kilimo

  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kilimo, Miundombinu, Uzalishaji Kuipaisha Awamu ya Sita

    Mtaalamu wa wa Uchumi na Fedha, CPA Issa Masoud, ametaja sekta tatu zinazoipaisha nchi kiuchumi, chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Masoud alizitaja sekta hizo kuwa ni kilimo, usafirishaji na sekta ya huduma, ambazo zimeboreshwa kupitia uwekezaji mkubwa unaofanywa na serikali...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Anataka kuacha ajira ya kudumu ajikite kwenye kilimo

    Wadau nipo kwa niaba. Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic 990000 take home ni kama 640000, anadai katka kaz zake za shamba kwa msimu anauwezo wa kuvuna gunia...
  3. Claud kubuteba

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha nyanya kinalipa, elimu ya kilimo ni ndogo

    Wana JF habari za uzima, natamani nifanye kilimo cha nyanya ifikapo masika, ila bado kuna mambo nashindwa kuyaelewa vizuri. 1-Nyanya inaitaji joto la wastani, lakini mimi nipo Pwani maeneo ya Mkuranga muda huu joto linasoma 27° . Sijui kama mmea utastawi vizuri au kama kuna mtu analima maeneo...
  4. peter pius 100

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika sekta ya kilimo cha bustani

    Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika sekta ya kilimo cha bustani. Sekta hii ina jukumu kubwa katika kuhakikisha usalama wa chakula na kutoa ajira kwa watu wengi. Hata hivyo, ikiwa uwajibikaji na utawala bora hauzingatiwi, sekta hii inaweza kuwa na athari mbaya kwa afya ya...
  5. Aggrey sallah

    JamiiForums Tanzania Kilimo kinalipa Sana if and only if tukiweka Bidii na ufatiliaji wa karibu

    Salaam, Bila shaka ninyi wote ni wazima wa Afya. Nimekuwa mdau lakn pia mkulima kwa muda mrefu Sana, nimekuwa nikiona ups and downs katika Kilimo na hii imenipa Kujifunza mengi ikiwemo makosa yanayofanyika mara kibao katika Kilimo. Najua fika wapo vijana au wadau wengi Sana ambao Wana Mahaba na...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Rais Samia Katika Kilimo una Dhamira ya Kuzalisha Ajira kwa Vijana

    UWEKEZAJI WA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA KILIMO UNA DHAMIRA KUZALISHA AJIRA KWA VIJANA-NDG KAWAIDA Mwenyekiti Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameadhimisha Sikukuu ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kutembelea na kukagua maendeleo ya programu ya Boresha Kesho Iliyo Bora...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Komredi Kawaida - Halmashauri Tengeni Maeneo ya Kilimo

    KOMREDI KAWAIDA - HALMASHAURI TENGENI MAENEO YA KILIMO Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohamed Ali Kawaida ameendelea kukagua maendeleo ya mafunzo ya Kilimo kwa vitendo Shambani wanapofanya Programu vijana wa BBT na kupata wasaa wa Kuzungumza na vijana walio kwenye program hiyo. Aidha Ndg...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sehemu gani ndani ya wilaya ya Ngara naweza kuwekeza kilimo

    Nina plan ya kulima mazao ya biashara alizeti au kahawa. Nimeshauriwa kwenda ngara. Wanasema Kuna Hali nzuri ya hewa inayo supoti mazao tajwa hapo juu. Niliwahi kufika ngara Mara 1 na nikakaa siku 2 ngara mjin. Sijui chochote kuhusu upatikanaji wa mshamba kwa ajiri ya kilimo. Naomba msaada...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mradi wa BBT Usipofanya Vizuri Tutawalaumu Wizara ya Kilimo

    KOMREDI KAWAIDA - MRADI WA B.B.T USIPOFANYA VIZURI TUTAWALAUMU WIZARA YA KILIMO Kilombero. Wakati Wizara ya Kilimo ikitekeleza mradi wa Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM), Mohammed Kawaida amesema chochote kitakachokwama lawama ataitupia wizara hiyo. Kauli...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Iondoe Makato ya Miti Kilimo cha Tumbaku

    MHE. EMMANUEL CHEREHANI - SERIKALI IONDOE MAKATO YA MITI KILIMO CHA TUMBAKU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo na kujibiwa na Naibu Waziri Kilimo Mhe. Anthony Mavunde. "Wakulima wa...
  11. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Nchi jirani na Ukraine zatangaza marufuku ya uagizaji wa bidhaa za kilimo kutoka Ukraine

    Poland na Hungary, ambazo ni nchi jirani na Ukraine, Jumamosi wiki iliyopita zilitangaza marufuku ya uagizaji kutoka Ukraine wa bidhaa za kilimo hadi Juni 30. Serikali za nchi hizo zinasema hatua hiyo inalenga kulinda wakulima wa ndani. Slovakia imefanya hivyo pia jana Jumatatu. Bidhaa za...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kawaida Ataka Tija Kilimo BBT

    KOMREDI MOHAMMED KAWAIDA ATAKA TIJA KILIMO BBT Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Taifa Ndugu Mohamed Ali Kawaida amewataka vijana nchini kutokidharau Kilimo na badala yake wakikumbatie na kuiona kama kazi itakayowainua kimaendeleo. Akizungumza wakati alipotembelea mradi wa Jenga Kesho...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Profesa Kapuya alitapeliwa na kampuni ya Kilimo cha Vanilla Njombe

    Matukio ya watu kutapeliwa kwa njia ya Upatu yamekuwa yakishamiri nchini na hii inahusishwa zaidi na ndoto za baadhi ya watu kutaka kutajirika kwa haraka huku wanaotajwa kuwa wasimamizi wa miradi hiyo wakitumia mbinu za ushawoshi
  14. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Agricultural Manager, Tanzania - mshahara kuanzia milioni 7 hadi 10 na other benefits

    Location - Tanzania Salary - USD3000 to USD4000 plus accommodation, vehicle and medical aid, depending on experience Our client is a large established agricultural organisation who is looking for an additional 1 or 2 Agricultural Managers to join the team in Tanzania. Our client is a...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: Nataka kuanza kilimo cha maharage

    Wakuu nawasalimu, Heri ya sikukukuu ya Pasaka. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada nataka kuanza kilimo cha maharage na target yangu ni kupata gunia zisizopungua 100, naomba kusaidiwa ni hekali ngapi zitanifikisha katika hyo target? Palizi yake ni mara ngap, mavuno ni baada ya...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Bashe kaonyesha njia kwenye kilimo kwa kuweka vitalu vya kilimo na kuwapatia vijana, wizara ya ujenzi, nishati, na wengine wafuate.

    Wizara ya ujenzi inaweza kuandaa mkakati wa kuibua wakandarasi wadogo, hasa wanaomaliza vyuo na kuwa na uzoefu ambao wataona unafaa. Wawatake kuunda kampuni, na wawape kipaumbele Cha tenda za ujenzi za kiwango fulani wakati wakikua kama kampuni. Kampuni hizo ziorodheshwe, na iwe sharti kuzipa...
  17. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania TCCIA: Wataalamu nchini kuibeba Sekta ya Kilimo

    Na. Mwandishi Wetu. Wataalam sekta ya kilimo kama wataendelea kuwatembelea wakulima na kutoa elimu kwa wakulima watasaidia kuiinua Sekta ya kilimo Nchini. Akizungumzia juu ya teknolojia katika sekta ya kilimo nchini Mkurugenzi Mtendendaji wa Chama cha Wafanya Biashara Wenye viwanda na Kilimo...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ongezeko Wakulima wanaonufaika na mikopo ya kilimo kwa mwaka 2022/23

    Katika hotuba ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu mapitio ya serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka 2023/2024 amesema mikopo inayotolewa na benki ya maendeleo ya kilimo imetoa shilingi bilioni 78.54 kwa wakulima 119,797...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais ateua Wenyeviti Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavYo:- 1. Amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI). Bw. Massawe anajaza nafasi ya Dkt. Tausi Mbaga Kida aliyeteuliwa kuwa...
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia Kutoa Msaada wa Shilingi Bilioni 700 Kusaidia Kilimo Cha Umwagiliaji Nchini

    Benki ya Dunia WB imeahidi kutoa Msaada wa dola milioni 300 sawa na Bilioni 700 Kwa Ajili ya sekta ya Kilimo. --- Benki ya Dunia imeahidi kutoa kiasi cha Dola za Marekani milioni 300 ambazo ni sawa na shilingi bilioni 702 za Tanzania ili kuimarisha miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji nchini...
Back
Top Bottom