Habari wana Jamvi.
Naitwa Costantine Edward ni Co-founder na C.E.O wa kilimo smart app, kwanza napenda kutoa kheri ya mwaka mpya 2019 kwenu nyote.
Lengo: kilimo smart ni application ambayo inapatikana playstore yenye lengo la kumsaidia mkulima kujikwamua kiuchumi na kuona tija ya kilimo kwa...
Hey JF Members.
Ee bwana kuna mtu anaweza kunipa msaada wa mchanganuo wa kufuga kuku. Naona soko la kuku ni kubwa sana. Hii ni biashara ambayo soko lake liko tayari. hotels, functions, vibanda vya chipss. Yeyote mwenye idea naomba msaada please!
BAADHI YA MASWALI NA MAHITAJI YA WADAU...
Habari wakuu. Poleni na mihangaiko.
Wakuu tupo vijana wawili sisi ni wanafunzi kutoka vyuo tofauti UDSM na SUA tumekaa pamoja na kuamua rasmi kuingia katika kilimo wote tulikua JKT mwaka fulani kambi moja. Hivyo tuliweza kupitia vitengo mbalimbali Mfano Kitengo bustani ambapo...
Ama kwa hakika hayawi hayawi sasa yamekua, asiye na mwana aelekee jiwe ndio funzo la wahenga kwa yeyote atae shupaza shingo lake basi mvunjiko ndio halali yake.
Ni Tanzania ndio ni Tanzania tena kama sio Tanganyika mbabe na muasisi wa uchumi dynamic na usio na ulemavu katika sector moja...
Habari wana ndugu kwa sasa nawashauri kama una fedha na muda wekeza kwenye kilimo cha Kahawa Mbinga Moshi au Morogoro kilo 9000 mpaka sasa ninavozungumza.
Cha pili mahindi gunia sasa ni 100,00 Mbeya iyo na nyanda za juu kusini ndio wakulima wakubwa Arusha na mikoa mingine ya kaskazini unazan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.