kinga

  1. J

    Hotuba ya Mkurugenzi wa Kinga; Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee, Siku ya Maadhimisho ya Mtoto Njiti, tarehe 17 Novemba 2020

    Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema hadi kufika hapa siku ya leo, napenda kuwashukuru nyote kwa kuja, tunapoungana kwa ajili ya kuadhimisha siku ya mtoto njiti Duniani leo tarehe 17 Novemba 2020. Aidha ninayo furaha kuwa sehemu ya maadhimisho haya, jambo...
  2. Kumbe kulazimisha kupitisha Sheria ya Kinga ya Kushtakiwa kwa Spika wa Bunge na Jaji Mkuu, sababu zake zilikuwa hizi?

    Kwenye nchi yoyote duniani, inayoweza kusema inaendesha utawala bora, ni lazima iruhusu mfumo wa mihimili 3 mikuu ya nchi, ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama kujiendesha katika kutoingiliana katika uendeshaji wa shughuli zao, katika kile kinachoitwa "checks and balance" Hali ni tofauti kubwa...
  3. M

    Hivi kwanini Wabunge wa Vyama vya Upinzani wasiwe na kinga ya kubaki Bungeni kama sisi watu wa Kanisa kwani tunafanana sana kwa mambo mengi?

    Kwa upande wa kanisa kunavituko vingi sana vya ajabu makanisani lakini hakuna mahara pa kusemea kwa sisi waumini labda kubadilisha kanisa lakini kwa wanasiasa na taifa kwa ujumla kila baada ya miaka 5 kuna sehemu ya kusemea hivi kwanini na hawa wanasiasa wa upinzani nao wapewe kinga kama ya...
  4. Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa...
  5. Kusema uwongo (purjury) ni kosa kubwa sana (felony) hapa duniani na mbinguni. Je, Wagombea wana kinga ya kosa hili?

    Kusema na kueneza uwongo hapa hasa ukiwa chini ya kiapo ni kosa kubwa sana (felony) kwenye nchi yo yote hapa duniani. Na baya zaidi hasa uwongo huo unaweza kusababisha uvunjifu wa amani. Hata vitabu vitakatifu vya biblia Qurani vinaliorodhesha kosa hili kuwa kati ya dhambi kubwa ambalo adhabu...
  6. Ushauri kuhusu kinga ya UKIMWI

    Thread is deleted
  7. Mtaalamu: Hofu iliyopitiliza husababisha kinga ya mwili kushuka

    MTAALAMU wa masuala ya saikolijia kutoka Chuo Kikuu cha Iringa, Baraka Mushobozi, amesema madhara ya hofu iliyopitiliza kwa binadamu ni pamoja na kushuka kwa kinga za mwili na kuruhusu mwili kushambuliwa na magonjwa. Akizungumza na MTANZANIA katika Mahojino Maalum jana, alisema watu wengi...
  8. Kikatiba: Rais wa Tanzania hashtakiwi, lakini hana kinga dhidi ya yafuatayo...

    Katiba ya Tanzania chini ya Ibara ya 46 inasema kwamba Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hawezi kushitakiwa kwa namna yoyote ile akiwa ofisini au nje ya ofisi. Mwaka jana baada ya kesi ya kikatiba ya Ado Shaibu dhidi ya Raisi wa Magufuli na Mwanasheria Mkuu, bunge letu tukufu lilifanya...
  9. Bendera ya Chama cha Mapinduzi ni kinga? | Bendera ya CCM ni mbadala wa "Plate Number"?

    Hii inamaanisha nini? Wanaofanya hivi wanajua Askari wa Usalama barabarani lazima "atamezea" kosa lolote watakalolifanya barabarani kwasababu ni gari la chama Je, wahalifu hawawezi kutumia mwanya huu wakajinufaisha? Kwanini CCM waache chama chao kitumike namna hii? FYI: Ukiachana na gari...
  10. Wasiokuwa na chakupoteza wanapongezeka haki ndio kinga pekee

    Watu wenye mali kama nyumba, mashamba, magari, kazi, mifugo, viwanda, biashara kubwa na mali nyinginezo ni watu wenye uwezo mkubwa sana wa kuvumilia mambo, kutafakari na kusamehe. Idadi ya watu wa aina hii wakiwa wengi kwenye familia, mtaa, kitongoji, kijiji, kata, tarafa. wilaya, mkoa na nchini...
  11. Mike Oliver, Mzungu mtalii aliyetembea na wanawake 300 nchini Kenya

    Mike Oliver mzungu toka UK, ni mtalii aliyetembelea nchini Kenya tangu mwaka mmoja uliopita. Mpaka jana 24 August 2020 baharia amethibitisha kutembea na wanawake 300 huko Kenya. Ametoa uthibitisho huo kwa kutoa na kuchapisha picha za hao wanawake wakiwemo wake za watu, wachumba, watu wazima...
  12. B

    Kwanini wanasiasa wa Tanzania kuanzia Ubunge wanaingia nyumba za ibada na walinzi? Nchi haina amani au kwao Mungu si kinga?

    Wagombea Ubunge wengi safari hii walijiwekea walinzi bunafsi. Baadhi ya Walinzi Hawa uwakuti kila sehemu ila uonekana pale mgombea anapokwenda maeneo walipo wanahabari. Mzee baba akiwa kwenye nyumba ya ibada asilimia kubwa ya waumini uwa ni Walinzi, Jana nimemwona Gwajima na Abbass wakiwa...
  13. Kenya: KEMSA yashutumiwa kufanya ununuzi wa vifaa kinga dhidi ya Corona kwa mara mbili ya bei halisi

    Kenya Medical Supply (KEMSA) ambayo inahusika na ununuzi wa dawa na vifaa tiba kwa vituo vyote vya Afya vilivyopo Kenya imeingia katika kashfa nyingine kutokana na ununuzi wa vifaa vya dharura dhidi ya ugonjwa wa COVID-19. Taarifa zinasema vifaa hivyo vilinunuliwa kwa gharama ya juu sana...
  14. Q

    Rais Mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera amuondolea Kinga ya kutoshtakiwa Rais wa zamani, Peter Mutharika

    Ikiwa ni chini ya saa 24 tangu kuapishwa kwake, Rais mpya wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera amemuondolea kinga ya kutoshtakiwa aliyekuwa Rais wa taifa hilo, Peter Mutharika ili aweze kushtakiwa. Vilevile, ili kuhakikisha kuwa mizizi ya utawala katili uliojawa na rushwa uliopita inang’olewa na...
  15. F

    Nimetembea na mwanamke bila kinga nahisi ni Mwathirika

    Ninaishi peke yangu inje ya nchi, Mke wangu yuko TZ na tuko lockdown hakuna kutoka wala kuingia, jumanne alinitembelea binti mmoja nikajikuta nagonga dry. Kesho yake nilipomlazimisha tukapime alikata katakata, ikabidi jana Jumamosi nikanunue vipimo vya UKIMWI nijipime mbele yake kumshawishi ili...
  16. Hivi Serikali ikimuamini huyu mwamba wa huko Mtwara hawezi kusaidia kuwaangamiza wasiojulikana na hata kutupa kinga thabiti ya janga la Corona?

    Mkazi Mmoja huko Mkoani Mtwara amewashangaza na hadi leo Kuwaacha Hoi Wananchi huko baada ya Kuanzisha Duka lake la Kuuza Bidhaa mbalimbali tokea Miezi Minne iliyopita ila huwa halifungi kabisa huku ikifika Usiku analiacha hivyo hivyo na kwenda zake Kulala eneo lingine lakini hakuna chochote...
  17. Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

    Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
  18. Marekebisho ya sheria: inaenda kuuwa dhana watu wote kuwa sawa mbele ya sheria. Jaji akikuhukumu ndivyo sivyo anakuwa na kinga huna cha kumfanya

    MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA NAMBA 3(2020): UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI WA UMMA Watumishi wa Mahakama na Viongozi wa juu wa nchi wanapopewa kinga dhidi ya mashtaka hata kwa makosa ya uvunjifu wa #Katiba, wanapewa mwanya wa kukiuka viapo vyao vya kuilinda Katiba. Hii inatengeneza tabaka la...
  19. Kinga kwa viongozi baada ya kustaafu haitawasaidia kabisa viongozi hao endapo upinzani utachukua nchi

    Huu ndiyo ukweli wenyewe. Wapinzani wakichukua nchi watatumia fimbo ile ile ambayo sisi CCM tumekuwa tukiitumia dhidi ya tusiowapenda, wakiwemo wa vyama vya upinzani. Na tusijidanganye kuwa CCM tutakaa madarakani milele. Dalili zilizopo zinaonyesha tutaondolewa madarakani muda si mrefu...
  20. Zijue tabia 4 zinazopunguza kinga za mwili bila kujijua

    Kinga ya mwili ni ile hali ya mwili kuwa na uwezo wa kujikinga wenyewe dhidi ya maradhi mbalimbali. Mtu anapokuwa na kinga imara za mwili, huepuka kuugua mara kwa mara na kwa kifupi unaweza kusema kwamba kinga ya mwili ndiyo kila kitu katika afya ya binadamu. Kuumwa mara kwa mara ni dalili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…