Maneno ya Osama baada ya Al-Qaeda kulipua balozi za Marekani nchini Tanzania na Kenya

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,465
2,000
Jamaa aliingizwa kwenye ugaidi. Baada ya kuhoji uhalali wa kuua raia katika balozi za Marekani Dar na Nairobi, ambapo waatu zaidi ya 200 waliuawa kwa sababu ya wamarekani 12, kiongozi wa Osama, alimwambia kwa itidaki yao ni pamoja na hakuna raia pale kunapokua na adui yao. Akasema "Hata hivyo waliokufa katika milipuko ya balozi za marekani Dar na Nairobi, ni makundi ya waafrika tu, nani anajali?".
Ukisikiliza clip hii inakupa picha ya ndani kabisa kwamba vita hivi si vya kidini bali ni maslahi ya kisiasa na kibiashara za kikanda na kikoo. Ndiyo sababu magaidi hawa wanaua waislam wenzao wote wanabakiza wale tu wanashikamana nao katika malengo.
Sasa ninyi magaidi wa bongo ninajua mtakuja hapa kulazimisha pumba zenu zieleweke, mnalijua hili kwamba mwisho wa siku mnakuwa mbuzi wa shughuli?

Sikiliza, elewa, tafakari, changanua, fanya maamuzi, chukua hatua, kwamba hutafanywa punda wa kubeba agenda za ugaidi begani kwa maslahi yasiyo kuhusu.

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
12,481

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
10,130
2,000
Ni sinema nyingine ya waeneza chuki dhidi ya dini nyingine. Hapa imepatikana fursa nyingine ya kuutukana Uislamu na Waislamu!

Target inapokua ni kukashifu dini hasa uislamu basi akili zote za weledi na uchambuzi wa haki huwekwa pembeni na matusi, kashfa na kejeli za kila aina huchukua nafasi. Hukumu inapitishwa kwa kusikiliza clip aliyojirekodi mtu anyejiita spy!!!
 
mgen

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
20,214
2,000
Wanapigania ku%£#
IMG_20210904_185815.jpg
 
Nyambi Sr

JF-Expert Member
Apr 17, 2021
632
1,000
Ni sinema nyingine ya waeneza chuki dhidi ya dini nyingine. Hapa imepatikana fursa nyingine ya kuutukana Uislamu na Waislamu!

Target inapokua ni kukashifu dini hasa uislamu basi akili zote za weledi na uchambuzi wa haki huwekwa pembeni na matusi, kashfa na kejeli za kila aina huchukua nafasi. Hukumu inapitishwa kwa kusikiliza clip aliyojirekodi mtu anyejiita spy!!!
Ni mjinga tu ndio ataamini hiyo clip na kumuamini mtoa mada ....
 
Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,465
2,000
Nenda katika hoja. Ina maana ugaidi ndiyo unaitwa imani ya kiislam kwa lugha nyingine? Hapa uislam umekashfiwa na nani na kwa namna gani? Huyo anayesema si mwislam?
Ni sinema nyingine ya waeneza chuki dhidi ya dini nyingine. Hapa imepatikana fursa nyingine ya kuutukana Uislamu na Waislamu!

Target inapokua ni kukashifu dini hasa uislamu basi akili zote za weledi na uchambuzi wa haki huwekwa pembeni na matusi, kashfa na kejeli za kila aina huchukua nafasi. Hukumu inapitishwa kwa kusikiliza clip aliyojirekodi mtu anyejiita spy!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom