kilimo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli hausemwi. Kilimo cha Parachichi ni kigumu sana na pesa yake ni ndogo

    Nimefanya kilimo cha parachichi kwa miaka nane sasa, nilichokiona ni haya; 1. Kilimo kina mzunguko wake ni mdogo parachichi huzaa kidogo kidogo kadri miaka inavyoenda, unatumia million 10 unapata million mbili...
  2. Jiger

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kilimo kiinue uchumi Tanzania

    Uchumi wa nchi yetu utegemee zaidi kilimo kwa kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa Tanzania basi sekta hii ipewe bajeti nzuri kwa ajili ya wakulima (mikopo) na kupunguza garama za pembejeo mfano mbolea za viwandani, viuwa tilifu, mashine za shambani pamoja na kupunguza garama za uwekaji mazao kwenye...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kuendelea kunufaika na karafuu ya Morogoro, wakatazwa isiuzwe kwa ushindani, Waziri wa Kilimo, viwanda SMZ yuko Morogoro leo

    Juhudi za Mkoa wa Morogoro kuwakwamua wakulima wa karafuu kupata mnunuzi mwenye bei nzuri zimegonga mwamba baada ya kulazimishwa kuwa lazima karafuu inayozalishwa Morogoro basi iuzwe kwa SMZ ili wao wauze nje kwa bei kubwa zaidi. Kwa wasiojua, Morogoro vijijini wanazalisha karafuu nyingi kuliko...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kilimo

    Nilikuwa nasoma bajeti ya elimu. Nimeona mambo mazuri ya vyuo vya ufundi vya cheti, astashahada, stashahada na shahada, na kuona kila wilaya inatarajiwa kuwa na chuo cha veta na vinginevyo. Najua ni jambo jema. Lakini havyo vyote na vya kujiajiri na wanahitaji kula. Ninachojiuliza kwanini...
  5. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Sido iwe kichochezi katika kilimo cha kisasa hapa nchini

    Mapinduzi ya viwanda yalileta mwamko mkubwa sana katika mataifa ya magharibi katika uzalishaji mali na kuudondosha mfumo wa “utumwa” baada ya kutengeneza zana bora za kiutendaji ambazo zilianza kufanya kazi zilizokuwa zikifanywa na watumwa pamoja na wanyama na zikaja kuwapiku kwa kuongeza...
  6. Jiger

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji kwenye kilimo Tanzania

    Kilimo ni sekta muhimu yenye kuleta mapinduzi makubwa kwenye nchi yetu mapinduzi hayo kama VIWANDA, BIASHARA ZA NDANI NA NJEE, ELIMU BORA, UJUZI, NA AFYA KWA JAMII. Uwajibikaji ungekuwa kama ifuatavyo elimu ya kilimo ingeanza kufundishwa kuanzia shule za msingi na sekondari na ingekuwa lazima...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo walia na umasikini mikoa inayoongoza kwa kilimo

    CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kitaendelea kushawishi sera mbadala za kuondoa watu kwenye umasikini ikiwemo ya Hifadhi ya Jamii kwa wote itakayohakikisha kunakuwa na Bima ya Afya kwa wote. Chama hicho kimesema haikubaliki kuwa asilimia 61 ya watu masikini nchini Tanzania wapo mikoa ya...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada Kutoka kwa wakazi wa Kifanya kuhusu kilimo cha Ndizi

    Mimi ni ngeni ktk kata ya Kifanya, nilibahatika kupata mashamba ya miti na baadae kuongeza ya parachichi. Eneo nililoongeza lipo kijiji cha mikongo njia ya kuelekea songea. Altitude yake ni m800 mpaka m1200. Je eneo hilo ndizi zitafanya vizuri? nimeona mashamba ya ndizi za moro zile fupi...
  9. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Kenya tena: Waziri wa Kilimo tulikuonya mapema kuruhusu Wakenya kuingia mpaka mashambani kununua mazao hukusikia. Huu ni mwanzo tu!

    Wafanyabiashara wa kitanzania wanaosafirisha mahindi kuingia nchini Kenya wameandamana kwenye mpaka wa Holili kufuatia kuzuiliwa kuingiza shehena za mahindi na Kenya. Msururu wa maloli umekwama mpakani hapo kufuatia mamlaka za Kenya kuweka kigingi na kuzuia mamia ya maroli hayo kuingia nchini...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bilioni 18.4 SUA Kujenga Chuo cha Kilimo Mkoa wa Katavi, Mpimbwe

    SHILINGI BILIONI 18.4 SUA KUJENGA CHUO CHA KILIMO KATAVI HALMASHAURI YA MPIMBWE Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi Mhe. Martha Festo Mariki ameuliza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Maswali yaliyojibiwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na...
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Kilimo ya Agro - Meru imetangaza nafasi za kazi

    M/S Meru Agro-Tours & Consultants Co. Ltd (MATCC) is a local private company based in Arusha that specialized in Agricultural inputs business. The company deals with multiplication and distribution of agro seeds; importation and distribution of agrochemicals and provision of technical advisory...
  12. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Mikoa inayoongoza kwa kilimo cha Bangi Tanzania🍁

    Bangi ni zao ambalo limepigwa marufuku hapa nchini kulimwa japo baadhi ya nchi zao hili ni "tukufu". Bangi ndio zao linalolipa zaidi dunia kutokana na kua na soko la uhakika na bei yake sio fluctuate kama mazao mengine. Hii hapa Mikoa inayolima Bangi hapa nchini kwa matumizi ya ndani na nje...
  13. brokenagges

    JamiiForums Tanzania Pongezi Wizara ya kilimo

    Pongezi kwa Serikali ya Samia kwenye Sekta ya Kilimo. Kupitia serikali hii ya Rais Samia jitihada nyingi sana zinafanyika katika kufanya mapinduzi ya Kilimo nchini ili ile slogan tunayotembea nayo siku nyingi “Kilimo ni uti wa mgongo wa Mtanzania,” iwe na uhalisia. Wengi tumeliona hili...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya mapato na matumiziya fedha ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/2024

    Hotuba ya Waziri wa Kilimo, Hussein Mohamed Bashe (mb), kuhusu makadirio ya mapato na matumiziya fedha ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/2024
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Condester Sichalwe aishauri Wizara ya Kilimo kufungua dirisha ili Wakulima wapate Pembejeo mapema

    MBUNGE CONDESTER SICHALWE AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUFUNGUA DIRISHA ILI KUPATA PEMBEJEO ZA KILIMO MAPEMA Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo ambalo lilijibiwa na Naibu Waziri...
  16. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo awamu ya kwanza, Mzee Herman Kirigini afariki dunia

    Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mjumbe wa Baraza la mwisho la Mawaziri la mwl. Julius k. Nyerere mhe. Herman Kirigini afariki dunia nyumbani kwake Musoma. ---- ALIYEKUWA mbunge wa zamani wa jimbo la Musoma vijijini na Waziri wa Kilimo na Mifugo Herman Kirigini amefariki dunia...
  17. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji katika nyanja ya kilimo

    Kilimo ni sekta ambayo kwa asilimia kubwa inachangia katika Pato la taifa ambapo inahusisha mazao ya chakula na mazao ya biashara,na asilimia kubwa ya Watanzania wanategemea kuendesha maisha yao kutokana na sekta ya kilimo. Tufanyeje Ili kuongeza uwajibikaji katika sekta ya kilimo Kuwasaidia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ukodishaji wa mashamba kwaajili ya kilimo Dakawa na bei zake

    Wakuu tafadhali Kama kuna mtu anajua mashamba ya kukodi kwaajili ya kilimo mwaka huu maeneo Dakawa naomba kujuzwa @whats app no 0629931610 Kama unajua kuhusu au unakodisha tafadhali wasiliana na mim kwa namba hiyo juu
  19. kimpe

    JamiiForums Tanzania Hii jeuri Mkurugenzi wa Kilimo Uyole anaipata wapi?

    Jana niliona kwenye mitandao ya kijamii wananchi wakilalamika kuchukuliwa eneo lao na Taasisi ya Kilimo Uyole. nilipofuatilia hili suala ni kwamba lilishafanyiwa maamuzi miaka mitatu iliyopita na waziri wa Ardhi wa kipindi hicho Mh Lukuvi kwa kuwarudishia wananchi hekari zao 67 ambazo kilimo...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Abdallah Ulega amewahimiza Mawaziri EAC Uwekezaji Mifugo, Uvuvi & Kilimo

    WAZIRI MHE. ABDALLAH ULEGA AHIMIZA UWEKEZAJI MIFUGO, UVUVI & KILIMO Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amewahimiza Mawaziri Wenzake wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanaosimamia Kilimo, Chakula, Uvuvi na Ukuzaji Viumbe Maji kushirikiana na Sekta Binafsi...
Back
Top Bottom