kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dirisha kufungwa wageni Yanga SC wako 13 badala ya 12 tu wanaotakiwa Kisheria

    Uongozi wa Yanga SC na wana Yanga SC msione Aibu Kutangaza kuwa mnapanga kuachana na Mtukutu Bernard Morrison ili kubaki na Wachezaji 12 Wanaotakiwa. Na taarifa za ndani kabisa kutoka kwa Wanyetishaji wangu wanasema kuwa hata Kocha Mkuu wenu Nabi hamtaki Morrison japo baadhi ya Viongozi mnataka...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria?

    Kwa Maslahi ya Taifa Nipashe ya Jumapili ya 15 January 2023 ni swali "hivi kweli sisi Tanzania tuna wanasheria wa ukweli au tuna wasomi tuu wa sheria, waliosomea sheria na kuhitimu?. Kama ni kweli tuna wanasheria, jee wanasheria waliopo ni wapo kweli au ni wapo wapo tuu?!. Kama kweli Tanzania...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kupiga Honi ovyo au maeneo ya Shule, Mahakamani na Hospitali ni kosa kisheria

    Dereva anatakiwa kutumia honi tu iwapo ni lazima katika kuwaonya watumiaji wengine wa barabara au kuwajulisha kuwa kuna gari nyingie ipo karibu nao. Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973 Kifungu cha 39 (3) Sura ya 168 inawakataza Madereva kutumia Honi katika #Kusalimia, Kuonesha hisia...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je ni kosa kisheria kulala na kahaba?

    KUNA mwananzengo mwenzetu alikamatwa usiku uliopita kwenye vyumba vya Wale wanawake wa lile kabila wakiuza Tukuyu zao. Polisi wanasema wamemkamata kwa uzembe nanuzururaji, je mtu anaweza kuzurura chumbani?
  5. Vangigula

    JamiiForums Tanzania Msaada, kisheria hapa nichukue hatua gani?

    Wasalam waungwana na nakutakieni kila lenye kheri kwa mwaka 2023. Direct kwenye point Kuna plot tulinunua mkoa mmojawapo wa kaskazini na malipo yalikuwa kwa installments 2. Baada ya malipo ya awali, ambayo yalikuwa ni kama 2/3 ya malipo yote, tulimuomba mzee aliyetuuzia copy ya hati ya...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaomtetea Godfrey Nyange Kaburu kwanini amekatwa katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa Dhambi hizi Mbili Kisheria angetufaa?

    1. Godfrey Nyange Kaburu alishtakiwa kwa Tuhuma nzito za Ubadhirifu ndani ya Klabu ya Simba. 2. Godfrey Nyange Kaburu nae alishawahi Kuishtaki Klabu ya Simba SC baada ya kutokubaliana na Maamuzi fulani Tayari 99.9% ya wana Simba SC ( GENTAMYCINE nikiwemo ) kwa mapungufu yake haya walishakosa...
  7. Sagungu 1914

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria Kwa mtu aliyekatalia kutoka kwenye kiwanja baada ya usuluhishi wa baraza la ardhi la kata kuamua aondoke

    Ndugu wanajamii naomba msaada wenu wa kisheria, kuna jamaa tumepelekana kwenye baraza la ardhi la kata baada ya kung'ang'ania kwenye kiwanja Cha familia hii ni baada ya yeye kuja kuomba kukaa pale Kwa muda, tulipo taka kwenda kujenga akakataa kuwa kile kiwanja ameisha pewa na serikali ya Kijiji...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria, mtalaka wangu hataki nione watoto

    Habari wana Jf Naomba kusaidiwa kisheria. Niliachana na mke wangu miaka miwili iliyopita, baada ya talaka aliamua kwenda mahamakani kudai mgawanyo wa mali za pamoja, na matunzo ya watoto. Mahakama ikatoa hukumu ambayo binafsi sikuridhika nayo hivyo nikaamua kukata rufaa katika mahakama ya...
  9. hardymtanzania

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi kuuziwa kitu kwa bei kubwa (kwa vitu visivyo na bei elekezi) hii ikoje kisheria

    leo nilikuwa kufanya manunuzi pale soko la Karume (Dar es salaam) sasa kuna sehemu nikawa nimenunua suluali ya spesho kwa elfu ishirini, na nikarizika kwakutojua bei harisi lakini kwenye pita pita zangu za hapa na pale nikakuta suluali kama ile ile niliyo inunua mwanzo na brand ya kampuni ni ile...
  10. Nsennah

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu mirathi.

    Habari ndugu wana sheria! Ningependa kujua jambo moja kuhusu urithi wa mali za marehemu kwenye scenario hii! Kuna mzee mmoja alioa kwa ndoa na kupata watoto wa kwenye ndoa na mmoja nje ya ndoa. Mzee huyo na mkewe baadae wakawa hawaishi pamoja kwa zaidi ya miaka 20 ingawa hawakupeana taraka. Mzee...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Je, kisheria hii imekaaje?

    It's lady action again.....drama queen. Haya najua wengi mtatukana weee lakini ndio nishaumbwa hivi sasa nitafanyaje? Ipo hivi baada ya kutengana na mume kwa miezi kama 4 hivi, nimerudi na kudai vitu vyangu anazingua kunipa inabidi nibebe vyeti vyake vya shule kuanzia Kuzaliwa, Form Four...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni kweli Mikopo na Misaada ya China kwa nchi za Afrika imejaa mitego ya Kisheria?

    Je, ni kweli Mikopo na Misaada ya China kwa nchi za Afrika imejaa 'Mitego ya kisheria'? China inaonesha kwenda kuwa taifa kubwa kiuchumi na kuziondoa nchi za magharibi katika nguvu walizonazo. Je, waafrika wategemee kitu gani? Ungana nasi katika Mjadala na Wataalamu na Wadau wa Uchumi, kupitia...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kisheria kumtaka mwanamke kimapenzi kwa kumlazimisha

    Katika kosa la bughudha ya kijinsia (Sexual harassment) Sheria inaeleza kwamba, mtu yeyote ambaye kwa dhamira atamshambulia, au atatumia nguvu kinyume cha sheria akambughudhi mtu mwingine kijinsia au kwa kutumia maneno au vitendo na kusababisha maudhi au bughudha kijinsia kwa mtu mwingine...
  14. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Talaka na taratibu zake Kisheria

    FAHAMU kuhusu TALAKA na taratibu zake KISHERIA. It's me Mr George Francis 0713736006 mr.georgefrancis21@gmail.com TALAKA ni ruhusa au amri ya kisheria inayotolewa na Mahakama pale ambapo mume au mke anataka kumwacha mwenzake. Hii ni hati inayoidhinisha kuvunjika kwa ndoa baina ya wanandoa...
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Miguna kosa kubwa karejea Kenya, Lissu na Lema kunani?

    Kosa la kumuapisha mtu bila ridhaa ya taasisi husika ni kosa kubwa sana! Miguna miguna alimuapisha Odinga na karejea Kenya baada ya muda mrefu kuwa Canada! Je, kuna tishio lolote Lissu na Lema kurejea nchini? Au kuna ujanja ujanja fulani ambao unawafanya kujificha kwenye kivuli cha exile...
  16. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Mistari katikati ya barabara inatumikaje kisheria?

    Tuanze na hii picha namba moja. Mstari mmoja mweupe solid katikati ya barabara maana yake hauruhusiwi ku-overtake. Si ndio hivo wakuu ama? Je, mistari ikiwa double. Kama picha namba mbili hapa chini? Tofauti na namba moja iko vipi? Tuendelee... Kuna sehemu mstari mmoja solid, mwingine...
  17. nemnunu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusiana na hili

    Kisheria hii imekaaje. Mtu ana bodaboda ametoa kwa mkataba, ikatokea pikpik imeibiwa na aloibiwa sio huyo alokabidhiwa kwa mkataba ni mtu wa pili. Polisi wakafungua kesi ya jinai ambapo mtuhumiwa akawa huyo mtu wa pili ambaye hana mkataba na mmiliki. Sasa je ni vip huyu mmiliki anaweza pata...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini kujiua ni kosa kisheria?

    Leo tarehe 10/10 ni siku ya Afya ya akili duniani. Moja ya sababu kubwa ya watu kujiua ni matatizo ya Afya ya akili. Na mgonjwa wa akili hatendi kosa zaidi ni anahitaji msaada wa matibabu. Sasa nini kilipelekea Tanzania kuunda sheria kuwa kujiua(Kujaribu kujiua) ni kosa kisheria? Hii sheria...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Nichukue hatua gani za kisheria dhidi ya benki ya CRDB?

    Habari zenu wadau. Nimesikitishwa na huduma mbovu za benki ya CRDB. Ukweli siku ya juzi nikiwa safarini kuna mtu alinipigia simu alikuwa na uhitaji wa haraka wa fedha kiasi. Na wakati huo huyo mtu alikuwa ananidai kiasi fulani cha pesa. Sasa kwa uhitaji wake wa haraka akaniomba kama niko...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hii kisheria imekaaje? Je ni sawa kumuanika muharifu namna hii?

Back
Top Bottom