TANZIA Kiongozi wa zamani wa kijeshi wa Misri, Hussein Tantawi afariki dunia

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,224
6,468
Kiongozi wa zamani wa kijeshi wa Misri Field Marshall Mohammed Hussein Tantawi amefariki dunia.

Bwana Tantawi amewahi kuwa waziri wa Ulinzi wa Misri kwa miaka 21. Pia amekuwa Rais wa mpito kuanzia 2011 hadi 2012 badaa ya kuobdolewa kwa Rais Hosni Mubarak.

Utawala wake wa Mpito ulikoma Mara baada ya Mohammed Morsi kuchaguliwa kuwa Rais.

Anakumbukwa kwa kuongoza Vita dhidi ya Israel mwaka 1956. Amefariki leo akiwa na miaka 85.
 
Cairo, Egypt

Field Marshal Mohammed Hussein Tantawi, who died at the age of 85, headed the military junta that ruled Egypt in the aftermath of Hosni Mubarak's ouster before being sacked by the country's first freely elected leader

Field Marshal Mohammed Hussein Tantawi, who died at the age of 85, headed the military junta that ruled Egypt in the aftermath of Hosni Mubarak's ouster before being sacked by the country's first freely elected leader YOUSEF ALLAN PETRA News Agency/AFP/File

Field Marshal Tantawy was born on October 31, 1935 in Aswan , and graduated from the Military Academy in 1956. The late commander was a war hero, who fought in the Six-Day War in 1967, and the War of Attrition that began in 1969 paving the way for the 6th of October 1973 War, where he led a very famous battle dubbed “The Chinese Farm Battle.” It took place on October 15, 1973 when troops freed a land that was planned for reclamation by the Egyptian government in Sinai, from Israeli occupation.

1

Tantawy came up through the ranks until he was appointed General Commander of the Egyptian Armed Forces, and Minister of Defense and Military Production in 1991. Two years later, he earned the Field Marshal rank, remaining in the position until August 12, 2021.
 
Kiongozi wa zamani wa kijeshi wa Misri Field Marshall Mohammed Hussein Tantawi amefariki dunia.

Bwana Tantawi amewahi kuwa waziri wa Ulinzi wa Misri kwa miaka 21. Pia amekuwa Rais wa mpito kuanzia 2011 hadi 2012 badaa ya kuobdolewa kwa Rais Hosni Mubarak.

Utawala wake wa Mpito ulikoma Mara baada ya Mohammed Morsi kuchaguliwa kuwa Rais.

Anakumbukwa kwa kuongoza Vita dhidi ya Israel mwaka 1956. Amefariki leo akiwa na miaka 85.
Aliongoza Vita akiwa na miaka 20 TU, duh, alikuwa very special and talented. Kuaniniwa kuongoza Vita katika umri mdogo hivyo sio Jambo la kawaida.

Uzoefu wa Vita aliupata lini?

Au ndio maana Israel 🇮🇱 walishinda kirahisi kutokana na uongozi wa jeshi lenyewe?
 
Back
Top Bottom