kimataifa

  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Karia ajichanganya kuelekea mechi za kimataifa za Simba na Yanga

    "Mawaziri tutaongoza Watanzania, tutakuwepo kiwanjani na siku hiyo mimi na Waziri tutavaa jezi za hiyo timu inayocheza siku hiyo, kama ni Simba tutavaa Simba kama ni Yanga tutavaa Simba."
  2. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Tanzania tutacheza mechi za kimataifa ratiba hii

    Ndg Wacheji wetu walau wataoenekani duniani
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC)

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) akichukua nafasi ya Ephraim Mafuru ambaye siku tatu zilizopita aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB). Kabla ya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Barrick yafungua chuo cha kimataifa barrick academy katika mgodi wa buzwagi uliofungwa

    Waziri wa Madini, Mhe. Antony Mavunde, ameipongeza Kampuni ya Dhahabu ya Barrick ambayo inaendesha shughuli zake nchini kwa ubia na Serikali kupitia kampuni ya Twiga Minerals, kwa kufanya uwekezaji unaoendelea kuchangia kukuza uchumi na kufanikisha miradi ya kijamii ambayo inaendelea koboresha...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tukimpa Rais Samia jukumu la kuwa mtalii namba Moja wa Taifa, tutakuza utalii wa kimataifa Kwa kiwango Cha juu. Tuwatumie mabalozi wamsaidie

    Hongera na pongezi nyingi ziende Kwa Rais wa nchi yetu Mhe.Samia Suluhu Kwa kukubali kutangaza utalii kupitia filamu ya "THE ROYAL TOUR". Mengi ya kukatisha tamaa yalisemwa kabla ya matokeo ya filamu hiyo kuanza kuonekana lakini Sasa kinachosemwa ni ushindi na mafanikio. Kulingana na takwimu...
  6. Heparin

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yashinda Shauri la Usuluhishi katika Baraza la Kimataifa la Biashara (ICC)

    Tarehe 06 Machi, 2024, Baraza la Kimataifa la Biashara (International Chamber of Commerce-ICC) limetoa uamuzi wake na kuipa Serikali ushindi katika Shauri la Usuluhishi Na. 2682/AZO baina ya Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (Petroleum Bulk Procurement Agency-PBPA) na Mwanasheria Mkuu wa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Happy Women's Day: Una ujumbe gani kwa wanawake leo Siku ya Wanawake Duniani?

    Wakuu mpo salama? Siku ya Kimataifa ya Wanawake tarehe 8 Machi, ni muhimu katika kutambua jitihada, harakati na mchango wa Wanawake Duniani kote Tunasherekea mafanikio ya Wanawake katika nyanja mbalimbali za Maisha kama vile mafanikio binafsi, kihistoria, kiuchumi, kisayansi, kisiasa na...
  8. meningitis

    JamiiForums Tanzania Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

    Habari za Kazi wana JamiiForums, Katika thread hii nategemea tutaangazia ziara mbalimbali(Za nje ya nchi) za Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan na manufaa kwa taifa. Leo tarehe 11 April 2021 Mhe Samia anafanya ziara yake ya kwanza nje ya Tanzania na ziara hii...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Ubaguzi na Unyanyapaa

    Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Ubaguzi na Unyanyapaa ni tukio linaloadhimishwa kila mwaka tarehe 1 Machi. Lengo la siku hii ni kuhamasisha uelewa na kuchukua hatua dhidi ya ubaguzi na unyanyapaa katika jamii. Inalenga kuelimisha umma kuhusu madhara ya ubaguzi na unyanyapaa kwa watu na makundi...
  10. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hoja ya Kikwete ni ya ovyo; ana majukumu ya kimataifa

    Ukimtegemea Kikwete akae Msoga wewe utakuwa humjui Kikwete After retiring from distinguished public service career, both in the Tanzanian government and subsequently in international and regional organizations,, President Kikwete has dedicated himself to advancing progressive policies for...
  11. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Mwanariadha wa Kimataifa Magdalena Shauri Kushiriki “Tokyo Marathon 2024” mwezi Machi

    Mwanariadha wa Kimataifa na mwenye rekodi ya Taifa kwa mbio ndefu, kutoka Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Magdalena Crispine Shauri anatarajia kushiriki na kushindana kwenye mbio za TOKYO MARATHON 2024 yanayotarajia kufanyika Jumapili tarehe 03:03:2024 huko Tokyo Japan. Kwenye mbio hizo...
  12. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kila nikiona Yanga inacheza Match ya kimataifa hua inanikumbusha Fainali ya UEFA Msimu wa 2007/2008

    Ile Fainali ilikua Kati ya Manchester United vs Chelsea. Nakumbuka Fergie aliwaambia Wachezaji wake kua Nenden mkijua kua katika Fainali hii nyie ndio Mnachukiwa zaidi. Katika Fainali hiii nyie ndio mnaombewa kufungwa na watu wengi Dunian kote,Maana mmetawala sana kuanzia kwenye Ligi hadi...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mufti afungua rasmi dua kubwa ya kimataifa

    Hatimaye siku adhimu na tukio muhimu, nyeti na lenye kupendeza kwa Allah na mtume wake, Muda wa kuanza dua kubwa umewadia. Samaha Mufti wa Tanzania, Mujaddidul Asri, amefungua Dua Kubwa ya Kimataifa leo Alhamisi Alfajiri kwenye msikiti mkuu Bakwata makao makuu, msikiti wa Mfalme Mohammed...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge ya nishati na madini yatembelea mgodi wa Barrick North Mara, yavutiwa kwa kuendeshwa kwa viwango vya kimataifa

    Meneja wa Barrick nchini Tanzania, Melkiory Ngido (katikati) akitoa ufafanuzi katika kikao na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ilipotembelea mgodi wa Barrick North Mara ,(kushoto) ni Meneja wa mgodi wa North Mara, Apolinary Lyambiko,(kulia) ni Meneja wa Mahusiano ya Jamii wa mgodi...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama: Unajua kuzungumza Lugha Mama yako? Watoto wako je?

    Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama husherehekewa kila mwaka tarehe 21 Februari. Ni siku iliyotambuliwa na Umoja wa Mataifa kukuza utofauti wa lugha na tamaduni na kuhamasisha ufahamu wa urithi wa lugha na tamaduni ulimwenguni kote. Siku hiyo inakumbuka Maandamano ya Lugha ya Kibengali ya mwaka...
  16. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa katibu mkuu wa CWT ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa, education international yatoa tamko

    Inawezekana wengi hawana habari ya kinachoendelea chama cha walimu, ila kwa habari zilizotufikia ni kwamba mgogoro unaoendelea ndani ya chama cha walimu umechukua sura nyingine mara baada ya katibu mkuu wa CWT kukamatwa hapo jana 16 Februari 2024. Punde tu baada ya kukamatwa shirika la kimataifa...
  17. Smt016

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga kwanini mnapenda sana kucheza mechi zenu za kimataifa usiku?

    Nimejaribu kuangalia ratiba ya mechi ya Yanga dhidi ya Belouizdad, nimeshangaa kuona mechi inapigwa saa moja usiku. Hivi kweli mnataka kushinda mechi halafu mnawawekea mazingira rafiki mpinzani wako? Mamelod ni timu kubwa zaidi ya Yanga lakini huwezi kuona wanawachezesha waarabu usiku, bali...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumepoteza uelekeo wetu kimataifa, nani awajibike?

    Je, tunapaswa kupoteza rasilimalifedha na muda kumuenzi Nyerere kama tumemgeuka Mzee wa watu kwa kiasi hiki? Hebu msikilize huyu Mama. https://youtu.be/NoD_0Wnehtk?si=rLQ4PzkpZO8fR0-k
  19. G

    JamiiForums Tanzania Waafrika tunashindana wenyewe, tunaogopa maendeleo ya mwafrika mwengine, tunaridhika tukiwa juu ya mwafrika mwenzetu bila ari ya kushindana kimataifa.

    Ubinafsi umekuwa ni tatizo kubwa sana kwetu Africa kuzidi umoja wa uafrika wetu hasa katika Loyalty ya ukabila / ukoo / mru binafsi, Mwafrika yupo tayari kumnyima nafasi mwafrika mwenye uwezo kwa sababu za ubinafsi aidha hayupo kwenye kabila / ukoo wake, anahofia akimpa atamzidi maendeleo...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata kazi za remote katika mashirika ya kimataifa yaliyo nje

    Leo ningependa kuzungumzia namna kijana yoyote wa Kitanzania ambae una utaalamu na/au ujuzi katika eneo fulani unavyoweza kupata kazi katika mashirika na makampuni ya kimataifa yaliyopo popote duniani na kuweza kufanya kazi remotely ukiwa hapa hapa nchini. Kwa mfano mimi nafanya kazi katika...
Back
Top Bottom