kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mwenye ushawishi mkubwa ndani ya serikali ila huwezi kumjua

    Huyu ndio kiongozi mwenye ushawishi mkubwa tangu kwenye maamuzi mpaka kile anaongea Rais ktk maswala ya kitaifa ukiondoa maneno mengine Rais anaweza chomekea. Ni kiongozi ambaye huwezi kumjua wala kumdhania ndani ya Ikulu Chamwino na Magogoni. Huyu kiongozi unaweza kumjua tu kutokana na ulinzi...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Huyu kiongozi mzalendo, mwana wa Afrika hakujua kuwa walio karibu naye hawakumpenda na walimtakia mabaya kama ilivyokuwa kwa Thom Sankara?

    Thomas Sankara alijitoa uhai wake kwa ajili ya Afrika na watu wa Bukinabe. Alitaka taifa lake lijitegemee na na umasikini uliolikabiri taifa lake uondokane kwa nguvu za wananchi wa taifa hilo. Alifanyiwa mbaya na mafisadi ambao walikuwa karibu naye na aliuwawa bila hata huruma. Je, huyu...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani yamshikilia kiongozi wa Yakuza kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya

    Marekani imemkamata kiongozi wa kundi la yakuza la Japan na wanaume watatu wa Thailand, wakiwatuhumu kwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini na methamphetamine na kujaribu kupata makombora ya kutoka ardhini hadi angani yaliyotengenezwa na Marekani kwa ajili ya makundi yenye silaha huko...
  4. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mbio za Mwenge: Wakimbiza Mwenge watumie vigezo vya kitaalam kukagua miradi

    Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru. Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi. Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake. Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
  5. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Harakati za Kiongozi Wa Mbio za Mwenge Mwaka 2022

    Kwa aina ya Ukaguzi Huu Huyu Kiongozi Wakimbiza Mwenge Anaonekana ni Mkuda SAna. . Ni Kwamba Hajui Kuna Aina Ngapi Za Lami?
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Sudan: Kesi ya kwanza ya anayedaiwa kuwa kiongozi wa Janjaweed yaanza kusikilizwa ICC

    Mwanamume anayeshutumiwa kwa kuongoza wanamgambo wanaoogopwa na serikali ya Sudan wanaojulikana kama "Janjaweed" akanusha mashtaka kadhaa ya uhalifu wa kivita mwanzoni mwa kesi ya kwanza ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kuhusu mzozo wa Darfur. Ali Muhammad Ali Abd–Al-Rahman (72)...
  7. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

    Hi Kamanda! Kamanda Malisa pole na hongera sana kwa kazi ya Utume unayoifanya ya kuihudumia jamii ya Watanzania. Mungu akulipe kila lililo jema. Kamanda Malisa mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Singida Wilaya ya Ikungi kutoka Kijiji cha Minyughe. Tuna ndugu yetu aitwaye Petter Mtinangi ambaye alikua...
  8. 2019

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kiongozi wa dini kubariki vita au wanajeshi wanaoenda kupigana?

    Katika nchi hii, watu wananen kati ya kumi sawa na (78%) wanajitambulisha kuwa Waorthodox. Lakini uvamizi ulioongozwa na Vladimir Putin - ambaye, kwa bahati mbaya, ameharibu mamia ya makanisa kwa mashambulizi yake ya angani - ultikisa nguvu ya UOC-MP. Hali ilikuwa tete baada ya mzalendo wa...
  9. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Kiongozi bora wa muda wote Simba

    Sijui imekuaje Leo. Nimejikuta namkumbuka huyu mwamba.
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Moja ya Dalili ya Kiongozi Mpumbavu ni kutaka kuogopwa.

    Wakuu Kwema! Leo sina mengi Sana ya kusema, Mtoto wangu aliniuliza hivi; Baba ni Dalili gani ya wazi itakayonifanya nimjue kiongozi huyu ni Mpumbavu ili nijiepushe naye? Swali lake linashangaza Sana. Ukizingatia yeye ni mtoto wa miaka sita tuu. Nikamjibu; Kiongozi Mpumbavu utamtambua Kwa...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anaposema ‘Watu hawali Katiba’, anapotosha kwa faida ya nani

    Kuna viongozi wakiwepo wasomi wengine na PhD zao wanasema wananchi wanataka chakula wanataka maji hawataki Katiba kwa sababu hawatakula katiba. Huu ni upotishaji wa kiwango cha hali ya juu. Katiba ni mkataba kati ya mtawala na mtawaliwa, ni jumla ya kanuni za msingi zilizoanzishwa na wananchi...
  12. BenElohimy

    JamiiForums Tanzania Uongozi siyo haki ya kiongozi bali ni haki ya wale anaowaongoza

    Natumai wote wana JF mko salama kabisa. Ninapenda kuwasilisha kwako kwamba katika hii sayari ya dunia ni ngumu sana kumkuta kiongozi ambaye yuko tayari kwa ajili ya wengine. Viongozi wengi hutumia nafasi walizonazo ili kujinufaisha wao, kujilinda wao au kujiwekea kinga kwa yote wanayoyafanya...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni mkanda na mkabila, hafai kuwa kiongozi hata kiduchu. Watanzania wamkatae na CHADEMA yake

    Kitendo cha hayati Magufuli kufanya diversication of ecomic development kilimkwaza sana Mbowe na sasa ameanza kufunguka yake ya moyoni. Kiongozi anayeona kanda walikotoka wazazi wake na ukoo wake kuwa ina umuhimu kuliko kanda zingine hafai hata kiduchu Kiongozi anayefikiria masuala ya kuleta...
  14. gango2

    JamiiForums Tanzania Mshindo Msola ni kiongozi mwenye weledi sana, anafaa Urais TFF

    Habari wanabodi Pasi na shaka, wapenda kabumbu wengi wanamfahamu au wamewahi kulisikia hili jina Dr Msindo Msolla na kwa mashabiki wa klabu ya Yanga au Simba wana mjua kama Mwenyekiti wa Club ya Yanga. Pia naamini kuna wengi sana hawamjui kiongozi wa juu kabisa wa Club ya Yanga kuwa ni Dr...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Kilimanjaro wakanusha kumpokea kiongozi yeyote wa kisiasa Machi 19, 2022

    Sisi viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kilimanjaro tumeshangazwa na ujumbe unaosambazwa mitandaoni kwamba tutahusika na mapokezi ya Kiongozi wa Kisiasa . Tunatambua kwamba ujumbe huo ni wa Wanasiasa na wala haujatoka kwetu sisi viongozi wa Dini. Sisi kama viongozi wenu wa Dini tunaendelea kujikita...
  16. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Kiongozi ni sawa na nyama, ikioza inatia kinyaa kuliko mchicha

    Nyama na mchicha zote ni mboga, tofauti yao ni utamu na gharama! Nyama iko juu ya mchicha! Cha kushangaza vyote vikioza nyama inanuka na kutia kinyaa sana kuliko mchicha. Maana yake ni kwamba vitu vyenye thamani vikioza vinanuka kuliko vitu visivyokuwa na thamani, kosa la kiongozi linanuka...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kiongozi makini hapa Afrika ukasimamia haki na maslahi mapana ya taifa lako uhai wako unakuwa hatarini

    Angalia kiongozi kama Thomas Sankara na Patrice Lumumba walivyojitoa kwa mataifa yao na kutetea raia wao waondokane na umaskini wao. Wote wawili waliuawa bila hata huruma. Kiongozi anayehakikisha taifa analoogoza la Kiafrika lazima akumbane na maadui wakuu wawili wakubwa. Adui wa kwanza huwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Shamsi Vuai Nahodha si aliwahi kuwa Waziri Kiongozi Zanzibar?

    Ukiwa waziri kiongozi wa Zanzibar si unalipwa hadi kufa? Sasa ubunge wa Viti Maalum wa nini tena?
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Mangula, Mbatia, Lipumba na Duni kushiriki Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridhiano

    Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake. Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania IS yathibitisha kifo cha kiongozi wake Quraishi na kumtaja mrithi wake

    Abu Ibrahim al-Qurayshi alikuwa mwanajihadi mkongwe wa Iraq ambaye jina lake halisi lilikuwa Amir Mohammed al-Mawla.Image caption: Abu Ibrahim al-Qurayshi alikuwa mwanajihadi mkongwe wa Iraq ambaye jina lake halisi lilikuwa Amir Mohammed al-Mawla. Kundi la Islamic State (IS) limemtaja kiongozi...
Back
Top Bottom