kinana

  1. J

    Abdulrahman Kinana amempongeza Rais Samia kwa kuvunja rekodi za Mapato

    Na Mwandishi Wetu, Musoma CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Makamu Mwenyekiti wake Tanzania Bara, Abdulurahman Kinana amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anafanya mambo makubwa ya maendeleo kwa Watanzania ikiwamo kuongeza mapato ya Serikali bila ya wananchi kushurutishwa au kuporwa fedha...
  2. M

    Ukimtoa Mzee Kinana Safu ya Sekretariet haikubaliki na hawaijui siasa za wakati huu

    Ukweli usemwe, Kuanzia katibu mkuu, Naibu, Mwenezi wanaweza kuwa walifanya vizuri kwenye siasa nyakati zao lakini kwa sasa hapana. Historia inajirudia inanikumbusha Sekretarieti ya Katibu Mkuu Mzee Mkama na hii ya sasa wanafanana sana na hawana tofauti. Hadi sasa CCM imeingia choo cha...
  3. K

    Ali Happi ni kijana asiyejifunza kutokana na makosa. Ilitakiwa ajifunze kipindi kile cha Mzee Kinana, akarudia makosa tena kwa Chongolo

    Nikikumbuka kipindi kile Ali Happi alipowabeza wazee wakae kimya maana muda wao wa kuzungumza umeisha lakini Mungu akampa somo kupitia mzee Kinana baada ya kuukwaa Umakamu Mwenyekiti wa CCM, tukajua Hilo ni somo kubwa sana maishani mwake. Hilo likaisha. Likaja jingine tena la kujiuzulu Kwa...
  4. VUTA-NKUVUTE

    PreGE2025 LGE2024 Swali kwa Kinana, Je haki na uhuru wa uchaguzi huamriwa na Rais?

    Kichama na kiserikali namfahamu Komredi Kinana tangu miaka ya 80. Naujua uhodari wake kijeshi (kwakuwa nami nilitumikia mojawapo ya vyombo vya ulinzi na usalama), kiserikali na kichama. Komredi Kinana si mtu wa maneno mengi. Ni mtu wa mipango ya viwango na vitendo na mwendo. Sikushangaa pale...
  5. Heparin

    PreGE2025 Abdulrahman Kinana: Chaguzi za 2019 na 2020 zilileta hofu, Mwaka 2024 na 2025 zitakuwa za Huru na Haki

    "Uchaguzi mwaka huu na mwaka ujao utakuwa wa huru na wa haki, wakati nazungumza hivi nina hakika wapo ambao wana mashaka na kauli hii, na hao wenye mashaka wanazo sababu, na sababu zao zinatokana na 2019 na 2020 huo ndio ukweli" "Sheria tuliyokuwa nayo ya uchaguzi ambayo ilitupeleka kwenye...
  6. T

    John Mnyika: Hakuna kesi ya Covid-19 mahakamani, Kinana mwongo, Spika awaondoe

    Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, John Mnyika, ameanika namba ya Spika hadharani ili ahojiwe moja kwa moja na Wananchi kwa kukataa kutii sheria inayomtaka awaondoe bungeni watu 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA, al maaruf Covid 19. Amesema maelezo ya CCM kupitia Kinana kwamba watu hawa wanasubiri...
  7. B

    Andrew Nyerere: Komredi Abdulrahman Kinana ni mchochezi

    Mtoto wa Nyerere aunga mkono maandamano nchi nzima Andrew Nyerere mwanachama wa CCM akizungumza katika mkutano wa ndani wa CHADEMA , amkosoa makamu mwenyekiti wa CCM- Bara komredi Abdulrahman Kinana kwa kutoa maneno yakichochezi dhidi ya haki ya CHADEMA kuandamana...
  8. K

    Inawezekana Kinana na genge lake wanamuhujumu Mama?

    Nashauri Mama awe makini sana. Kinana ana watu wake wenye uchungu na kufikiria wenyewe ndiyo wenye chama. Watu hao ni 1. Makamba 2. Nauye 3. Mwigulu 4. Ridhiwani Na wanataka kutafuta njia ya kumweka mtu wao hasa Makamba. Mwigulu kaingia kwenye hiyo group kwa kujipendekeza. Kinana alimwambia...
  9. B

    Mzee Kinana mbona hujatuambia CCM inapata ruzuku kiasi gani?

    Nimemsikiliza Mzee wangu Komredi Kinana eti akisema wamewapa ruzuku CHADEMA na kuwapakazia akataja na kiasi. MIMI nimuulize mzee wetu, je, CCM inapata ruzuku kiasi gani? Akisema au akitaja basi nawaambia wananchi watazirai siku hiyo! Maana ni pesa nyingi sana lakini hata haieleweki zinakwenda...
  10. Mjanja M1

    Tundu Lissu amjibu Kinana kuhusu ruzuku, asema hawahongeki

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amemjibu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana juu ya mambo aliyoyaongea jana kuhusu Ruzuku n.k ANGALIA VIDEO HAPA Written by Mjanja M1 ✍️ 📹 JamboTv
  11. T

    Wanaobeza Matendo na kauli za Makonda, Nchimbi na sasa Kinana wajiulize tena mara mbili....

    Nimefuatilia huu mjadala, kweli kuna tatizo kwa jinsi tunavyochukulia matukio, jinsi tunavyochukulia matamshi. Kilichonishangaza ni badala ya wapinzani na mashabiki wao kuiona hatari iliyo mbele yao, jinsi hawa jamaa wa CCM walivyojipanga strategically na systematically kuwin the battle and mind...
  12. L

    Ila kama vile Kinana anazeeka vibaya hivi!

    Nilishangaa sana kumsikia anawasema wapinzani. Kwa nafasi alizoshika siku zote niliona akiwakosoa na kuwaelekeza wa chama chake. Jana kumsikia anawaongelea CHADEMA kwa kweli nimeshangaa sana sana!
  13. Erythrocyte

    Kinana , Nchimbi na Makonda Tayari wameingia kwenye mfumo wa CHADEMA , sasa anayesubiriwa ni Samia tu mchezo uishe

    Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA . Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita ...
  14. Erythrocyte

    Kinana afafanua mkwamo wa maridhiano, kauli ya CHADEMA kwamba CCM haijitambui yatajwa kuwa sababu mojawapo

    Hebu Jisomeeni wenyewe muone ilivyokuwa kama anavyosimulia Mzee Kinana
  15. Mjanja M1

    Abdulrahman Kinana: CHADEMA wamelipwa ruzuku kiasi cha Billion 2.7

    Chadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao ya miaka 3. Kinana amesema ombi hilo lilikuwa gumu kutokana na ruzuku hutokana na bajeti ya serikali...
  16. Mjanja M1

    Kinana: Wasimamizi wa Uchaguzi watakuwa Waadilifu na Waaminifu mnataka nini tena?

    Abdulrahman Kinana amesema Uchaguzi ujao utakuwa wa haki kwani wasimamizi watakuwa Waadilifu na Waaminifu. "Bunge limekubali (Bunge la Tanzania) limesema wasimamizi wa uchaguzi watakuwa watumishi wa umma waandamizi. Mtu atateuliwa kwa sifa; sifa za uadilifu, uhodari wa kazi na uaminifu...
  17. R

    Kinana akiri kwamba CCM imeondoa kesi 9 za CHADEMA Mahakamani bado 2 wanazishughulikia: kumbe kesi zinafunguliwa na CCM?

    Mzee Kinana akizungumza na viongozi wa CCM DAR es salaam ameeleza kwamba CCM imeondoa kesi tisa za jinai walizowafungulia chadema mahakamani na sasa hivi wanaangalia namna ya kufuta kesi mbili zilizobaki. Kwa kauli ya Kinana ni kwamba anajivunia CCM kuwafungulia kesi za jinai wanachama wa...
  18. MAHANJU

    Makonda anafanya kazi za Kinana na Dkt. Nchimbi. Je, ndiyo utaratibu wa chama?

    Kwa mujibu wa Katiba ya CCM kazi ya Katibu wa Itikadi,uenezi na Mafunzo ni kukisemea na kukitolea taarifa chama kinapokua kwenye utekelezaji wake. Sasa Kaka Bashite aneacha wajibu wake anafahya kazi za Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Kinana, anafanya kazi za Dr Nchimbi, katibu mkuu wa Chama...
  19. Nigrastratatract nerve

    Kinana ni bora ukajiuzulu sasa Makonda ni asset kwenye Chama wewe ni liability. Makonda ameshinda chuki zinazoelekezwa kwake

    Kitendo cha Kinana kupuuzwa maneno yake ya kufanya kazi kwa kuwawajabisha hadharani watumishi wa umma ni dhahiri Sasa siasa za Kinana hazina mvuto tena aachie damu changa. Ajiuzulu ndani ya CCM kumruhusu mwenyekiti ateue Makamu Mwenyekiti anayetaka kuendana naye na mwelekeo mpya kwa sababu...
  20. Erythrocyte

    Hili ndio swali ambalo Kinana, Majaliwa na CCM wengine hawawezi kulijibu

    Na kama Mwenyekiti wa ccm akizuiwa kuteua Wasimamizi wa Uchaguzi , hizi porojo za ccm kuchapisha fomu moja ya mgombea wa urais zitazimika mithili ya Mshumaa jangwani . Watapaswa kuachia fomu hata mia moja ili apatikane miongoni mwao mwenye uwezo wa kupambana majukwaani na kushawishi wananchi...
Back
Top Bottom