Watanzania wanafanywa wajinga sana kwenye maswala ya mitandao kuna mambo mawili ambayo watu wengi hawakuyajua
1. Juzi wakati Raisi anafungua kiwanda cha polisi IGP alisema Polisi hawana teknologia ya kutosha. Rais Samia akasema sasa tulivyo andikisha simu kwa vidole ilikuwa na maana gani? swali...
Alikamatwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kupewa kesi ya uongo ya kutakatisha pesa na Uhujumu uchumi kwa amri ya CCM na DPP Biswalo Mganga, ambaye jana ameapishwa kuwa jaji wa Mahakama kuu.
Leo ameachiwa huru baada ya Mahakama kuona kwamba Mashitaka yake yalikuwa ya uongo , ya...
Ikumbukwe kwamba ndani ya Gereza hilo wamewekwa wanachama lukuki wa Chadema , akiwemo aliyekuwa Mgombea udiwani wa kata ya Kikongo ndugu Haji Omari na wenzake 7 , ambapo wote hawa wamepewa kesi isiyo na dhamana ya mauaji .
Wako ndani kwa zaidi ya miezi sita kutokana na kesi ya uzushi ya mauaji...
Nakumbuka mwaka 2016 bei ya sukari ilikuwa shilingi 1,800 kwa kilo. Bei ya mfuko wa cement ilikuwa 11,000 hadi 12,000. Bei ya mafuta ya kula nayo ilikuwa chini sana lakini baada ya kuwekwa zuio la kutoingiza hizo bidhaa bei ilipanda kwa zaidi ya 60% na imekataa kushuka licha ya kutangaziwa kuwa...
Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amekana taarifa inayosambaa kwamba Rais Samia kawaachia huru Wafungwa 23 wa Kisiasa. Kadai Tanzania haina mfungwa wa kisiasa na kusema Rais hawezi kuingilia mchakato wowote wa Mahakama.
Awali chombo cha habari cha Kenya kiliripoti Rais Samia kuachilia wafungwa...
Iliitwa Bongoland sababu ili ukae Bongo lazima utumie akili.
Sasa kwa akili za kawaida Nyalandu anaushawishi gani wa kisiasa mpaka kurudi kwake CCM iwe siku ya mkutano mkuu?
Kwamba hii leo akisimama jukwaani kuna mtanzania atamsikiliza na kumuelewa?
Kashfa kibao alipokuwa wizara ya Maliasili...
Hii imeshindwa kueleweka kwa wengi.
Je, ina maana kuwa ile kodi aliyokuwa analipa mfanyakazi lets say ni shilingi laki moja (100,000) kwa sasa inapungua kwa kiasi cha asilimia 1 ina maana analipa shilingi elfu tisini (90,000)? - Kwa maana hiyo kwenye mshahara wake anaongezewa shilingi elfu...
Hatua za awali kabla ya kufikia malengo kisiasa ukiwa CCM.
1. Tafuta kadi ya CCM kwenye tawi lako. Kisha jenga mahusiano ya karibu na viongozi wa matawi na kata. (SIASA MAHUSIANO)
2. Soma katiba, kanuni na miongozo ya chama, vitabu kama kanuni za maadili na uongozi na kanuni za uchaguzi vikae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.