa jamii mbali mbali hapo zamani wakifanya biashara...
Mimi najivunia tu kinaniwezesha kusoma habari hapa jamii F basi hata mtandao wa x habari nyingi na nzuri ni za english pia vitabu vingi vilivoandikwa na viongozi au wasomi wa tanzania vingi ni kwa kiingereza labda tu erick shigongo ndo kaandika kwa kiswahili.
Hivi kwanini watu/madalali wanauza furniture mitandaoni na katika furniture stores huwa wanaita hili eti ni KABATI ? hivi kweli hawajui KABATI ni nini/likoje ?
Wataalamu wa Kiswahili hebu nisaidieni hapa.
OFFER. OFFER, OFFER, OFFER...
JIPATIE VITABU ZAID YA 74
Kwa nini kila siku upo kama ulivyo kwa sababu hutaki kuongeza maarifa na maarifa yamefichwa kwenye vitabu.
Kama ulikua unaihitaji kuongeza maarifa jipatie Vitabu vilivyo Tafsiriwa kutoka kwenye ENGLISH vya waandishi mbali mbali kua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.