rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 15,197
- 20,173
Ni yule aliyefunga goli jana katika mechi ya Tanzania na Burundi ana miaka 33
sawaSafi Sana Bwana Hersi. Umefanya jambo jema kuendelea usajili.
Kama huyu ana miaka 33 yule mzee Onyango atakuwa na 43Ni yule aliyefunga goli jana katika mechi ya Tanzania na Burundi ana miaka 33
Si mnasajili vijana halafu mnavunja mikatabaKama huyu ana miaka 33 yule mzee Onyango atakuwa na 43
Alisikika teja aliyechanganyikiwa jangwaniHuenda ni kweli mikia asilimia 80 ni std 3
Mmehairisha mechi kwa kisingizio mtagoma kupiga kura ila kipigo ni palepaleNdio kawaida yenu mikia hamna tofauti katika sekta ya uchafu na pacha wenu chadema, subirini November 7
Haieleweki wanadai wamemsajili kama mchezaji huru asiyekuwa na timuKwan usajili Bongo bado upo tu
Ndio kawaida yenu mikia hamna tofauti katika sekta ya uchafu na pacha wenu chadema, subirini November 7
Aisee kumbe ni cedric kaze ndio kashauri huyo asajiliweHuu ni upuuzi wa kutaka kuzigawa timu kusiasa.
Utopolo mnatafuta huruma kwa kujinasbisha na siasa!
Chezeni mpira acheni ujinga,vinginevyo mtateseka sana