kimataifa

  1. 4

    JamiiForums Tanzania Kwako Ndugu Rais , ombi ,DC wa kimataifa awe kwenye baraza la Mawaziri

    Hili ni andiko fupi kwa Ndugu Rais , ila ukuu wenu kama member wa jf umezingatiwa . Ndugu Rais yupo mkuu wa wilaya mmoja hapa tz , ( mkuu wa wilaya wa Kimataifa ) binafsi siko ndani ya Wilaya yake, na hatujuani , ila nalazimika kukuomba katika mikeka yako awepo katika baraza la mawaziri ...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini waliotuletea mahindi wao hawali ugali?

    Ugali ni chakula cha kushangaza ambacho hupendwa sana na watu wengi Africa Mashariki, kati na magharibi. Tatizo la ugali ni kwamba hauna ladha, hauliki wenyewe bila chakula cha ziada. Wazungu waliotuletea mahindi Africa karne ya 17 wao hawali ugali, wachache wanaokula wameendelea kula mahindi...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Kufunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa 2024

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuyafunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa 2024 yanayofanyika viwanja vya Sabasaba, Temeke, jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya Sabasaba yalifunguliwa tarehe: 03 Julai 2024 na Rais wa Jamhuri...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Upinzani nchini umegonga mwamba dhidi ya nguvu na ushawish wa kisiasa wa DR.Samia Suluhu Hassan KWA wananchi, mijini na vijijini kitaifa na kimataifa.

    upinzani nchini umeshindwa kabisa kutikisa nguvu, umaarufu na ushawishi wa Dr Samia Suluhu Hassan kwa wanainchi mijini, vijijini, kitaifa na kimataifa.. kiufupi ameshindika kwa hoja, sera, mipango, maono, nia, uthubutu, hekima, uaminifu, matarajio ya wanainchi kwake n.k hali hii imewapunguza...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Afrika haiwezi kupata maendeleo kama itaendelea kuwa chini ya udhibiti wa mfumo wa kimataifa

    Kwa muda mrefu sasa suala la maendeleo ya nchi za Afrika limekuwa ni mjadala kwenye majukwaa mengi ya kiuchumi na kisiasa duniani. Licha ya juhudi zinazofanywa na nchi za Afrika, hatua za maendeleo zimekuwa ni polepole sana ikilinganishwa na sehemu nyingine duniani. Kuna wanaosema hali hii...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika

    Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila Mwaka ifikapo Juni 16 kuwakumbuka Watoto waliouawa na Serikali ya Kibaguzi huko Soweto Mwaka 1976 wakiwa katika Maandamano ya kudai Haki zao ikiwemo Haki ya kupata Elimu na kufundishwa kwa kutumia Lugha zao Asilia
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu toa ushauri kusaidia Nchi ishinde kesi kimataifa na kufufua shirika la ndege

    Salaam, Shalom! Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini, Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini, Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za kutosha zilizonunuliwa Kwa Kodi zetu, ndege hizo mara kadhaa zimedaiwa kukamatwa kisa kuvunja baadhi ya...
  8. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa siasa za kimataifa mtusaidie

    Wakuu Heshima mbele. Marekani imewawekea vikwazo maafisa watano wa Uganda, akiwemo Spika wa Bunge la nchi hiyo, Anita Among, mumewe na Naibu Mkuu wa zamani wa Majeshi ya Ulinzi kutoingia nchini humo kwa tuhuma za ufisadi na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu. Katika taarifa ya Wizara ya Mambo...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mei 31: Siku ya Kimataifa ya kuzuia Matumizi ya Tumbaku

    Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Matumizi ya Tumbaku huadhimishwa kila mwaka tarehe 31 Mei. Siku hii ina lengo la kuongeza uelewa kuhusu madhara ya kiafya, kijamii, na kiuchumi yanayosababishwa na matumizi ya tumbaku.
  10. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

    Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu. Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima? Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie. Na mimi namuunga mkono kwenye hili. Tundu asije tufanyia...
  11. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tubadilishe fikra zetu, na tuzalishe wataalamu wenye kuweza kupambana kimataifa kupitia bunifu zao za Kiteknolojia kwa ajili ya kukuza Uchumi wetu

    ''Fikira au Fikra (kutoka neno la Kiarabu) ni ujumbe uliotumwa kutoka akilini kwa ajili ya viumbe hai ili kujua kutenda jambo bila kukosea. Fikra husaidia na maamuzi: wanyama(mfano mifugo n.k) mara nyingi huishi bila ya kufikiri, yaani kujua nini kesho atafanya, lakini wanadamu hutumia fikra na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi wa weledi na maadili ya Uandishi wa Habari, je Al Jazeera ni Chambo cha Habari cha Kimataifa kinachokidhi vigezo?

    Gęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) yaagiza Israel kukomesha mara moja ushambuliaji wa kijeshi huko Rafah

    Wanaukumbi. Kwa Upendeleo: 13 Dhidi ya: 2 Mahakama ya kimataifa ya uhalifu pia ilitoa kauli zifuatazo: ✅ Mahakama inabainisha kuwa hali ya kibinadamu huko Rafah ni janga baada ya wiki za mashambulizi ya mabomu. ✅ Mahakama inakumbuka kwamba hali ya maisha ya wakazi wa Ukanda wa Gaza imezorota...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya kimataifa ya uhalifu (ICC)

    Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) ni mahakama ya mwisho ambayo iliundwa kuchunguza na kuwashtaki watu wanaotuhumiwa kwa mauaji ya kimbari, uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu. ICC ilianzishwa na Mkataba wa Roma wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai mwaka 1998, na ilianza vikao Julai...
  15. I

    JamiiForums Tanzania SoC04 Taifa lina kipi cha kutoa katika majukwaa ya kimataifa na umiliki wa Mali asilia iwe kiteknolojia, kisiasa na kideolojia

    Kwa asilimia kubwa Sana taifa limekua liki tafuta na kuwepo katika jukwa la kimataifa kuzungumzia utajiri hasiria ambao Umekua kua ukichangia Sana katika pato la taifa pamoja na watu binafsi. Uwepo wa utajiri huo Bado ahutoshi kua kitambulisho cha taifa leo hii uki uliza watu waliopo Nje ya nchi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewasili salama nchini Ufaransa kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia

    Ndugu zangu Watanzania, Tunamshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Fadhili kwa kumsafirisha na kumfikisha Salama Nchini Ufaransa Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano wa Kimataifa Kujadili Nishati Safi utakaofanyika Ufaransa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa mara nyingine tena Dunia imempatia heshima ya kipekee kabisa na ya hadhi ya juu kabisa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa...
  18. Ileje

    JamiiForums Tanzania Azam inatakiwa ihamie Zanzibar ili ipate mataji na nafasi za kucheza kimataifa

    Azam inaonekana timu kubwa katika makaratasi lakini ukweli ni timu ndogo kutokana na viongozi waliopo na hata wajao. Kuendelea kubaki kucheza mechi za ligi zinazoandaliwa na TFF kutaimaliza kabisa Azam. Hivyo ni vema ikahamia Zanzibar ambako itapata ufuasi mkubwa na kuna timu nyoronyoro ambazo...
  19. mkalamo

    JamiiForums Tanzania Kapteni Sunita Williams na Butch Wilmore waelekea kwenye kituo cha Kimataifa cha Anga(ISS)

    Mwanaanga mwenye asili ya India, Kapteni Sunita Williams na mwenzake mzoefu wa NASA, Butch Wilmore, wako tayari kuruka kuingia kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga (ISS) kwa spacecraft mpya kabisa, Boeing Starliner siku ya Jumatatu. Waili hao watatua angani kutoka Kituo cha Nguvu cha Anga cha...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya wale Wagonjwa wenzangu wa Ugonjwa wa Kitajiri wa Pumu (Asthma) leo ni Siku yetu ya Kimataifa

    Zifuatazo ni faida chache walizonazo Wagonjwa wote wa Pumu ( Asthma ) duniani 1. Wengi wao huwa ni Werevu sana 2. Wataugua Magonjwa yote ila kamwe hawatapa UKIMWI ( Dally Kimoko ) 3. 99% huwa au huja kuwa Matajiri sana kwani Kiasili huu ni Ugonjwa wa Kitajiri na Matajiri 4. Katika Mapenzi...
Back
Top Bottom