KDE Image Plugin Interface (usually abbreviated to Kipi or KIPI) is an API that allows creation of application-independent image processing plugins in the KDE project.
Ulaji upo!
Katika utawala utaulizwa haya maswali Makuu. Na utatakiwa kuyajibu kwa ufasaha;
Unaapa kutumikia Jamhuri, tuambie kipi rahisi Kula chakula na vipofu au chakula cha waliolala?
Ukijibu hilo litafuata swali la mwisho, kipi kitamu, chakula cha vipofu au chakula cha waliolala?
Majibu...
Karibu Bright and Genius Land, nchi ya matumaini na changamoto, ambako kila kijana ana ndoto ya kuwa kiongozi, na jamii inaamini viongozi ndiyo funguo za maendeleo. Katika ardhi hii, vyeo vya Ubunge na Ukuu wa Mkoa/Wilaya vina mvuto na ushindani mkubwa. Kila mmoja anaelezwa kwa sauti tofauti...
Kila mtu ana ndoto ya kuwa kiongozi, lakini swali kubwa linabaki ni nafasi ipi inafaa zaidi kwako? Ukitazama mbali, unaona Bunge likiangaza hoja na majadiliano, huku wabunge wakitoa ahadi na kuleta mabadiliko. Kwa upande mwingine, viti vya Mkuu wa Mkoa au Wilaya vinang’aa kimya kimya, vikimiliki...
Najua kwenye maisha kila mtu ana msukumo wa ndani unaomfanya ajibidiishe kutafuta mafanikio ambao kwa jina lingine huitwa ndoto
Sasa je ni kipi ni sahihi kukifanya kwa mtafutaji, awe na ndoto fulani katika maisha yake aanze kutafuta kwa bidii ndio aiishi ndoto hiyo au awe na ndoto fulani katika...
Elimu ya masters inakuweka mahali pazuri kuwa na power kubwa zaidi kama uwaziri, (POWER)
kwenye biashara elimu inaweza kukusaidia mambo ya investments, Tender, international trade, n.k. (MONEY)
Six days war ilifanikiwa vipi ? Kipi kinashindikana sasa IDF na kakikundi ka Hamas mwaka wa pili unaelekea sasa
IDF na Iran haifahamika hatima yao mpaka leo
Mtaani siasa inazungumzwa kwa tabu sana na kwa kificho tofauti na mabishano ya mpira
Mtaani watu hubishana mpira kwa uhuru na sauti kubwa tofauti na siasa, ikitokea mtu kaanzisha mada za siasa huenda akaachwa pekeake kusiwe na wakumsapoti
Siasa ya Tanzania ingejadiliwa kama unavyojadiliwa...
Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla.
Binafsi naamini kama Mama akikubali kwamba kwa sasa tunahitaji mabadiliko kwanini katika hii miaka miwili tukatafuta katiba Mpya...
Habari za muda huu wanajamii forum!
Mimi ni form four leaver 2024 napenda kusomea engineering atah selection nmepangiwa PCM ila sijui Kama mbele itakuwa na maslahi MAKUBWA🤔🤔
Ila nafikuria kusoma diploma ya radiology ambayo ajira yake ni uhakika Kwa upande wangu pia maslahi yake ni mazuri...
Habari zenu?
Swali hili nalielekeza kwa Wana-taaluma wa afya Madaktari, Manesi.... Je, uhai na PF3 kipi kina umuhimu zaidi, kuna case mbalimbali ambazo waliokumbwa na kadhia za ajali kuchelewesha huduma, na wengine kupoteza maisha kabisa kwa kigezo cha kuhitajika PF3 kwanza.
Kingine nawachana...
Ningekuwa Rais, muda huu ningekuwa nimeshamla kichwa Waziri wa Mambo ya Ndani (Bashungwa) kwani button aliyogusa ni nyeti mnoo na huwa haiguswi ovyo ovyo.
Bila Dini, hakuna siasa. Kumbuka watu wako tayari kufia dini lakini siyo chama cha siasa. Waumini wanawaamini viongozi wao wa dini zaidi ya...
Ikitokea siku ya uchaguzi mkuu hawa wanawake wa chadema wakafanya kama walivyoelekezwa na Tundu Lissu, kipi kitatokea? Watu wataogopa kwenda kupiga kura? Kutakuwa na mshike shike nguo kuchanika? Marijari watafurahia? Watabakwa? Watakamatwa na kushitakiwa kwa kosa la utupu na kufungwa jela miaka...
Nilifukuzwa kazi mwezi wa 3, mwajiri Wangu alinipa Kila documents,nikafatilia mafao ya kukosa ajira NSSF, baada ya usumbufu wa hapa na pale nilkamilisha mchakato na kuambiwa ntapokea sms ya muamala ndani ya mwezi.
Baada ya kama siku 25,bila kuona muamala nilifatilia tena, mtumishi mmoja mama...
Ni salon ya kiume, tayarii nina computer imebaki tu kununua storage bas, Lakin kuna mawazo yamenijia Leo usiku kua kwanini nisiongeze saloon ya pili ambayo kwa eneo naloishi kwa wiki napata 75000-85000.
lengo nisogeze kama mita 200 hivi kutoka hii salon ya hapa iliyopo, nikaona nije kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.