Mwanariadha wa Kimataifa Magdalena Shauri Kushiriki “Tokyo Marathon 2024” mwezi Machi

Melubo Letema

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
310
288
Mwanariadha wa Kimataifa na mwenye rekodi ya Taifa kwa mbio ndefu, kutoka Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Magdalena Crispine Shauri anatarajia kushiriki na kushindana kwenye mbio za TOKYO MARATHON 2024 yanayotarajia kufanyika Jumapili tarehe 03:03:2024 huko Tokyo Japan.

Kwenye mbio hizo atatoana jasho na wanariadha wa kimataifa kutoka Kenya na Ethiopia,

Pia ikumbukwe Magdalena ndiye mwanariadha pekee wa kike wa Tanzania anaeshikilia Rekodi ya Taifa kwa mbio ndefu (Marathon) 42K kwa muda wa 2:18:41 aliyoipata huko Berlin Ujerumani mwaka na medali ya Shaba kwa kuwa mshindi wa Tatu.

6d9f25d6-5856-4313-baa4-8d7184447d79.jpeg
 
Akajitahidi, maana wakenya wamevurugwa na kifo cha Kiptum na walikuwa wanamtegemea akavunje rekodi ya dunia, waliosalia wanaweza wakakimbia kama vichaa kumuenzi kiptum
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom