kipi

KDE Image Plugin Interface (usually abbreviated to Kipi or KIPI) is an API that allows creation of application-independent image processing plugins in the KDE project.

View More On Wikipedia.org
  1. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Hivi kipi kinaanza kati ya kuweka kiduku na ujinga?

    Hivi kunyoa kiduku ndio kunafanya mtu anakuwa mjinga au ujinga ndio unafanya mtu anyoe kiduku?
  2. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Kipi hupelekea wanawake kuwanyima unyumba waume zao?

    Hili sasa limekuwa ni tishio. Nahisi ni moja kati ya sababu inayowapelekea vijana wengi kuishi maisha yao wao kama wao. Unyumba Unyumba Unyumba Najiuliza, sijui wanapitia machungu makali sana pale Abdallah anapozama chumvini🤔 Sijui ni uvivu tu🤔 Sijui ndo upendo umekwisha, I mean bila upendo...
  3. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Utajiri vs umaskini kipi ndio chanzo Cha Uovu mwingi duniani?

    Utajiri vs umaskini kipi ndio chanzo Cha Uovu mwingi duniani? Karibuni wadau tujadili.
  4. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Kipi kilikusuma kuondoka , kijijini, mkoani na kukimbilia mjini, au nyumbani kwenda kupanga ghetto wazee wakujilipua tubushane

    Hii mahususi kwa watu wangu hasa kizazi Cha miaka ya 70, mpaka 80 hivi enzi hizo nchi Tanzania mikoa mingi bado mapori, watu wakimaliza darasa la saba kama wapo wanafunzi 200 wanachaguliwa kwenda kidato Cha kwanza ni watu wawili au mmoja mnaobakia kama mzazi uwezo hana wakukupeleka shule...
  5. Shuku_

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kinachowaliza WANANDOA siku ya harusi?

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Hivi ni kitu gani kunasababisha mmoja kati ya WANANDOA kulia machozi wakati wa HARUSI? Maana jambo hili limekuwa likifanywa na WANANDOA wengi tu.
  6. Stability

    JamiiForums Tanzania Unamnunulia demu gari ila anaenda kulala na mwana aliemsaidia kuziba pancha road. Hivi hakika ni kipi warembo wetu hawa wanachokitaka haswa?

    Wanatia huruma ya kuhudumiwa, lakini katika upokeaji wao hawaji na appreciation ilio genuine, appreciation yoa inatoka mdomoni lakini haionganishi doti akilini mwao kuwa wanapaswa wakupe heshima kuu sio tu ukiwepo hata usipokuwepo kwa kuwa umemfanyia kitu kama vile baba yake angekuwa na uwezo...
  7. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Sio siri wanawake wanaongea sana

    Kutokana na msongo wa mawazo nilionao, nikaona wacha nikajichanganye na watu ili kuepusha kujitundika kitanzi Nimejikuta naweka kituo kwenye kijigenge kimoja kidogo dogo. Kulikuwa na bodaboda watatu ila mmoja wao alikuwa na tabia zisizo za kuigwa na mwanaume wa aina yoyote ile duniani. Maake...
  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kati ya njaa na uzwazwa kipi bora?

    Wengi wamedhalilishwa na njaa kiasi cha binadamu kugeuka chawa. Wengi wameponzwa na uzwazwa kiasi cha binadamu kumuabudia binadamu. Je kati ya viwili hivi kipi ni bora kuliko mwenzie?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ni kipi rahisi, kuombea uchaguzi au kuzuia mifumo ovu ya wizi wa kura?

    Hello! Yaani tunao uzoefu, watu kabisa wanatia kura fake ndani ya masanduku ya kura na wanaonekana wazi wazi, sasa hawa ndio wanaoharibu uchaguzi wa haki. Sasa wanapita wanasiasa wakitwambia tuombee uchaguzi uwe wa amani. Sasa ni amani ipi wanaiongelea? 1. Je ni amani ya kuiba kura bila...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wiki hii HAMAS walikubali kuwa walidanganya kuhusu idadi ya vifo vya watoto na wananchi wengine huko Gaza. Kwani ni kipi kilicho kweli juu yao?

    Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za waandishi wa habari, israel ilioogundua na kuwa eliminate, dunia ikasema kuwa israel inauua waandishi wasio na hatia. Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za wafanyakazi wa UN, Israel ilipo wa eliminate, dunia ikasema kuwa...
  11. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Kipi bora-Kumchangia mgonjwa au Marehemu

    Nipo nimekaa hapa nawaza Kwenye haya maisha kipi bora kumchangia mgonjwa ambaye amelala kitandani akipigania maisha au kumchangia marehemu aliyelala kwenye jeneza safari ya kaburini kwenye nyumba ya milele Hapa nina michango mingi ya rambirambi na kuna kila jumapili tunachanga kwa ajili ya...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kipi kitatokea nikiagiza Henessy mbele ya Boss mlipa bill aliyeagiza K Vant?

    Does everyone in your team EAT ?! Au Boss tu ndio anafaidi..?! Kwenye timu yako kila mtu ana uhuru wa ku-order anachotaka au wanasoma upepo wa Boss kubwa kwanza; kama anapiga K-vant basi hawa agizi Hennessy wanasema “naomba konyagi ndogo” au “na mimi K-Vant” Kila mtu akiwa ana nufaika kwa namna...
  13. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Tujuze kipi kilitokea baada ya kupata huduma ambayo hukuuliza Bei kabla?

  14. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Kipi kinauma sana moyoni?

    Kipi kinauma sana MOYONI: 1.Kudharauliwa. 2.Kumpenda mtu asiyekupenda 3.Kuwa mpweke. 4.Kutofurahiwa na watu. 5.Kufeli mitihani. 6.Kumpoteza mtu muhimu. 7.Kumuona umpendae akiwa na mpenzi mwingine. 8.Kumsubiria mtu fulani bila matumaini. 9.Kumpenda mtu lakini huwezi kumwambia. 10.Kushindwa na...
  15. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Kipi unafanya ili kujituliza wakati unapitia magumu?

    Sote kuna wakati tunapitia hali au wakati mgumu kimawazo, kihisia na kimwili lakini kila mtu ana njia tofauti za kukabiliana na nyakati hizo. Member mwenzenu akili ime stack, depression na hofu imenijaa, naombeni mnipe mbinu za kukabiliana na hali hii kabla sijafika pabaya because there is riot...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka ijayo itakavyokuwa ni kwamba tatizo sio fremu bali kipi utafanya kwenye biashara hiyo

    Miaka ya nyumba sehemu zikufanyia shuguli zilikuwa ni chache ila mda ulipofikia miaka 2000 kusogea biashara nyingi zimeongezeka na kupelekea fremu kuwa chache na wenye nyumba kupandisha kodi kila kukicha. Kwa miaka ijayo kila mmiliki wa nyumba anataka kujenga fremu nyingi kwa sasa unakuta...
  17. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Kati ya Oven na Air fryer kipi ni bora?

    Wakuu ninaomba kwa wenye utaalamu wa hivi vitu wanijulishe nataka kifaa cha kuchomea nyama kipi ni bora kati ya hivyo hapo juu? Kwaajili ya matumizi yangu binafsi ya nyumbani.
  18. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Ipi tofauti kati ya Kuibiwa au kutapeliwa?

    Mwenye ufafanuzi ashuke na uzi
  19. D

    JamiiForums Tanzania Mjadala kipi kifanyike cha kudumu ili kukomesha mambo ya mizengwe yanayochangia kughairisha mechi?

    Lawama hazijawahi kuondoa tatizo, Kila jambo lina faida na hasara! Moja ya faida ya mizengwe iliyotokea katika mpira wetu ituamshe ili tuboreshe kanuni na sheria ili kulinda hadhi ya ligi! Pasipo kunyoosheana vidole kipi kitakuwa suruhisho la kudumu ili haya mambo ya mizengwe yasiendelee kiasi...
Back
Top Bottom