Kipi kinafanya tuziogope maiti

Kipi kinafanya tuziogope maiti

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,806
Reaction score
60,663
Hata kama mtu ulimpenda Sana ila akifa Ile saa ya kumuwaga mpendwa wako unapita kwa speed yaani hata kukaa naye kwa ukaribu walahu dakika tano inashindikana.

Ni hisia gani hizo za hofu zinakushika mpaka unamuonea sijui ndo aibu au unaogopa atakung'ang'ania?
 
Hata kama mtu ulimpenda Sana ila akifa Ile saa ya kumuwaga mpendwa wako unapita kwa speed yaani hata kukaa naye kwa ukaribu walahu dakika tano inashindikana.Ni hisia gani hizo za hofu zinakushika mpaka unamuonea sijui ndo aibu au unaogopa atakung'ang'ania?
 
Tokea lini kifo kikawa RAFIKI mtu akifa always inasisimua ukimuona pia Ile kujua kua tayar ni maiti wewe acha tu swala gum ilo
 
Mambo Kama hayo you don't need to afraid .

Mimi huwa naandika mambo yangu kimwenendo huo na huwa naona watu nilionao karibu ni ambao hawapumui kuliko wanaopumua.

Kifo watu huwa hawataki kukizoea kwakuwa binadamu wengi hawaishi Ila wapo hai.

Ukiwa unaishi you can't afraid about death or corps.
 
Sio kwangu Mkuu.

Nilimuuliza mtu mmoja aliefiwa na baba ake, Je baba ake akimtokea leo atamkimbilia au atakimbia aogope?

Akasema atakimbia sana hatogeuka nyuma..

Binafsi Nimeondokewa na mzazi wangu, nasemaga na natamani sana yale ya kwenye movie yanitokeee yani nimuone mzazi wangu kantokea Aseee Acha iwe iwavyo nikimshika simwachiii tutaenda wote atapotaka twende.

Siwezi mkimbia mzazi wangu kwa namna nampenda namuwaza, eti anitokee nikimbie ,sijawahi kuwaza.

Nashangaa wanao waogopa watu wao waliowapenda najiuliza ni upendo gani wanao uongelea.
 
Hata kama mtu ulimpenda Sana ila akifa Ile saa ya kumuwaga mpendwa wako unapita kwa speed yaani hata kukaa naye kwa ukaribu walahu dakika tano inashindikana.Ni hisia gani hizo za hofu zinakushika mpaka unamuonea sijui ndo aibu au unaogopa atakung'ang'ania?
Ni yale yale ya mavi ya chakula kitamu ulichokula jana, hayapendwi.
 
Hata kama mtu ulimpenda Sana ila akifa Ile saa ya kumuwaga mpendwa wako unapita kwa speed yaani hata kukaa naye kwa ukaribu walahu dakika tano inashindikana.Ni hisia gani hizo za hofu zinakushika mpaka unamuonea sijui ndo aibu au unaogopa atakung'ang'ania?
Kwann unaaga Maiti? Unaaga kitu kisichokuwa na uhai?
Lengo la Kuaga Maiti huwa ninini? Kwamba unajali sana, atakuona, au ni umagharibi tu?
 
Hata kama mtu ulimpenda Sana ila akifa Ile saa ya kumuwaga mpendwa wako unapita kwa speed yaani hata kukaa naye kwa ukaribu walahu dakika tano inashindikana.

Ni hisia gani hizo za hofu zinakushika mpaka unamuonea sijui ndo aibu au unaogopa atakung'ang'ania?
Mimi ya mamaangu nilishika ikiwe kwenye jena as the last touch to my beatiful mumy then nikaibusu kwa uchungu kwenye paji la uso..... wala sikuogopa

Utaogopa akiwa hakuhusu anaekuhusu wengi hushika kama ishira ya bye bye....
 
Kama vile upo Kwa bongo yangu nataman anitokee nizungumze naye nipate faraja kuondoka kwakwe nimekua mpweke zaid ya yatima
Sio kwangu Mkuu.

Nilimuuliza mtu mmoja aliefiwa na baba ake, Je baba ake akimtokea leo atamkimbilia au atakimbia aogope?

Akasema atakimbia sana hatogeuka nyuma..

Binafsi Nimeondokewa na mzazi wangu, nasemaga na natamani sana yale ya kwenye movie yanitokeee yani nimuone mzazi wangu kantokea Aseee Acha iwe iwavyo nikimshika simwachiii tutaenda wote atapotaka twende.

Siwezi mkimbia mzazi wangu kwa namna nampenda namuwaza, eti anitokee nikimbie ,sijawahi kuwaza.

Nashangaa wanao waogopa watu wao waliowapenda najiuliza ni upendo gani wanao uongelea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom