kimataifa

  1. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Magufuli wa CCM anakiuka sheria ya maadili ya uchaguzi waziwazi. Naziomba jumuiya za kimataifa zimchukulie hatua kali sana

    Mimi ni muumini wa usawa kwenye uchaguzi. Tumeshuhudia huko duniani mamlaka zikiingia kwenye uchaguzi mkuu huku wakijitahidi kuweka usawa. Kwa Tanzania mwaka huu tumefeli na tunajichafua kwelikweli. Sasa basi, kabla taifa zima halijachafuliwa kutokana na huu upuuzi anaoleta mgombea aa CCM...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa ndugu Tundu Lissu

    Nimekua nikikusikia kwenye kampeni zako ukiongea maneno mengi sana ya kuwadanganya na kuwalaghai watanzania kwamba utawaletea mabadiriko na maneno yako kamwe hayawezi kuwa na vitendo. Sote tunajua kwamba kazi yako ya uwakili na uanasheria ndio iliyo kufunza kuongea maneno mengi ili usaidie...
  3. MWALLA

    JamiiForums Tanzania Mdahalo mkubwa Kimataifa wa Tundu Lissu na Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo

    TUNDU LISSU anafanya “mdahalo” na Rais wa Ghana kwa kidhugu DUA bringing over 28 influential political parties across the continent to engage on the future of Democracy and Socio Economic Growth. Ideological clarity and Policy is key in delivering a future for Africans
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Jumuiya za Kimataifa zinaingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania?

    Kumekuwa na mijadala kutoka kwa watu mbalimbali hata humu JF kuwa mataifa ya nje na Jumuiya za nje zinaingilia Uchaguzi wetu, wengine wamefikia hatua ya kusema kuwa kuna baadhi ya wagombea wametumwa na ‘mabeberu’ kwa makubaliano fulani. Kama kweli, Je, Jumuiya za kimataifa kama UN, EU, na...
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Rais Magufuli katika Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa

    Raisi Magufuli awashangaa wanaodhani kujenga diplomasia ya mahusiano ya kimataifa ni kufanya safari za kwenda ulaya!! Raisi Magufuli atema cheche asema asema ana mialiko ila hataenda atatuma balozi yeye anajenga nchi Ninakubaliana naye Uingereza na Marekani wana mahusiano mazuri sana na nchi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yaendelea kujihisi upweke katika jukwaa la jumuiya ya kimataifa

    Hivi majuzi, Umoja wa Mataifa umepitisha azimio moja kuhusu maambukizi ya virusi vya Corona kwa kura 169 za ndiyo dhidi ya kura 2 za hapana. Marekani na Israel zimekuwa nchi pekee zilizopiga kura za hapana. Marekani inatia mashaka kuhusu kama Shirika la Afya Duniani WHO linatoa mchango katika...
  7. Sami Omary Khamis

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Rais Magufuli katika uhusiano wa Mataifa

    Na Debora C. Kiyuga ✍🏽 Miaka Mitano ya Magufuli Serikali imeimarisha uhusiano na ushirikiano na Mataifa ya nje pamoja na taasisi za kimataifa. Hii ndiyo sababu Serikali iliweza kupokea viongozi wa Nchi na Taasisi mbalimbali za kimataifa, ikiwemo Vietnam, India, Uturuki, Afrika Kusini, DRC...
  8. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa - maudhui ya filamu "wavamizi" ya Kenya yakubalika kimataifa

    Hivi hivi tunakwenda, tunawakilisha. ======= Former Tahidi High actress Shirleen Wangari alias Shish Kenyan movie concept Wavamizi received international recognition after being listed in the 2020 Durban Film Mart (DFM) for funding. Wavamizi translates to Invaders in English and tells the...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi aihakikishia Uingereza na jumuiya ya kimataifa uchaguzi huru, haki

    4 September 2020 Video source : millard ayo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeihakikishia Uingereza pamoja na Jumuiya ya Kimataifa kuwa uchaguzi mkuu unaotegemewa kufanyika mwezi Oktoba mwaka 2020 utafanyika kwa...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aliyewadanganya Yanga SC kuwa mwaka huu nao Watashiriki 'Kimataifa' kisha 'Wakasajili' Wachezaji watakaosumbuana nao 'Kimalipo' atawaomba Radhi lini?

    Halafu tukiwa tunawasema hapa hapa kuwa Yanga SC kuna 'matatizo' makubwa hasa kupitia Viongozi wake na Wafadhili huwa mnadhani GENTAMYCINE kwakuwa ni Simba SC basi nakuwa nawaonea na Kuwaandama wakati kumbe nyuma ya Pazia mngekuwa mnapokea tu 'Ushauri' wangu leo mngefaidika nao na hata kuwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katika wagombea Urais, Tundu Lissu ndiye mwenye uwezo, historia na haiba ya kupaisha heshima ya Tanzania katika diplomasia na ushirikiano wa kimataifa

    Ni jambo la wazi kabisa kwamba heshima ya Tanzania kimataifa imepotea ktk kipindi hiki cha awamu ya 5. Rais wa Nchi ndiye mwanadiplomasia nambari one wa nchi yake, na ktk hili tuwe wakweli kwamba tumepungukiwa. Tatizo la kwanza liko ktk uwakalilishi. Rais wetu amekuwa hahudhurii vikao muhimu...
  12. Mfalme wa Genge

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Hali ya uchumi wa kati wa Tanzania na rekodi saba za kimataifa zilizowekwa chini ya uongozi wa Rais Magufuli

    ~Na David KAFULILA. email: davidkafulila0@gmail.com 02 Septemba 2020. Julai 1, 2020, ni tarehe itakayokumbukwa katika historia ya Tanzania. Ilikuwa tarehe ya kwanza ya utekelezaji wa Bajeti ya mwisho ya Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Utawala wa Rais JOHN MAGUFULI; na muhimu zaidi, ni siku...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Rafiki wa kukupa fursa za kimataifa

    Urafiki wowote lazima uwe na faida au tija, hakuna urafiki mzuri kama wa kupeana fursa, kusaidiana penye changamoto n.k marafiki wa stori stori au maneno maneno sio wa kuaminika, ndio waliowengi wana 'element' za kiunafiki. Leo wako na wewe, kesho wanageuka kuwa adui. Ni vizuri kujiwekea...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kimbari: Rwanda yatoa waranti wa kimataifa wa kukamatwa kwa Mkuu wa zamani wa idara ya ujasusi wa jeshi la Rwanda

    Aloys Ntiwiragabo, Mkuu wa zamani wa idara ya ujasusi wa jeshi nchini Rwanda wakati wa mauaji ya kimbari ya 1994 anatafutwa ili kujibu mashitaka yanayomkabili, baada ya Rwanda kutoa waranti wa kimataifa wa kukamatwa dhidi yake Jumanne Agosti 25. Aloys...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, na sisi "tutamuiga" rafiki ambaye "tumemuweka" madarakani na bado tunaendelea "kumpigania" kimataifa?

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesaini Sheria mpya ambayo inazuia wanafunzi wa kike wanaopata mimba kufukuzwa kwenye shule za Serikali “haitakiwi kuwafukuza Mabinti shule kisa wamepata mimba, waachwe wasome, kupitia Sheria hii ni marufuku pia kuwapa adhabu kali wanafunzi” Millard Ayo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Pale Amsterdam Lawyers watakaposhawishi jumuiya za Kimataifa kufanya uchunguzi wa kupotea Ben Saanane, Azory, Kanguye, kupigwa risasi Lissu na MKIRU

    Kama kuna watu wanaojidai ni "wasiojulikana" wakae mkao wa kula. Kama wanadhani dunia imesahau haya matukio basi wakae wakijua kuwa muda wowote kinaweza kunuka juu yao. Dunia imeducument vizuri hayo matukio, ni bora waachane na michezo hiyo ya uonevu kwa sababu kadri watakavyoendelea kuyafanya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Umati mikutano ya wadhamini wa Tundu Lissu inaitangaza Tanzania kimataifa, watalii njooni Tanzania hakuna corona

    Tangu aanze kuzunguka kutafuta wadhamini Tundu Lissu amekuwa akipokewa na umati mkubwa sana wa watu tena hawajavaa hata mabarakoa. Vyombo vya habari vya nje mnaofuatilia harakati za Tundu Lissu kusaka Urais wasiishie tu kutaka kumhoji Lissu bali pia watende haki kwa kuutangazia ulimwengu kwamba...
  18. Omusolopogasi

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapaa tena kimataifa

    Wana-JF, Nimeangalia Al-jazeera kipindi kifupi kilichopita. Nchi yetu imepaa tena kwa taarifa za kuzuia uhuru wa vyombo vya habari. Safari hii ni habari za kuvibana vyombo vya nje ya Tanzania:
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Rais anasema hatutashitakiwa, kwa mwaka 2020 pekee makampuni matatu yametushitaki kwenye mahakama za kimataifa

    Akiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa. "Si walisema hatutashtakiwa? Oooh Lissu alisema tutashtakiwa...mbona sasa hatujashtakiwa? Niwaambieni...
  20. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

    Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene ====== Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje? Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
Back
Top Bottom