Mungu ni neno...nikimaanisha ni muunganiko wa herufi M, irabu U , herufi N, herufi G na Mwisho Tena irabu U, ...neno hili ni ishara, ishara hii Ina maana...maana hii Mara nyingi huwa Ina taswira Fulani au mtazamo Fulani....
Mtazamo au taswira hii, huundwa kwenye akili...Na Mungu Mmoja yupo...