Mabaraza ya ardhi na nyumba ya Wilaya ni shida tupu

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,364
73,953
Shida zenyewe ni hizi:

1. Yana Mwenyekiti mmoja ambaye anaweza kuwa anahandle kesi za wilaya kama 3 mfano Tanga DLHT kama sikosei (stand to be corrected) ana cater for, Korogwe, Pangani, Kilindi kuna Mwenyekiti mmoja.

Backlog ni kubwa kiasi mtu case inapigwa kalenda/tarehe miezi sita!/mitatu etc., next hearing March 2021! Loh!

2. Hiki ni kitu kigeni. How? Mwenyekiti ana mamlaka ya kupokea au kukataa kupokea shauri lako, anakushinikiza umtafute wakili. AU makarani wanakwambia wakutafutie wakili wakati wewe huna hela za mawakili. Hii imekaaje, wanatafutiana masoko/ulaji na mawakili?

Thes are my observations which are subject to scrutiny and verification by the authorities concerned
 
Sidhani kama mawakili wanaruhusiwa katika mabaraza ya ardhi.

Nachofahamu hayo mabaraza yamegubikwa na rushwa mnooo
 
Mabaraza ya ardhi ni equivalent na mahakama. Kuitwa "Baraza" ni jina tu kutofautisha jukumu lake mahsusi la utatuzi wa migogoro ya ardhi. Huyo mwenyekiti ni sawa na hakimu na huwa ana taaluma ya sheria.

Kuhusu hoja ya ucheleweshaji wa kesi, nakuunga mkono. Serikali ifikirie kuunda mabaraza katika maeneo mengi zaidi hata ikibidi kila Wilaya iwe na baraza lake.
 
Sidhani kama mawakili wanaruhusiwa katika mabaraza ya ardhi.

Nachofahamu hayo mabaraza yamegubikwa na rushwa mnooo
mabaraza ya wilaya mawakili wanaruhusiwa, rushwa nje nje bila aibu kabisa
 
Mabaraza ya ardhi ni equivalent na mahakama. Kuitwa "Baraza" ni jina tu kutofautisha jukumu lake mahsusi la utatuzi wa migogoro ya ardhi. Huyo mwenyekiti ni sawa na hakimu na huwa ana taaluma ya sheria.

Kuhusu hoja ya ucheleweshaji wa kesi, nakuunga mkono. Serikali ifikirie kuunda mabaraza katika maeneo mengi zaidi hata ikibidi kila Wilaya iwe na baraza lake.
hivi serikali inashindwa nini kuweka kila wlaya baraza lake na mahakimu/wenyeviti kama watatu hata wanne kama mahakama za wilaya za kawaid. CJ aliangalie hili
 
Shida zenyewe ni hizi:
1. Yana Mwenyekiti mmoja ambaye anaweza kuwa anahandle kesi za wilaya kama 3 mfano... Tanga DLHT kama sikosei (stand to be corrected) ana cater for , Korogwe, Pangani , Kilindi .............kuna Mwenyekiti mmoja.
Backlog ni kubwa kiasi mtu case inapigwa kalenda/tarehe miezi sita!/mitatu etc... next hearing March 2021! Loh!

2. Hiki ni kitu kigeni.... How? Mwenyekiti ana mamlaka ya kupokea au kukataa kupokea shauri lako, anakushinikiza umtafute wakili. AU makarani wanakwambia wakutafutie wakili wakati wewe huna hela za mawakili. Hii imekaaje, wanatafutiana masoko/ulaji na mawakili?

Thes are my observations which are subject to scrutiny and verification by the authorities concerned
Ukiweza kumpata wakili au mwanasheria mzuri.
Matatizo mengi ya ardhi huambatana na makosa mengi ya jinai.
Fungua kesi ya jina kwa kutoa vielelezo kama vile forgery, tresspassing,graft, n.k
Halafu vitu hivyo vithibitishwe kitaalam. Ukishinda jinai, fungua civil upate malipo yako pia maelekezo ya execution of order.
This works best, ila uwe na resources za kuwawezesha wapelelezi, mfano wataalam wa hati za mikono, registrar of titles na watendaji wa mtaa.
 
Uko sahihi ila sio yote yana elements za jinai...
 
Back
Top Bottom