Christina Mwagala:acha kuharibu kiswahili

Christina Mwagala:acha kuharibu kiswahili

Ni hilo neno moja tu au unatuongezea mengine?
NB:Lugha ni sanaa yenye kuhitaji umahiri wakati mwingine husindikizwa na kipaji.
Anapoharibu mwingine namsahihisha.Pia watangazaji wengi wa vipindi vya michezo wanaharibu kiswahili kwa kuchanganya maneno ya kiingereza kwenye uchambuzi wao.Mharibifu mkubwa kuliko wote ni Nazaret Upete.Upete ananikera sana kwani yeye anaongea kiarabu vizuri tu,sasa kwanini kuchanganya kiswahili na kiingereza kwenye uchambuzi wa michezo.
 

###NjeYaMada###
Bi Dada Amebahatika Kuoa Au Kuolewa..??
 
Back
Top Bottom