Nimefuatilia huu mjadala, kweli kuna tatizo kwa jinsi tunavyochukulia matukio, jinsi tunavyochukulia matamshi. Kilichonishangaza ni badala ya wapinzani na mashabiki wao kuiona hatari iliyo mbele yao, jinsi hawa jamaa wa CCM walivyojipanga strategically na systematically kuwin the battle and mind set za target group lao, ambao ni wapiga kura, wao wanawabeza eti wameingia mkenge eti wanaitaja chadema tu, eti hawana hoja, shabash!kweli mwenye macho haambiwi tazama>
Makonda anapita akijitohoa kama msafisha barabara, amewin umati kwa kujifanya ni masiha, ni mashinegun, ni bulldoser linalopita kusafisha visiki vinavyoleta kero, na anafanya usanihi, maigizo kwa kung'oa baadhi ya mizizi palepale uwanjani, je kwa upeo hafifu na uwezo wa kutafakali wa wananchi wetu unafikiri amewin au ?? na anawataja wapinzani waziwazi kwamba kama wanataka beto waje uwanjani, anataka live beto, na hatujaona wapinzani wakihitikia wito, hiyo ni dalili ya kuufyata, kama ni mbwa kumute na kuingiza mkia ndani, tabia ya mbwa koko.
Nchimbi yeye ametoa angalizo kwamba kwa nini tupige maneno tu , na yeye amewaalika wapinzani waje kwenye battle field, wasiongelee vichochoroni? je hapo ameishiwa maneno, yeye kwa cheo chake hatakiwi kuongea sana kwani kuna mtu muhusika kamanda wao, mtu wa maneno na propaganda anafanya kazi at ground level na hata kama njia hiyo sio sahihi, ni njia ya utapeli kama wahubiri wa miujiza feki wengi hutumia weakness ya target audience kuwin their mind set of the target group.
Comrade, hii ni vita Muraa!!! watu wa musoma wanapenda kusema hivyo, in a battlefield the focus is on the end results" "Conversely in a midst of battlefield, what matter is not about fare fighting , it is about winning the battle no matter which methods/techniques you are going to use, you will apologize after winning", " For sure the end determine the means",
Hakika Mh Kinana kaona weakness ya mpinzania wake, kaitoa hewani ili waanze kuulizana maswali, kuulizana credibilities za kiongozi, viongozi wao kama bado wana haki ya kuendelea, hajakurupuka, wakati wakisuguana wao kwa wao, jamaa hawa wanaendelea kusonga mbele. Kumbuka kwenye msuguano akili haifikilii mambo makubwa , akili inafikilia kushindana kwenye msuguano huo. “Amejua kutumia good timing na content na responses zao na katumia opportunities na weakness za adui yao kuwin the battle.” Hivi ndivyo nilivyotamka, wenzenu wameshaanza kuyafanyia kazi, endeleeni kulala mtakuta mwana si wenu.
Comrades, husifikiri hawa jamaa wanatapatapa kwa kuitaja CHADEMA, hawa jamaa wamejipanga. Siku nyingine nitaelezea ni kwa jinsi gani CCM mama ya Mwl Julius Kambarage Nyerere ilivyokuwa strategic na focused for future, kutawala nchi for more than ten decades na kwa upinzani huu hakika wataweza labda wapinzani wabadilike na kuifanya siasa kisomi zaidi.
Hawa jamaa waliinvest kwenye vichwa (brain) akili na nilisema kwenye andiko lingine, hasa hasa akili za political propaganda, phychology na human manipulation, walipeleka wataalamu Russia, Scandinavia countries , Cuba, Canada just to mention a few, kwenye vyuo vikuu bora vya political sciences; walijua siasa bila fedha hutoboi, wakaliinvest kwenye vitega uchumi kila mkoa (viwanja vya mipira, ofisi za kupangisha, viwanja vya kupangisha, shule za wazazi za CCM, mpaka mabenki ila wakayapa majina tatanishi n.k), IN SHORT THEY MEANT BUSSINESS. Fuatilita akina Lowassa, huyuhuyu Kinana, Kina ngomabare Mwiru, akina Kasera bantu walisoma wapi advanced na graduate degree zao na focus kwenye masomo yepi?etc.
Kamanda narudia tena siasa ni strategic minds set- game; upinzani unatakiwa uwe na watu wenye high level ya intelligence na uzoefu wa manipulative strategies
Makonda anapita akijitohoa kama msafisha barabara, amewin umati kwa kujifanya ni masiha, ni mashinegun, ni bulldoser linalopita kusafisha visiki vinavyoleta kero, na anafanya usanihi, maigizo kwa kung'oa baadhi ya mizizi palepale uwanjani, je kwa upeo hafifu na uwezo wa kutafakali wa wananchi wetu unafikiri amewin au ?? na anawataja wapinzani waziwazi kwamba kama wanataka beto waje uwanjani, anataka live beto, na hatujaona wapinzani wakihitikia wito, hiyo ni dalili ya kuufyata, kama ni mbwa kumute na kuingiza mkia ndani, tabia ya mbwa koko.
Nchimbi yeye ametoa angalizo kwamba kwa nini tupige maneno tu , na yeye amewaalika wapinzani waje kwenye battle field, wasiongelee vichochoroni? je hapo ameishiwa maneno, yeye kwa cheo chake hatakiwi kuongea sana kwani kuna mtu muhusika kamanda wao, mtu wa maneno na propaganda anafanya kazi at ground level na hata kama njia hiyo sio sahihi, ni njia ya utapeli kama wahubiri wa miujiza feki wengi hutumia weakness ya target audience kuwin their mind set of the target group.
Comrade, hii ni vita Muraa!!! watu wa musoma wanapenda kusema hivyo, in a battlefield the focus is on the end results" "Conversely in a midst of battlefield, what matter is not about fare fighting , it is about winning the battle no matter which methods/techniques you are going to use, you will apologize after winning", " For sure the end determine the means",
Kinana alichofanya ni kama andiko langu lilivyosema“Politics is a strategic minds set- game; upinzani unatakiwa uwe na watu wenye high level ya intelligence na uzoefu wa manipulative strategies” liligusia kuwashauri vyama pinzani kujipanga strategically katika mfumo wao, katika timing na content za responses zao na katika kutumia opportunities na weakness za adui zao kuwin the battle. nilisema .
“Kutokuwepo kwa dira na strategies mbadala za kuboresha maisha ya wananchi in short and long term etc ni tatizo pia, kibaya short na long term strategies zilizotoolewa kwenye dira na zilizokuwa tailored kuaddress short and long term pertinent issues za potential audience ni shida kwelikweli.
Hakuna well planned, well-orchestrated counter-attack strategies zaidi yak u-attack a person or personality or appearance, they need to capitalize on making cases kujenga hoja, they need to learn how to strategically counter-attack the opposing issues with alternatives options.”
Hicho ndicho CCM wanakitumia, Mh Kinana hajakurupuka, amejua chama kinachojitanabaisha kama chama si tu cha Demokrasia bali na Maendeleo kwa jina lake na kwa maneno yao, hakiwezi kupewa Billioni 2.7 halafu kisitoe taarifa rasmi kwa wanachama na wapiga kura, kwa umma. Anajua wananchi na wanachama walifichwa, hawana taarifa ya ndani, hawaelezwi hizo hela zimeenda wapi kwa undani? Na inawezekana hata detailed Financial report ya mabiliioni hayo hazionyeshi mchanganuo mahususi na kuwa shared kwa wanachama.Hakika Mh Kinana kaona weakness ya mpinzania wake, kaitoa hewani ili waanze kuulizana maswali, kuulizana credibilities za kiongozi, viongozi wao kama bado wana haki ya kuendelea, hajakurupuka, wakati wakisuguana wao kwa wao, jamaa hawa wanaendelea kusonga mbele. Kumbuka kwenye msuguano akili haifikilii mambo makubwa , akili inafikilia kushindana kwenye msuguano huo. “Amejua kutumia good timing na content na responses zao na katumia opportunities na weakness za adui yao kuwin the battle.” Hivi ndivyo nilivyotamka, wenzenu wameshaanza kuyafanyia kazi, endeleeni kulala mtakuta mwana si wenu.