Kinana: Wasimamizi wa Uchaguzi watakuwa Waadilifu na Waaminifu mnataka nini tena?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Abdulrahman Kinana amesema Uchaguzi ujao utakuwa wa haki kwani wasimamizi watakuwa Waadilifu na Waaminifu.

"Bunge limekubali (Bunge la Tanzania) limesema wasimamizi wa uchaguzi watakuwa watumishi wa umma waandamizi. Mtu atateuliwa kwa sifa; sifa za uadilifu, uhodari wa kazi na uaminifu. Mnataka nini tena? Tume itapata fedha kutoka kwenye mfuko mkuu wa Serikali."-Abdulrahman Kinana

Nini maoni yako?
 
Huyu Kinana kauli ya CDF kuhusu uwepo wa viongozi wakimbizi ina muwashawasha.
 
Abdulrahman Kinana amesema Uchaguzi ujao utakuwa wa haki kwani wasimamizi watakuwa Waadilifu na Waaminifu.

"Bunge limekubali (Bunge la Tanzania) limesema wasimamizi wa uchaguzi watakuwa watumishi wa umma waandamizi. Mtu atateuliwa kwa sifa; sifa za uadilifu, uhodari wa kazi na uaminifu. Mnataka nini tena? Tume itapata fedha kutoka kwenye mfuko mkuu wa Serikali."-Abdulrahman Kinana

Nini maoni yako?
Tunataka kauli ya CDF ifanyiwe Kazi
 
eti eeeh
 
Usijsahau kufanya kazi kwa bidii somesha familia yk vzr vyngnevo utabwabwajatu hakuna atokuelewa
 
Hawa wasio Watanganyika ndio wanao haribu taifa hili,huyu mzee ana shutuma kibao za biashara kharamu ya pembe za ndovu.

Alafu Leo hii ndo anajifanya kutoa rai juu ya uadilifu,hili taifa Lina watu wapumbavu sana hasa uko CCM.
Nimemkumbuka na mh Lema alivyomjibu yule mtangazaji wa star tv aitwaye odemba kuhusu bunge la kina Tulia
 
Back
Top Bottom