kinana

  1. Analogia Malenga

    Kinana: Demokrasia Inaendelea Kukua Tanzania

    Dar es Salaam, Agosti 22, 2023 Abdulrahman Omari Kinana, mwanasiasa maarufu nchini Tanzania ambaye aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki kuanzia mwaka 2001 hadi 2006, ametoa maoni yake kuhusu maendeleo ya demokrasia nchini humo. Akizungumza na katika mkutano wa wadau wa demokrasia...
  2. BARD AI

    Kikwete na Kinana wamtaka Kubenea na MwanaHalisi Kuomba Radhi kwa madai ya kuwalipa wanaopinga Mkataba wa Bandari

    Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana wamemwandikia Barua Saed Kubenea na Gazeti lake la Mwana Halisi wakimtaka kutimiza madai yao mawili ambayo ni 1. Kufuta Kashfa Dhidi yao na Kuomba Radhi 2. Kuahidi Kuacha Kuwakashifu kutokana na...
  3. Notorious thug

    Mzee Kinana ataka Wabunge waongezewe mshahara

    Hakika huyu mzee ni mzigo wa Taifa. Mzee Kinana anadai wabunge wa Tanzania ndio wanaopokea mshahara mdogo zaidi Afrika Mashariki. Ameenda mbali na kudai wakisema waongezewe mshahara wananchi wataanza kelele.
  4. R

    Huu moto wanaowasha CHADEMA unatisha, umemkumbusha Kinana aliamini Maridhiano yatawafunga mdomo

    CHADEMA wanavyoendesha siasa nchini utadhani walikimbia maridhiano kumbe wameamua kung'ata na kuyaelekeza maridhiano kwenye haki ya watu siyo haki kisiasa. Mzee Kinana aliamini wakitoka kwenye maridhiano basi CHADEMA watanyamaza kusema kumbe ndio kwanza wamefungulia kusema. Kinana aliamini...
  5. R

    Mzee Kinana yeye na familia yake wamewahi kupanda bodaboda?

    Let us be serious hata kidogo na maisha ya hawa watoto wetu; tujaribu kufanya yale tungependa kufanyiwa. Gharama za matibabu nchini ni kubwa sana, tuwaonee huruma hawa wasiojitambua. Kama boda boda ni nzuri lini tumewahi kumwona Mzee Kinana au mtoto akiendesha au kubebwa mishikaki kwenye hizo...
  6. Muwa mtamu

    Kinana kuongea na mamlaka bodaboda wabebe abiria zaidi ya 1 (mshikaki)

    Nimeshangaa kuona na kusikia Kinana akiwaambia bodaboda kuwa ataiambia mamlaka ya usimamizi usalama barabarani waondie zuio la mishkaki yaani kubeba hadi abiria 3. Sababu kuu anasema hii itaongeza kipato kwa waendesha boda boda. Kibaya zaidi akasema kuwa...kuna shida gani kama abiria wenyewe...
  7. saidoo25

    Kinana atofautiana na Chongolo mkataba wa bandari

    Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana ametofautiana msimamo na Katibu Mkuu wa CCM kuhusu mkataba wa bandari. Kinana anasema wamejitokeza watu wameanza kuhoji, wako wanaohoji kwa nia njema ya kujenga ya uzalendo, hatuwezi kusema kila anayehoji anania mbaya, wako wanaotetea mkataba na wametoa...
  8. ChoiceVariable

    Kinana: Rais wa Tanzania aliyekula kiapo hawezi kufanya jambo ambalo halina maslahi na nchi yake

    Baada ya Uvumi mkubwa wa kumhusisha Kinana na Kupinga uwekezaji wa Bandari Kwa DP World, hatimaye afunguka. Akihutubia mkutano wa hadhara Mkoani Mara Kinana amesema Watanzania wasiwe na Wasiwasi Kwa sababu Rais Samia ameapa kulinda na kuhifadhi Katiba ya Nchi hivyo hawezi kuwauza Kwa kufanya...
  9. saidoo25

    Mzee Kinana mbona hazungumzii Mkataba wa Bandari

    Tangu mjadala wa BANDARI kuanza sijamsikia Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana akizungumzia Mkataba wa Bandari, au ameshagundua hili ni bomu linaloweza kuua Chama. au kama kuna clip mnayo ya Mze Kinana akisifia mkataba wa bandari. muiweke hapa kwa ajili ya rejea
  10. benzemah

    Mzee Kinana: 2025 Njia nyeupe kwa Rais Samia

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana, amesema 2025 njia itakua nyeupe kwa chama hicho kushika Dola kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya makubwa ndani ya miaka miwili ya uongozi wake. ===
  11. MSAGA SUMU

    Msimamo wa Mzee Kikwete kuhusu DP World ni upi?

    Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini? Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika. Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
  12. Mmawia

    Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

    Kwa wenye ujuzi wa haya mambo ya madege makubwa tunomba ufafanuzi. Kwenye hii clip kuna dege kubwa linasemekana lina uwezo wa kutua popote. Msaada jamani ili tupate ufahamu. --- Abdulrahman Kinana, akiwa Waziri wa Ulinzi mwaka 1993 alimsindikiza Sheikh Mohammed kama mwakilishi wa serikali ya...
  13. Mwande na Mndewa

    Tunatengeneza Tanzania gani kwa kudhihaki waliokufa?

    Kauli ya Mzee Makamba ya kusema mungu anawaua wabaya na kuwaacha wema na akawataja majina imeniumiza sana binafsi,baada ya kauli hiyo nikawakumbuka wapendwa wangu walioufa,kwa namna ya pekee nikamkumbuka Hayati Rais John Pombe Magufuli aliyekufa akilitetea Taifa kwa damu na nyama hakulala...
  14. UmkhontoweSizwe

    Yuko wapi mzee Kinana?

    Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana. Yuko wapi? Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo? Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu. Nawasilisha UMK @ Nkotokwiana.
  15. S

    Membe, Kinana, Nape, Makamba kwanini hawakumzika Rais Magufuli?

    SIKU ya mazishi ya HAYATI MAGUFULI, Membe, Kinana, Nape, Makamba Baba na Makamba mtoto hawakuonekana mazikoni nini kiliwasibu kutomzika Magufuli? Maswali haya walijiuliza watanzania wengi kwamba Magufuli aliwakosea nini hadi washindwe kumzika? Kama nitakuwa nimekosea kusema hawakuwepo kumbe...
  16. D

    Rais Samia, Mzee Kinana mmemponza Bernard Membe!

    Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu...
  17. T

    Kinana ndiye aliye karibu zaidi na Urais. Je, ndiye namba 1 ajaye?

    Kila nikimtazama na kumtathmini Kanali Kinana namuona karibu zaidi na Urais kuliko mwanasiasa yeyote yule kwa sasa kwa sababu kuu zifuatazo: 1. Kinana ni mpatanishi kiasili na hata Neno la Mungu kwenye Biblia linasema 'Heri walio wapatanishi maana hao watairithi nchi". Kama Mwenyekiti wa kamati...
  18. M

    Ufisadi uliotamalaki tangia aingie madarakani

    ~ Tozo kandamizi. ~ Ufisadi uliotamalaki tangia aingie madarakani. ~ Maisha kupanda bei, leo hii kula mlo mara mbili ni anasa. Maana maharage tu ni Tsh. 3,000. ~ Kufutia mafisadi makosa huku wasio na urafiki nae wakisota gerezani ~ Ndege za waarabu kushusha makontena hifadhi za taifa.
  19. B

    Abdulrahman Kinana uso kwa uso na Balozi wa Marekani nchini

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na Kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani hapa Nchini Tanzania Mhe. Michael Battle, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo Machi 14, 2023. Wamejadili masuala...
  20. F

    Yuko wapi Kanali Comredi Kinana?

    Ni kipindi kirefu sana sijamuona, nafikiri mara ya mwisho kumuona ni kwenye kikao Cha kamati kuu kilichoteua sekretarieti mpya mwezi wa kwanza mpaka leo sijamuona wala kumsikia popote na sio kawaida yake. Yupo wapi mzee wetu? Mimi FPT natamani kumsikia kwenye majukwaa tena.
Back
Top Bottom