kinana

  1. L

    PreGE2025 Mizengo Pinda anaweza kumsaidia vyema Sana Rais Samia Umakamu Mwenyekiti

    Mizengo Pinda Ndugu zangu Watanzania, Baada ya Mheshimiwa Abdulahman Kinana kuomba kujiuzulu Umakamu Mwenyekiti wa CCM Taifa na Hatimaye kukubaliwa ombi lake na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM Taifa nimechekecha kwa haraka haraka sana mtu...
  2. Li ngunda ngali

    Nape, Makamba, Kinana, Wamasai, Chadema na hasira za kutemwa=FURAHA YA WAPIGAJI?

    Boss lady atambue, hana uwezo wa kupambana na hila za wafitini wakimwamlia. Kasi yake ya kuongeza u hasama inaendelea kushika kasi kwa mwendo kasi wa ajabu! Kasi yake ya kujiongezea maadui inatishia mno salama yake ki siasa. Nahofia hao hapo juu wakiungana kwa minajili ya kumdhoofisha ama...
  3. Valencia_UPV

    Tetesi: Joel Nanauka kumrithi Kinana CCM

    I. Tanzania One (TO), mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Joel Nanauka anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara). II. Hii ni kutokana na CV ya Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi, kuzingatia uwakilishi wa viongozi wakuu wa Chama na...
  4. R

    PreGE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

    Mimi nabashiri Msigwa:p:p:p:p PIA SOMA - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
  5. benzemah

    PreGE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

    Abdulrahman Kinana Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika. Katika majibu yake Mwenyekiti...
  6. B

    CCM inamhitaji Kinana kuliko Kinana anavyoihitaji CCM

    Kwanza ana uzoefu wa muda mrefu, ni Gwiji wa zile mbinu alizosema Mh Nape. Ameshika nafasi zifuatano ktk zile nyingi 1. Mwandamizi ktk Jeshi la JWTZ 2. Naibu Waziri wa Ulinzi 3. Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Kwenye chama amewahi kuwa 1. Memba Halmashauri kuu NEC 2...
  7. chiembe

    Katika siasa za Tanzania, Kinana hana deni, kamaliza yote kwa ufanisi mkubwa

    Nadhani katika wanasiasa wenye maksi zote katika siasa za Tanzania, ni mzee Kinana, kamaliza yote, na bila shaka CCM itamuandalia sherehe kubwa za kumuaga akienda kupumzika na wajukuu. Ni nguli wa kisiasa ambaye sijui ni nani ataandika hotuba ya kusherekea maisha yake katika utumishi wa umma...
  8. JanguKamaJangu

    Kinana akagua mradi ujenzi wa Gati la Bandari ya Ujiji Mkoani Kigoma, Septemba 1, 2022

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amepokea taarifa ya mradi wa ujenzi wa gati la Bandari ya Ujiji ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 38.5. Kinana amefanya ziara ya kutembelea bandari hiyo leo Septemba 1,2022 baada ya kuwasili mkoani...
  9. K

    DOKEZO Mzee Kinana abadilishwe kwa manufaa ya umma

    Mzee Kinana muda wake umepita. Raisi anatakiwa atafute makamu ambaye anaweza kufanya vitu kwa manufaa ya umma kwa ujumla wake na sio kwa CCM pekee. Kwa mwenendo wa sasa, watu wasioelewa wataona ni powa lakini tukiendelea hivi katiba itakuja kwa ulazima na uchungu sana. Kuna uwezekano kabisa...
  10. Erythrocyte

    Aliyemuelewa Mzee Kinana tafadhali atusaidie kufafanua ili na sisi tuelewe

    Ukisikia kukurupuka ndio huku sasa. Watu washashindwa sasa unafafanua kitu gani? ======= "Katika mzunguko wao (CHADEMA) hapa nchini wamekuwa na hoja zifuatazo, hoja ya kwanza (1) wamezungumzia juu ya Katiba, hoja yao ya pili (2) wamezungumza sana juu ya sheria ya uchaguzi, hoja yao ya tatu...
  11. B

    Tundu Lissu/Kinana wamuibua Chifu Mwaihojo, ataka somo la Muungano kuanzishwa

    Mbeya, Tanzania Tundu Lissu / Kinana wamuibua Chifu Mwaihojo, ataka somo la Muungano kuanzishwa https://m.youtube.com/watch?v=rsrEtEaFwGg Source : busokelo tv Mwanachama wa CCM Chifu Mwaihojo asema Tundu Lissu anahoja nzito lakini viongozi wa CCM wanajibu hoja za Muungano kisiasa bila majibu...
  12. K

    Kinana atoe majibu kuhusu clip hii akiwa Loliondo/Ngorongoro na Mfalme wa Dubai

    Wengi wanafahamu sekeseke la Loliondo Ngorongoro huku likipamba kasi baada ya Wamasai wote kuambiwa waondoke kinguvu. Clip ambatanishi hapo juu ni Makamu Mwenyekiti akiwa na ugeni mzito huko mbugani, swali je alikua akimpokea kama mgeni wake binafsi ama kwa niaba ya Samia?!! Kwa nini sio waziri...
  13. H

    PreGE2025 Kinana, Kama uchaguzi sio tume, basi wapinzani wapewe nafasi ya kuunda tume ya uchaguzi

    Tumemsikia Kinana akisema uchaguzi sio tume, na kwamba hoja ya wapinzani kulilia tume huru haina mashiko. Kama Kinana na CCM wanaamini hivyo, embu wajaribu kuwapa fursa wapinzani kipindi hiki waunde tume ya uchaguzi. Kama watakuwa tayari kwa hili tutaamini kauli ya Kinana kuwa uchaguzi sio...
  14. Komeo Lachuma

    Nashauri Uitishwe Mdahalo kati ya Lissu na Kinana. Mimi nitajiandikisha kuwa mwanachama kwa ambaye atashinda

    Hoja kwenye mdahalo ziwe 1. Muungano 2. Katiba Mpya 3. Nani kati ya Zanzibar au Tanganyika ananyonywa na mwenzake. CHADEMA wampeleke Lissu Tundu na CCM wampeleke Kinana awe pia na wasaidizi kadhaa ili kuweka sawa uwiano.
  15. Lord Denning

    Hongera Kinana kwa kumjibu Tundu Lissu ila kazi bado ipo

    Katika CCM ya sasa watu pekee ambao naweza kusema wana maarifa na uwezo wa kuweza kujibu hoja nzito za wapinzani na Watanzania ni Makamu Mwenyekiti wa chama Ndug. Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu Ndug. Emmanuel Nchimbi. Kitendo cha Kinana leo kutoka na kumjibu Lissu kimeonesha kuwa japo huyu...
  16. R

    Kwanini wanachama wa CCM wamewaacha viongozi wao akiwemo Kinana kushambuliwa mitandaoni bila kuwatetea?

    Mhe. Kinana anazungumza na waandishi wa habari Dodoma. Katika mambo aliyozungumza ni kudai tume itakuwa huru, kudai Rais ana nguvu kwenye kila tume ya uchaguzi Duniani na kudai Chadema wanamepewa uhuru siku chache na wanahubiri chuki. Katika haya yote hakuna linaloonekana kuungwa mkono X na...
  17. B

    PreGE2025 Tundu Lissu ni kiboko, wameshapitisha sheria sasa wanarudi kufafanua nini? Amemwibua Comrade Kinana!

    Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa. Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu masuala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz Uhuruz na Utawala bora, siasa na maendeleo. chawa wengi walijaribu Kujitutumua kumjibu ikashindikana...
  18. BARD AI

    PreGE2025 Kinana: Rais Samia wanayemsema ndio ameleta uhuru uliopo nchini sasa hivi, akisema kuanzia leo hakuna maandamano itakuwa nini?

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kinana anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali zilizoibuliwa na upinzania ambazo CCM wameziita ni za kibaguzi dhidi ya Muungano...
  19. Ojuolegbha

    Kinana kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Komred Abdulrahman Kinana kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma. #KaaKaribunaRuningayako #ChamaImara #KaziIendelee
  20. Msanii

    Mzee Kinana, kama mapato yameongezeka awamu hii, hawa DP World wanafanya nini nchini

    Nimetumia jina la DP World kujenga kichwa cha habari. Hivi juzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara amenukuliwa na media akibariki pambio inayotumiwa na chawa kwamba Awamu ya 6 imefanya mambo mengi ya mafanikio. Kikubwa alisema kuwa mapato ya serikali yameongezeka maradufu kuliko awamu zote...
Back
Top Bottom