kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. Kunguru wa kufugwa

    JamiiForums Tanzania Kiongozi, wathamini unaowaongoza

    Kiongozi bora ni yule anayewathamini watu anaowaongoza na si vinginevyo. Kumekuwepo na baadhi ya viongozi wasiowathamini watu wanaowaongoza, wanawaumiza watu kwa kisingizio cha kukuza uchumi. Kupanda gharama za vitu hovyo hovyo, kodi kubwa zinazowaumiza watu, kukosekana kwa huduma za kijamii...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Imani ya wananchi kwa Serikali imeshuka tangu Dkt. Magufuli atutoke

    Wananchi wakisikia kuna Tril 1.3 zimekopwa kwa ajili ya kuchochea mdororo wa uchumi ulioletwa na Uviko -19, wanahisi kupigwa tu. Wanajua kuna kizingumkuti namna zitavyotumika. Umeme umekuwa ni tatizo la kukatika katika kila mara, wanahisi, kuna mchongo wa kupigwa kama walivypopigwa huko nyuma...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anaeona kuchelewa kwa mradi ni kawaida tena anaongea kwa kutetea hilo

    Kutokana na kuibuka kwa hoja kwanini mradi wa Bwawa la Mwl. Nyerere umechelewa na huko asilimia karibu 45 hadi sasa, na kimkataba ilitakiwa asilimia karibu 90. Mhe. sana Waziri wa nishati, Makamba akasimama kutoa maelezo. Katika maelezo yake, ambayo yalijaa maneno matupu, na si kueleza...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Nape ni ubinafsi, chuki na sononeko. Kiongozi wa namna hii hatufai hata kidogo

    kwa tunaomfahamu Nape na tuliyopata kuyajua machache juu yake hatushangazwi kusikia anayosema ila tunachoshangazwa ni kuchelewa kwako kuzungumzia unafiki wake watanzania wakaujua. Nape ana chuki na tukio walilofanya lakini kabla lengo halijatimia wakajulikana ila nikiri kusema kwamba ingekuwa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kuzindua miradi mabongo ya picha za kiongozi

    Imekuwa utamaduni kuandaa mabango na vipeperushi zinapotokea ziara za viongozi wa kitaifa kukagua miradi au kuzindua miradi hata mikutano ya hadhara. Mhusika atakuja na kila siku huonekana kwenye vyombo vya habari na anafahamika hata na watoto,inakuwaje tunamchora kwenye mabango? Nani huwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ageuka kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

    Spika dhaifu Mh.Ndugai amegeuka kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni,,,Hii inatokea pale ambapo Ndugai anasimama kila mara kuziba pengo la wapinzani baada ya kuona Mazuzu yaliyomo bungeni+ yeye hayana uwezo wa kujenga hoja za kulivusha Taifa,,,Tunayakumbusha kwamba wala yasijali...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe amewahi kunyang'anywa gari ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani? Alirejeshewa lini?

    Baada ya Dereva wa gari ya Mbowe Kustaafu kwa mujibu wa spika gari hiyo ilipokonywa kutokana na kukosekana kwa dereva ambaye aliaminiwa na pande zote mbili. Leo mahakamani inaelezwa gari hiyo ilienda Longido mwaka 2017 kumchukua shahidi wa pili: je kipindi hicho Mbowe alikuwa anatumia gari hiyo...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Mtanzania anamkagua vizuri zaidi mbuzi wa kuchinjwa kesho kuliko anavyomkagua kiongozi atakayemtumikia kwa miaka 5

    Sikiliza…..
  9. Mukua

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa mtawala na siyo kiongozi

    Hayati Magufuli aliamini kuwa yeye ana akili kuliko watanzania wote na ndio maana hata alipodanganywa kwa sifa za uongo Kama sio kumkebehi kuwa anajua idadi ya samaki wote kwenye mito, ziwani, na baharini alibaki kukenua kwa kicheko. Mtawala anapenda sifa usipo msifu una geuka kuwa adui wake...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

    Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, leo Jumatano Oktoba 20, 2021 inatarajiwa kutoa uamuzi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu. Uamuzi huo ambao utatolewa na Jaji Mustapha Siyani (Jaji Kiongozi...
  11. manchoso

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni kiongozi tafadhali changamkia hii fursa

    Iwe ni kiongozi wa kisiasa au wa namna yeyote unaetambulika ima wa jamii au wa mtaa jaribu kuomba hii ukapate exposure na maarifa. kama una mda jaribu kuomba, ukienda huko hupewi pesa ila mambo ya usafiri, malazi na chakula watakugharamia wao. Ama kama unamfahamu mtu yeyote ambae ni kiongozi...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yaondoa mashtaka ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani

    Serikali ya Uganda imeifuta kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa chama cha upinzani Kizza Besigye, ambaye alikuwa akipambana kumuondoa madarakani rais Yoweri Museveni ambaye ametawala kwa kipindi cha miaka 35. Besigye, amegombea nafasi ya urais mara nne na alikamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya...
  13. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Mambo tata matatu, Uteuzi wa Jaji Kiongozi Siyani

    Uteuzi wa Jaji Siyani kuwa Jaji Kiongozi una sura tatu tata sana. 1) Ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siyani atalazimika kuachia Jaji mwingine hii kesi ya Mh Mbowe, Athari za kuteuliwa jaji mwingine kwenye kesi hii ni kwamba ajaye anaweza kutoa maamuzi kwaniaba ya mamlaka za uteuzi ili nae apendelewe...
  14. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya RC Makonda yazua utata akipokea salamu ya kijeshi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi. RC Makonda akiwa amevalia mavazi kama ya kwenda sehemu ya starehe hasa ikiwa ni Jumatatu ya siku kazi...
  15. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Timu ya taifa haina chama, tumuige Zitto Kabwe

    Zitto kabwe nae inaonekana alifanya mazoezi kwa vitendo hapo akiwa na meneja wa staz Nadir haroub canavaro jasho la kwapa machozi na damu lazima stazi icheze qatar world cup!
  16. M

    JamiiForums Tanzania BBC msitutanie, ina maana Tanzania haina Kiongozi yoyote Mfujaji mliyemwona katika PANDORA PAPER?

    Siwezi kuamini na nitakataa mpaka Pumzi yangu ya mwisho huyu Kiongozi Mr. Smile Mswahili Pwani BBC na PANDORA PAPER yenu hamjamkuta kuwa amejilimbikizia sana Mali na Kuinyonya mno Tanzania. Kwa nimjuavyo Mr. Smile Mswahili Pwani na alivyokuwa Mjanja Mjanja huku akiwa Kazungukwa na Wapigaji...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nani dikteta ? Kiongozi au serikali ?

    Ni bora mkatudadavuliya ili tujue ni nani na kipi kinatofautisha udikteta. Vipimo vitasaidia na kuwasaidia waamuzi wanapoamua ili watazamaji wasione kuna upendeleo. Kuna mtu alimwita jamaa dikteta uchwara kisha akatoka baru ,sikuelewa hadi leo hajarudi ,nikimaanisha akimuogopa Dicteta au...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kumjua tu Kiongozi wa Simba SC aliyeshindwa Kukamilisha Dili la Khalid Aucho kutua Msimbazi na Yanga SC wakamuwahi na kutua Kwao rasmi

    Unahitaji Chama, Bwalya, Mkude, Muzamiru, Lwanga na hata Ndemla ili angalau tu kuufikia uwezo mkubwa alionao Kiungo ninayempenda na namkubali wa Yanga SC Khalid Aucho. Naomba Yanga SC ikirejea Dar es Salaam japo Mimi Mightier ni mwana Simba SC lia lia lakini Furaha yangu Kubwa ni kupiga tu...
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hivi mmesahau kuwa genge lenu lilichafua CCM na kiongozi aliyefariki akainusuru CCM uchaguzi wa mwaka 2015

    Mliichafua Ccm kwa kashfa nzito amabazo mlihusishwa kuzitenda. Mlihusishwa na kashfa za kila namna kuanzia Escrow, Lugumi Kagoda na kila aina ya ufisadi uliotokea. Mwaka 2015 Ccm ilichafuka kwa sababu ya uchafu na ufisadi mliouzoea. Ndipo ikaonekana kiongozi aliyefariki angalau asimame ili...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mmoja aliyepigania watoto wasirudi shule ampeleka mwanaye nje kuendelea na masomo miezi 6 baada yakujifungua.

    Wakati wa awamu ya tano msimamo wa serikali ulikuwa hakuna watoto kurudi shule endapo watapata ujauzito. Kauli hii yakishenzi iliungwa mkono na wanasiasa wakiwemo wabunge na hata viongozi wa dini,taasisi za kirahia na wanazuoni mbalimbali. Wakati Kigogo mmoja jina linahifadhiwa akiwa kinara wa...
Back
Top Bottom