Hivi mmesahau kuwa genge lenu lilichafua CCM na kiongozi aliyefariki akainusuru CCM uchaguzi wa mwaka 2015

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,087
6,568
Mliichafua Ccm kwa kashfa nzito amabazo mlihusishwa kuzitenda.

Mlihusishwa na kashfa za kila namna kuanzia Escrow, Lugumi Kagoda na kila aina ya ufisadi uliotokea.

Mwaka 2015 Ccm ilichafuka kwa sababu ya uchafu na ufisadi mliouzoea. Ndipo ikaonekana kiongozi aliyefariki angalau asimame ili kukinusuru chama cha CCM. Kweli aliposimama Ccm ikapata ushindi na akasafisha chama na serikali. Matokeo chanya yakaonekana.

Leo hii mmesahau kuwa huko nyuma mlishawahi kukichafua chama chenu cha Ccm. Na mmeanza mikakati mibaya sana.
 
Mliichafua Ccm kwa kashfa nzito amabazo mlihusihwa kuzitenda.

Tupe mkakati mmoja
 
John hakumshinda lowassa,aliiba kura
Mngefanya kama Msemo wa yanga KWAMBA SISI TUNA WATU!!!
Kwa kuwa JPM hakushinda Wakati Timu LOWASSA ikiwa Na watu mngeandamana kupinga Matokeo, Naamini MNGEFANIKIWA maana watu kwa Wingi wenu mgetoa shinikizo kubwa kama Misri Tunisia

Lakini usisahau Msemo wa Dr SILAA CS by then
Kwamba MLITOA CHOO NJE MKAINGIZA NDANI
Sijui kama ulifahamu IMPACT ya Kauli Hiyo kutoka kwa CS wa Chama
 
Mliichafua Ccm kwa kashfa nzito amabazo mlihusihwa kuzitenda.

Mlihusishwa na kashfa za kila namna kuanzia Escrow, Lugumi Kagoda na kila aina ya ufisadi uliotokea.

Mwaka 2015 Ccm ilichafuka kwa sababu ya uchafu na ufisadi mliouzoea. Ndipo ikaonekana kiongozi aliyefariki angalau asimame ili kukinusuru chama cha CCM. Kweli aliposimama Ccm ikapata ushindi na akasafisha chama na serikali. Matokeo chanya yakaonekana.

Leo hii mmesahau kuwa huko nyuma mlishawahi kukichafua chama chenu cha Ccm. Na mmeanza mikakati mibaya sana.
Pole sana, kwa muda huu thamani yake bado haija anza kuonekana mpaka watakapo boronga,

Na hao wengine ukimtaja Mwendazake , wanatetemeka, wanashukuru sana kifo chake, walikuwa hawapumui hao.
 
Mliichafua Ccm kwa kashfa nzito amabazo mlihusihwa kuzitenda.

Mlihusishwa na kashfa za kila namna kuanzia Escrow, Lugumi Kagoda na kila aina ya ufisadi uliotokea.

Mwaka 2015 Ccm ilichafuka kwa sababu ya uchafu na ufisadi mliouzoea. Ndipo ikaonekana kiongozi aliyefariki angalau asimame ili kukinusuru chama cha CCM. Kweli aliposimama Ccm ikapata ushindi na akasafisha chama na serikali. Matokeo chanya yakaonekana.

Leo hii mmesahau kuwa huko nyuma mlishawahi kukichafua chama chenu cha Ccm. Na mmeanza mikakati mibaya sana.

Kwamba?

"Kweli aliposimama Ccm ikapata ushindi na akasafisha chama na serikali."

Zingatia uwepo wa ujambazi wa kura.
 
Nyumba Za Serikali Ulikuwa na Muda mujarabu kabisa kumuuliza Mwana Kanda mwenzio SUMAYE!! Mbona Mlikuwa Naye huko Chama cha Ukombozi Zaidi ya mwaka??? Ulimuogopa?? Au kwa kuwa alikuwa Mfadhili wa Gaidi by then

Sumaye si umwulize hata sasa? Au unamwogopa? Si yuko hapo nyumbani?
 
Mngefanya kama Msemo wa yanga KWAMBA SISI TUNA WATU!!!
Kwa kuwa JPM hakushinda Wakati Timu LOWASSA ikiwa Na watu mngeandamana kupinga Matokeo, Naamini MNGEFANIKIWA maana watu kwa Wingi wenu mgetoa shinikizo kubwa kama Misri Tunisia

Lakini usisahau Msemo wa Dr SILAA CS by then
Kwamba MLITOA CHOO NJE MKAINGIZA NDANI
Sijui kama ulifahamu IMPACT ya Kauli Hiyo kutoka kwa CS wa Chama

Kwa hiyo nyie choo cha nje sasa hivi mnacho sebuleni?
 
Sumaye si umwulize hata sasa? Au unamwogopa? Si yuko hapo nyumbani?
Wa kumuuliza ni wewe unayechanganya Madesa!!! Kwa faida ya Gaidi

Maana wenye Uelewa wanafahamu what happened

Na wanafahamu baada ya hizo kuuzwa ngapi zilijengwa kulinganisha na zilizouzwa

Unapaswa kuitendea HAKI NAFSI YAKO MAANA VITU VINGINE VINAEPUKIKA
 
Kwa hiyo nyie choo cha nje sasa hivi mnacho sebuleni?
Ndo maana hakitagusa Chochote Hata Ujumbe wa Serikali ya mtaa

Isitoshe KANDA PENDWA YA KWETU ILISHAMSAFISHA
AU HAUAMINI SABUNI ALIYOTUMIA MBOWE??
 
Watu wanajimilikisha hii nchi kama ya baba yao, ndio matokeo ya uzezeta wa watanzania.
 
Mbona hujaweka kashfa ya uuzaji wa Nyumba za serikali chini ya mtukufu mwendazake ?
Kwani fomu za kuanzisha thread zimeisha jamii forum!!!!??? Nenda kwa secretary akupe fomu utengeneze uzi wako wa kuhusu uuzaji wa nyumba za serikali na jpm.
 
Wa kumuuliza ni wewe unayechanganya Madesa!!! Kwa faida ya Gaidi

Maana wenye Uelewa wanafahamu what happened

Na wanafahamu baada ya hizo kuuzwa ngapi zilijengwa kulinganisha na zilizouzwa

Unapaswa kuitendea HAKI NAFSI YAKO MAANA VITU VINGINE VINAEPUKIKA

Unaruka ruka kama bisi kikaangoni tu.

Unawauliza wengine kama hawakumwuliza mtu maswali ambayo ungependa wamwulize wewe hali uko naye beneti?

Mengine haya pelekeni huko kwenu Chatto na Makunduchi mtawadanganya kuwa mna hoja.

Huku viroja huonekana hata kabla ya kufunua vinywa vyenu vichafu!
 
Back
Top Bottom