kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Shule zinazosemekana kukarabatiwa ni zipi haswa, au ni mtaji wa kisiasa?

    Hii nimekuwa nikijiuliza sana, ukimsikiliza kiongozi yeyote hasa Mawaziri wa TAMISEMI wanajinasibu kuwa shule zote zimepokea pesa ya ukarabati na wanajinasibu kwa kudai kuwa hakuna shule ambayo haijapata pesa za kujenga madarasa mapya au kukarabati yaliyopo lakini kuna shule kongwe hazijawahi...
  2. JamiiForums Tanzania Julia loffe: Habari Potofu inaweza kugeuza Maoni ya Umma (Wananchi)

    Akiwa anatoa hija yake kuhusu athari za habari potofu Mwandishi w Urusi Julia Loffe anaeleza: Habari Potofu inaweza kugeuza Maoni ya Umma na kusababisha uungwaji mkono wa Sera na Viongozi wa Kisiasa wasiofaa. --- Habari Potofu huathiri Michakato ya kupata Viongozi wa Kisiasa, hushusha Imani ya...
  3. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu amepitwa na wakati; Huu sio muda wa harakati za kisiasa

    Huyu jamaa anayeitwa Jenerali Ulimwengu (sijui hata huo ujenerali alivishwa na nani), nimeona anawafokea wanavyuo kuwa ati hawafanyi midahalo! Kwanza aelewe, hizi sio zama za TANU na ASP, zama za kugombana na mabeberu kama wendawazimu. Hizo zama zilishapita na tumevuka tuko kwenye nyakati za...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Benki ya DCB ina mrengo wa kisiasa! huu unyonyaji wanaoufanya kwenye mikopo ya waalimu ni maelekezo ya nani tumjue?

    Hii ni benki chini ya JIJI LA DAR ES SALAAM, ni benki ya siku nyingi ila tabia zake haziendani na matakwa ya RAIS SAMIA kuwapunguzia mzigo wafanyakazi wanaokopa kujikwamua kiuchumi! Benki hii ndio yenye riba KUBWA 19% wakati benki zingine zina 16% kushuka chin mpaka 11% Ukiwaambia wakupunguzie...
  5. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mambo manne makubwa ambayo yataweka mwelekeo wa kisiasa Tanzania

    Kuna Mambo manne muhimu kwa miezi ya karibuni ambayo yataleta mwelekeo wa taifa letu kisiasa katika mambo haya manne matatu ni ya Chadema na mmoja ni la CCM. Chedema inatakiwa kufanya maamuzi magumu kwenye haya mambo matatu 1. Bila katiba na tume huru ya uchaguzi wajitoe kabisa kwenye chaguzi...
  7. JamiiForums Tanzania Hoja zangu za Kisiasa, Katiba, Sheria na Haki humu JF zina mashiko? Zimesaidia kitu? The Consequences ya baadhi ya hoja zangu! Kazi inaendelea!

    Wanabodi Mimi ni mwana JF mwenzenu humu JF ni member toka 2006 kwenye Jambo Forum na verified tangu 2008, katika miaka hii zaidi ya 15, nimepandisha mabandiko mengi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii. Uwasilishaji hoja zangu nawasilisha kwenye 3 fronts 1. Kwa kuongea live kwenye events, hii ni...
  8. JamiiForums Tanzania Ni juhudi gani zifanyike, ili kumzuia Makonda asiendelee kumdhalilisha Mwenyekiti Mbowe kupitia mikutano ya kisiasa?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Hakika kuna mambo ambayo yanaendelea katika faifa letu. Mambo ambayo yanadhalilisha, yanaumiza na kumvunjia heshima mtu ambae alikuwa anaonekana ana hadhi ya juu kichama, na kisiasa. Kwa vile huyu anaedhalilishwa na kuvunjiwa heshima hana uwezo, wala ujanja wa...
  9. JamiiForums Tanzania Yajue mafao ya viongozi wa kisiasa

    Sheria - THE POLITICAL SERVICE RETIREMENT BENEFITS ACT (Cap. 225) RAIS: Rais wa Tanzania akistaafu anapata mafao yafuatayo: 1. Pensheni ya kila mwezi ambayo ni sawa na ASILIMIA THEMANINI ya mshahara wa rais aliye madarakani. 2. Kiinua mgongo sawa na ASILIMIA HAMSINI ya mshahara wake wote...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kufanya chaguzi za kisiasa nchini ikiwa haki za raia zinaporwa

    Taifa linapaswa kujiuliza kama chaguzi zetu ni sahihi kuwepo,Taifa letu ni sovereignty state au ni monarchy state. Hawezekani kila tunapoelekea uchaguzi mbalimbali za kisiasa Taifa linapotezewa uwezo wa kuhifadhi haki za binadamu hususani haki za kuishi na Uhuru wa mawazo. Ikiwa suala la...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ni kiongozi gani wa kisiasa amewahi kutumia bajaji na pikipiki kutekeleza majukumu yake? Je, Makonda akiwa RC aliwahi kufanya hivyo? Kwanini sasa?

    Kuna vitu vinatafakarisha. Viongozi wa kisiasa wanatumia magari ya mamilioni na hakuna aliye tayari baada ya kupewa ofisi atumie bajaji wala pikipiki. Leo kuna mtu anaacha V8 na kupanda bajaji kuingia ofisini. Je, haya ndiyo maisha yake? Kama siyo maisha yake anafanya kwa manufaa ya nani...
  12. JamiiForums Tanzania Msiba wa Mama yake Askofu Mwamakula wapandisha Joto la Kisiasa Kyela

    Bado sijafahamu sababu hasa za Wanasiasa kujazana kwenye Msiba wa Bibi yule, ambaye yeye mwenyewe hakuwa Mwanasiasa. Bali nadhani uwepo wa Mtoto wake, mpigania haki Emmaus Bandekile Mwamakula yaweza kuwa chanzo cha kujazana kwa wanasiasa kwenye msiba huo wa mkulima mdogo wa Kijiji cha Itunge...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tuifute Nyerere day ili nchi ipate mabadiliko ya kweli ya kiuchumi na kisiasa

    Nyerere alifanya jambo moja tu zuri ktk taifa hili, nalo ni kuondoa ukabila na ukanda, hivyo kuwafanya watanzania kuwa wamoja. Lakini mengine yote alikosea. Hivyo kuendelea kumuenzi mwalimu Nyerere ni sawa na kusema tuendelee kuyakumbatia mabaya yake yote. Ambayo ni:- 1. Muungano. Lengo...
  14. JamiiForums Tanzania Nyota yake ya kisiasa iliyong'ara sana mwanzoni, imefifia mno kwa sasa kwenye medani

    Ni kijana alieibuka na kung'ara mno katika medani za siasa za Tanzania. alichomoza katika awamu ya4 chini ya Rais wa wakati huo JK. Kwa hakika binafsi niliwahi kuchunguza na mpaka wa leo, sijabaini, sijaona wala sijafahamu, ni nini hasa kiliwavutia sana wananchi ikiwa ni pamoja na mimi mwenyewe...
  15. JamiiForums Tanzania Hoja ya Tanesco kwamba umeme kukata ni sababu ya kukua kwa shughuli za kiuchumi imekaa kisiasa

    Sitaki kukubaliana na Tanesco eti kwamba awamu ya sita Kuna ongezeko la shughuli za kiuchumi hadi kupelekea upungufu wa umeme.
  16. JamiiForums Tanzania TRA fanyeni kazi kwa weledi sio kwa uonevu na kisiasa

    Kuna malalamiko mengi sana TRA wako mtaani kukamata kamata magari ambayo hayajalipiwa Kodi ya Makadirio na kuna mengine yamelipiwa kodi tayari lakini mnalazimisha liingie YARD halafu mtu akienda kulitoa baada ya kua mmejiridhisha limelipiwa YARD wanadai walipwe 25,000 kwa siku au masaa hayo gari...
  17. JamiiForums Tanzania Ni mkakati wa kumuangusha Rais Samia kisiasa?

    Kuna mambo yanaendelea nchini unajiiza hizi Habari kwanini zinatoka sasa bila maelezo? Mawaziri viburi na majibu ya rejareja kwenye mambo mazito yanayohitaji utulivu wa akili. Mambo haya yafuatayo yanamfanya Rais aonekane anatoa maelekezo kwa manufaa ya wachache wasio na uchungu na taifa...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya maneno haya ya kisiasa

    Wataalamu wa masuala ya kiasiasa na hata wa lugha ya kiswahili naomba kujua tofauti ya maneno haya. Makamu, Naibu na msaidizi. Kuna makamu wa Rais, Naibu katibu, na Katibu msaidizi. Kwa Nini isiwe naibu mwenyekiti, au makamu wa katibu, Naibu mwenyekiti? Kwa kweli sijui kwa Nini Yako hivi...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania na Cuba kuimarisha Misingi ya Kisiasa

    Tanzania na Cuba zimekubaliana kushirikiana na kuimarisha misingi ya kisiasa, ujengaji wa uwezo kwa wanasiasa vijana, sekta za elimu, afya, utalii, biashara na uwekezaji Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.)...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Tusipotoshe, swala la mkataba wa bandari si la kisiasa ni la kiuchumi

    Kuna watu wanapotosha kuwa TEC imeingilia maswala ya kisiasa. Kwamba TEC iache kuchanganya dini na siasa. Ninachopenda mfahamu ni kwamba, michakato katika nchi imegawanyika katika sehemu tatu Siasa, uchumi na jamii...yaani political, economic and social. Swala la mkataba wa bandari si swala la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…