Tusipotoshe, swala la mkataba wa bandari si la kisiasa ni la kiuchumi

iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,874
4,277
Kuna watu wanapotosha kuwa TEC imeingilia maswala ya kisiasa. Kwamba TEC iache kuchanganya dini na siasa.

Ninachopenda mfahamu ni kwamba, michakato katika nchi imegawanyika katika sehemu tatu Siasa, uchumi na jamii...yaani political, economic and social.

Swala la mkataba wa bandari si swala la siasa ni swala la kiuchumi. Michakato ya kisiasa ni kama kujiandikisha kupiga kura, uchaguzi, mikutano ya hadhara, kujiunga na chama cha siasa etc.

Bandari ni swala la kiuchumi. Hakuna siasa kwenye uchumi ila kuna principles. Muwe na siku njema
 
Wanao utetea ni wanufaika na hiyo mipango
 
Ndugu Yetu Paskali Mayalla tayari ameishapelekewa ujumbe huu. Tena Mimi naongezea suala la Bandari ni la kiuchumi na ulinzi wa nchi yetu.
 
Kuna watu wanapotosha kuwa TEC imeingilia maswala ya kisiasa. Kwamba TEC iache kuchanganya dini na siasa.

Ninachopenda mfahamu ni kwamba, michakato katika nchi imegawanyika katika sehemu tatu Siasa, uchumi na jamii...yaani political, economic and social.

Swala la mkataba wa bandari si swala la siasa ni swala la kiuchumi. Michakato ya kisiasa ni kama kujiandikisha kupiga kura, uchaguzi, mikutano ya hadhara, kujiunga na chama cha siasa etc.

Bandari ni swala la kiuchumi. Hakuna siasa kwenye uchumi ila kuna principles. Muwe na siku njema
Shukrani Kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom