kipato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa mbali na kwamba ninakipato, lakini kipato changu kinaishia kwenye kula tena kwa kukatisha milo, Je,lipi bora, nilipe ada tufe au tule tuish

    Kwa jinsi ilivyo kwa sasa, huwenda nawakilisha wananchi wengi mamilioni kwa mamilioni wenye swali kama hili Maisha yamekuwa ghali sana kushinda vipato vyetu, Wengi wetu, vipato vyetu haviruhusu kucheza mbali na kula tuu, na hapo ni kwa kukatisha Milo, kama mtu kwa kipato hikihiki ambacho...
  2. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Mafunzo ya Biashara

    Bwana Yesu Asifiwe! Habari za wakati Huu Watu Wa Mungu Kwa Jukwaa Hili!! Tumefungua Tawi Jipya Kimara Stop Over, Tunahitaji Vijana Kumi na Tano (15), Wanaoweza Kufanya Kazi Ya Masoko na Mauzo, Waliopo Dar Es Salaam Tu. Awe tayari Kuhudhuria Mafunzo Kwa Siku 30 Ili Kujifunza Kuijua Kazi...
  3. JamiiForums Tanzania Kigoma mjini kuna fursa za maisha kweli? Naiona Kasulu ikiipita kigoma mjini

    Hivi inakuaje mkoa uliozungukwa na Congo na Burundi kuwa chini vile? Singida wasemaje? Nilipata fursa ya kutembelea mji wa Kigoma wiki iliyopita nikaanza na Nyakanazi, Kibondo, Kasulu, Manyovu na Kigoma mjini. Kuanzia kibondo mpaka kasulu ni vumbi la kutosha na kuna Kilometer Nyingi saana...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kama una gari hizi Prado 95 au Prado 120 (diamond) pitia hapa upate moja mbili, ikuingizie kipato

    Kuna Watu Mmejaaliwa vipandwa na miongoni mwa vipandwa hivyo ni aina ya hizi gari PRADO 95 (MCHAGA),PRADO 120 (DIAMOND) Hizi gari zinaweza kukusaidia kuingiza kipato kwa kukodisha kwa watu binafsi au Makampuni Mie ni Dereva wa tours kwa miaka kadhaa sasa na utafiti Wangu nilioufanya ni kua Gari...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Unashindwa Kuweka Akiba Ya Kipato Chako Kidogo? Tumia njia hizi

    “Kweli natafuta na napata… lakini fedha hazitoshi kabisa…”. Hizo ni kawaida kuzisikia kauli hizi katika maisha ya kila siku ya watanzania wengi hususan huku uswahilini kwetu ambapo wengi tunafanya kazi za kipato cha chini. Ingawa kuweka akiba ni mtihani mkubwa kwa watanzania wengi, lakini ni...
  6. JamiiForums Tanzania Wazo simple la kujipatia kipato

    Hili ni wazo simple, kwa mtu simple. Kuna wale watu ambao tayari mjini wanatafuta hela ya kula tu na kulipa kodi, basi hili ni wazo poa kwa ajili yako. Kwakuwa ndiyo unaanza, Nunua maharage 1kg, mchele 3kg na walau robo ya nyama. Nenda asubuhi sana stendi, pika chakula chako, mpaka saa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha vijana wa kiume fursa(bigger opportunity) ya kujipatia kipato

    Katika ulimwengu huu Kuna vitu ambavyo vinarun Dunia miongoni mwa hivyo vitu ni pesa na mapenzi. Hivi vitu Kwa Kila kiumbe chenye uhai atajihusisha navyo aidha anataka au Hataki. Ukweli ni Kuwa maisha bila pesa hayaendi as you know sharing is caring Leo hii Mimi Nifanye Nini Nakupa tips kijana...
  8. JamiiForums Tanzania Influencers wa Tanzania kwenye Youtube wapo wapi?

    Wadau! Nimekaa na ku-observe kwa muda sasa huu upande wa Youtube ukiachana na wasanii na chaneli maarufu za habari na udaku kupata views nyingi Youtube na hata watu hawa kutumika kama mabalozi wa makampuni kadhaa - hii huwaingizia pesa. Youtubers wapi wengine ambao wapo tunawaona kweli...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini kodi ikatwe mara mbili kwa kipato hicho hicho kimoja?

    Sio kwamba hatutaki kutozwa kodi. Swali la msingi la kujiuliza ni kwanini makato yawe zaidi ya mara moja kwa kipato kimoja? Mshahara unakatwa kodi (PAYE), bank husika wanakata service charge. Wakati wa kutoa unakatwa salio la kutolea. Na bado serikali ikate tena tozo. Huu ni uonevu...
  10. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Umejipangaje kustaafu, utajishughulisha na nini uzeeni ili kuingiza kipato ili usiishi kwa mateso?

    Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana akili ya namna ya kujipanga,au kujiandaa kustaafu ili uzeeni asiteseke kwa dharau na fedheha za watukila mmoja atoe wazo lake Mf;Mimi nimenunua shamba kimanzichana heka 10 nimezungushs michongoma ,ndani nimepanda miti ya miembe, michungwa, michenza...
  11. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ongeza kipato chako kwa kuzingatia njia hizi 3

    Umeshawahi kujiuliza, utaongeza vipi pesa ambayo unaipata katika maisha yako? Watu wengi sana wanatamani kuongeza kipato chao ila mara nyingi wanatumia njia ambazo sio sahihi kujipatia au kujiongezea kipato. Leo ningependa ujifunze njia rahisi na sahihi ambazo unaweza kuzitumia kuanzia sasa na...
  12. JamiiForums Tanzania Natumiaje kompyuta kupata kipato?

    WAKUU NINA MILIKI COMPUTER (DESKTOP) YA KAWAIDA TU, RAM GB 3 HDD GB 500 ILA IPO TU HAINA KAZI NAWEZAJE KUITUMIA KUINGIZA KIPATO MAZINGIRA YA MJINI? Nilishawahi kuitumia kwenye mambo ya stationary, na library, pia nina uwezo waku edit video,(video production), kiufupi napenda sana kutumia...
  13. JamiiForums Tanzania Genius Hayati Magufuli Hakuongeza Mshahara ila Maisha yaliendana na Kipato

    Kuna ambaye bado anabisha tu kua Hayati JPM alikua ni Genius? Kwamba Hayati JPM alikua ni Mteule wa Mungu aloletwa Kuwainua Watanzania !!.? Watumishi wa Umma hao , walimu kama nawaona , Mapolisi kama nawaona ( Hawa watu wawili Wana Maisha ya tabu sana ) Lakini ndio wa kwanza kuimba nyimbo...
  14. JamiiForums Tanzania Ndoa ndoano, nimepoteza kipato mke wangu kaanza kunidharau

    Wakati una kipato chako heshima na utii huwa unaonekana, ukipoteza kipato ndio utajua mkeo ni gaidi kwa kiasi gani. Inauma sana mke kukuona si lolote wala si chochote kisa tu huna mpunga.
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

    Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi. mfano: 1...
  16. JamiiForums Tanzania Wakuu FDC watakiwa kubuni miradi ili kuongeza kipato

    ▪️Sasa vyadahili wanachuo 15,032 ▪️Bilioni 6.8 ya Fedha za Uviko-19 kutumika kununua vifaa Na WyEST, MOROGORO Wakuu wa Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) wametakiwa kutumia kwa umahiri uwekezaji wa miundombinu na vifaa uliofanywa na Serikali katika kubuni miradi itakayotumika na wanachuo...
  17. JamiiForums Tanzania Nataka kumiliki kiwanja ila kipato changu ni cha kwa siku...

    Khabari zenu ndugu zangu. Naomba mnipe mawazo katika Hili. Mimi ni kijana miaka 28 hivi, kipato changu sh 30k kwa siku but nikifanya matumizi yangu katika familia Yaweza baki 10 au 15 inategemea na siku. Nataka kununua kiwanja nina mawazo na kiwanja huu ni mwaka sasa kinanitia mawazo. Nawaza...
  18. JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kuingiza kipato online bure kabisa

    Nimekuwa nikifanya freelancing kwa zaiid ya miaka 7 sasa. Nilikuwa na bado uwa naendelea kushare na watu humu tips za freelancing na mambo mengine lakini weekend ijayo nimejisikia kushare nanyi tips zaidi. Hivyo kwa wale watakaopenda kushiriki, nitafanya online mentoring kwa 1 hour kupitia...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Ijue afya ya udongo ili utumie mbolea kwa usahihi

    1. Afya ya udongo ni nini? Afya ya udongo ni uwezo wa udongo kukidhi mahitaji ya ukuaji na uzalishaji wa mimea kama vile: virutubisho, maji, hewa pamoja na uwezo wa udongo kushikilia mmea 2.0 Virutubisho 16 muhimu kwa ajili ya ukuaji wa mmea A. Virutubisho vinavyohitajika na mmea kwa kiasi...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Wanaume wanaogopa ku-date na Wanawake waliowazidi kipato?

    Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Nimekutana na matukio mawili yaliyonifikirisha na kunifanya nikaribie kwenu ili nipate mawazo yenu Binafsi nimewahi kudate huko nyuma baada ya kumaliza masomo ya chuo siwezi kusema yalikua serious kwasababu bado nilikua sijapata kazi na kufikia malengo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…