Kiongozi bora ni yule anayewathamini watu anaowaongoza na si vinginevyo.
Kumekuwepo na baadhi ya viongozi wasiowathamini watu wanaowaongoza, wanawaumiza watu kwa kisingizio cha kukuza uchumi.
Kupanda gharama za vitu hovyo hovyo, kodi kubwa zinazowaumiza watu, kukosekana kwa huduma za kijamii...